The Law School of Tanzania: Maoni, Ushauri, Dukuduku

Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
Hahahaaa! unaonaje, au nimeuliza swali nini?
It seems hujaelewa swali,,??
With due respect, what kind of cases unazoshindaga?

N.B im not an advocate
 
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
7,075
Points
2,000
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
7,075 2,000
It seems hujaelewa swali,,??
With due respect, what kind of cases unazoshindaga?

N.B im not an advoacte
LC 151/08
LC 4/2011
LC 211/08
LC 153/2008
CC 23/2012
Cc 73/09
Civ App 4/2013
Kwa uchache tu
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
Whoever is a good lawyer is made a good lawyer.
Unazunguka zunguka tu....yes made a good lawyer by what sasa??

What made him/her a good lawyer?
Ilo ndo swali sasa sema majibu badala ya kuBOLD vitu ambavyo umeenda OP
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
LC 151/08
LC 4/2011
LC 211/08
LC 153/2008
CC 23/2012
Cc 73/09
Civ App 4/2013
Kwa uchache tu
Mkuu unaelewa lugha kweli mkuu??
Nimeuliza unashindaga aina gani ya case sasa unanipa list ya case ulizoattend?

Nilitegemea ungejibu hivii
Say mayb, in 2013 i had a murder case in HC n got an acquittal..

2014 i got an acquittal kwenye kesi ya Rape

Afu nisaidie izo initials LC na CC ndo nini?
 
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
7,075
Points
2,000
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
7,075 2,000
Unazunguka zunguka tu....yes made a good lawyer by what sasa??

What made him/her a good lawyer?
Ilo ndo swali sasa sema majibu badala ya kuBOLD vitu ambavyo umeenda OP
Ok, tu be direct, a good lawyer is made, but not limited to, on the following circumstances:
 1. successful litigation
 2. solve client's problems
 3. an industrious private library
 4. corporation with other lawyers
 5. achieving landmark decisions (helping the court to achieve)
 6. solving complex litigation
 7. etc
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
Hahahaaa! unaonaje, au nimeuliza swali nini?
BTW, naona una msaada sana kwenye jukwaa la sheria hasa kwa kuweka documents mbali mbali..

We appreciate sana mana watu wengi ni wachoyo wa knowledge...
But leo i wanna see how good you are as a lawyer mana as a human i can see you are very good.
 
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
7,075
Points
2,000
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
7,075 2,000
Mkuu unaelewa lugha kweli mkuu??
Nimeuliza unashindaga aina gani ya case sasa unanipa list ya case ulizoattend?

Nilitegemea ungejibu hivii
Say mayb, in 2013 i had a murder case in HC n got an acquittal..

2014 i got an acquittal kwenye kesi ya Rape

Afu nisaidie izo initials LC na CC ndo nini?
Bila shaka wewe si mwanasheria. Ungekuwa mwanasheria ungezifahamu kesi hizo na ungefahau zimebeba nini. Narudia tena, I won't compromise my ID
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
Bila shaka wewe si mwanasheria. Ungekuwa mwanasheria ungezifahamu kesi hizo na ungefahau zimebeba nini. Narudia tena, I won't compromise my ID
Yes mimi sio mwanasheria...

Halafu ID yako umeshacompromise kwa kuweka list ya cases ulizosema umeshinda japo sikukuambia unitajie kesi ulizoshinda...

Niliuliza unashidaga aina gani ya kesi

Ungejibi hivi nashinda murder cases, rape cases ama manslaughter...

Halafu mimi sio type ya kukariri citation ya case useme eti ukinipa case no nitakua najua. Never
So kama unatumia kigezo icho kupima huyu ni mwanasheria o not u r wrong
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
A good lawyer is the one who is able to minimize the loss/penalty and at the same time maximize the award. A good lawyer shapes his client's case at the same time helps the court to interpret statutes. He makes or leaves footsteps for other practitioners in every litigation he is involved.
Hahah mkuu nacheka sana nikisoma hii...sijui wewe ni senior ama junior Advocate mana hapo umejibu kama mwanafunzi wa mwaka wa kwanza legal method..

Answer lawyerly bana
rejea post no 36
 
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
7,075
Points
2,000
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
7,075 2,000
Yes mimi sio mwanasheria...

Halafu ID yako umeshacompromise kwa kuweka list ya cases ulizosema umeshinda japo sikukuambia unitajie kesi ulizoshinda...

Niliuliza unashidaga aina gani ya kesi

Ungejibi hivi nashinda murder cases, rape cases ama manslaughter...

