M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,734
- 405
Kwanini mtu anasoma mwaka mmoja anakuja kuapishwa baada ya miaka 2 wakati kunauwezekano wa kumaliza law school na kuapishwa hapohapo?
Hebu fafanua kidogo mkuu, mtu anaapishwa baada ya miaka 2??
Kwanini mtu anasoma mwaka mmoja anakuja kuapishwa baada ya miaka 2 wakati kunauwezekano wa kumaliza law school na kuapishwa hapohapo?
Embu tujuzane ni ipi fate ya mwanafunzi aliyefeli law school?! Anaweza kurudia? !f so kwa utaratibu gani?
07688530500769163352
sirikali haihitaji wanasheria wengi,Kwanini mtu anasoma mwaka mmoja anakuja kuapishwa baada ya miaka 2 wakati kunauwezekano wa kumaliza law school na kuapishwa hapohapo?
Hawezi kupractice lawnaomba kuuliza mtu mwenye degree ya Law asipopitia Law School je kuna madhara gani
Sheria hata usome miaka 100 haikufanyi uwe vizuri upstairs na uweze mumsaidia mteja wako..Wateja mahakamani wanalalamikia sana mawakili waliosoma vyuo vya MIAKA MITATU ,tofauti na St .Augustine(RUCO)-Iringa & Udsm ambapo wanasoma MIAKA 4 na wapo vizuri upstairs!
Kwa mwenemdo huu hata ajira imekuwa hawapewi hawa wanafunzi wanaosoms miaka 3.
Ndalichako tuokoe na hivi vyuo vya miaka mitatu!
Take action madame,please rescue us,we humbly pray so!
unadhani wewe ni wakili mzuri?Hii shule ilifunguliwa kabla haijapevuka. hadi sasa bado haijapevuka. Kabla ya hii shule mtu akitaka kuwa wakili ilimlazimu aende internship. Mawakili wa internship ni wazuri zana. Mawakili waliopitia law school ni wabovu (sio wote tafadhali). kuna wengine wanatia aibu mahakamani hadi utawaonea huruma, hawajui chochote
Sina historia ya kushindwa katika mashauri mahakamaniunadhani wewe ni wakili mzuri?
Any landmark decison u won?Sina historia ya kushindwa katika mashauri mahakamani
Follow me in PM, you know this is a public platform. I won't compromise my IDAny landmark decison u won?
Aah sawa sawa skip that..Follow me in PM, you know this is a public platform. I won't compromise my ID
A good lawyer is the one who is able to minimize the loss/penalty and at the same time maximize the award. A good lawyer shapes his client's case at the same time helps the court to interpret statutes. He makes or leaves footsteps for other practitioners in every litigation he is involved.Aah sawa sawa skip that..
Nikuulize
What make(s) a good lawyer?
Umeelewa swali kweli mkuu?A good lawyer is the one who is able to minimize the loss/penalty and at the same time maximize the award. A good lawyer shapes his client's case at the same time helps the court to interpret statutes. He makes or leaves footsteps for other practitioners in every litigation he is involved.
Whoever is a good lawyer is made a good lawyer.Umeelewa swali kweli mkuu?
I ddn't ask "WHO is a good lawyer?"
I simply asked "WHAT make(s) a person a GOOD lawyer??"
Ndo umejibu hapo sio?Whoever is a good lawyer is made a good lawyer.
Hahahaaa! unaonaje, au nimeuliza swali nini?Ndo umejibu hapo sio?