Halafu mimi sio type ya kukariri citation ya case useme eti ukinipa case no nitakua najua. Never
So kama unatumia kigezo icho kupima huyu ni mwanasheria o not u r wrong
Hahahaaa. Ni wachache sana watakaochukua hatua kufuatilia namba za kesi hizo na kujua nani alihusika katika kesi hizo. tena wahusika wako wengi, kuna majaji, kuna mawakili wa pande tofauti pia. Bado huwezi kujua mimi ni yupi kati ya hao
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
Ok, tu be direct, a good lawyer is made, but not limited to, on the following circumstances:
 1. successful litigation
 2. solve client's problems
 3. an industrious private library
 4. corporation with other lawyers
 5. achieving landmark decisions (helping the court to achieve)
 6. solving complex litigation
 7. etc
Naona unapata shida sana kujibu simpo questions..

Hayo unayotaja apo juu ni matokeo ya kua a good lawyer...

Mfano unasema succesful litigation inamfanya mtu awe good lawyer ila kama u r not a good lawyer huezi kupata success ktk litigation....

Kama u r not a good lawyer huezi kusolve izo complex litigation...

So ili kupata uliyoyataja apo juu first lazima uwe good lawyer...

Sasa ndo nauliza hiivii What make(s) a person a good lawyer?
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
Is this a court room? ra hasha. hapa ni JF mkuu
Ni JF ndio ila since umesema u never lost a case...

so nilitegemea ungejibu it lawyerly yani nione tofauti yako na 1st year law student..

Relax. Take it easy mkuu. Usije kupanic
 
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
7,075
Points
2,000
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
7,075 2,000
Hahah mkuu nacheka sana nikisoma hii...sijui wewe ni senior ama junior Advocate mana hapo umejibu kama mwanafunzi wa mwaka wa kwanza legal method..

Answer lawyerly bana
Is this a court room? ra hash
Ni JF ndio ila since umesema u never lost a case...

so nilitegemea ungejibu it lawyerly yani nione tofauti yako na 1st year law student..

Relax. Take it easy mkuu. Usije kupanic
Hahahaa. hebu nipe namna ya kujibu lawyerly
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
Hahahaaa. Ni wachache sana watakaochukua hatua kufuatilia namba za kesi hizo na kujua nani alihusika katika kesi hizo. tena wahusika wako wengi, kuna majaji, kuna mawakili wa pande tofauti pia. Bado huwezi kujua mimi ni yupi kati ya hao
Labda asiye elewa ndo hatajua...mana umetaja izo case ukasema ndo ulizoshinda...sasa ukisoma judgemnt hadi mwisho obvious si mshindi anatajwa na huku mwanzo kama kuna jina lako si litaonekana ww ndo uliyesimamia iyo case na kushinda?

Au hujaelewa umeandika nn
 
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
7,075
Points
2,000
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
7,075 2,000
Naona unapata shida sana kujibu simpo questions..

Hayo unayotaja apo juu ni matokeo ya kua a good lawyer...

Mfano unasema succesful litigation inamfanya mtu awe good lawyer ila kama u r not a good lawyer huezi kupata success ktk litigation....

Kama u r not a good lawyer huezi kusolve izo complex litigation...

So ili kupata uliyoyataja apo juu first lazima uwe good lawyer...

Sasa ndo nauliza hiivii What make(s) a person a good lawyer?
Nadhani wewe ni slow learner. Kama jibu halijakuridhisha njoo na jibu mbadala.
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,616
Points
2,000
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,616 2,000
Is this a court room? ra hash

Hahahaa. hebu nipe namna ya kujibu lawyerly
You are my senior,
just incase nikiwa advocate....
So now i consider you so

Afu kwenye laws of Power
Law No. 1 inasema
"Never outshine your master"

So there is no way im going to outshine you!
Thank you
 
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
7,075
Points
2,000
Dragoon

Dragoon

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
7,075 2,000
Labda asiye elewa ndo hatajua...mana umetaja izo case ukasema ndo ulizoshinda...sasa ukisoma judgemnt hadi mwisho obvious si mshindi anatajwa na huku mwanzo kama kuna jina lako si litaonekana ww ndo uliyesimamia iyo case na kushinda?

Au hujaelewa umeandika nn
Kijana, unajua kitu kinaitwa UNWINNABLE CASE? si kila kesi utashinda, hata uwe wakili wa namna gani, Pia unaweza usiwe wakili kewenye kesi, ukawa adjudicatar, kama kesi yako haijapinduliwa na mahakama ya juu hakika hujashindwa.
 
Forum statistics

Threads 1,336,420
Members 512,614
Posts 32,538,869
Top