The Late Nyerere on ITV now

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,848
2,669
namsikiliza mwalimu muda huu kupitia itv. Ni press conf ila sijui ilifanyika wapi. Huyu mzee ni nabii. Baadhi ya anayoyasema yananigusa.
-anaisapoti ccm kwa kuwa hakuna chama kilichoimarika.
-ccm ikifa itakufa na vyama vingine vingi.
-chama cha siasa kikiitisha mkutano kitapata wahudhuriaji wengi kwa kuwa wanakuja kusikiliza madudu ya ccm.
-msipowasikiliza wananchi mkajiamulia mambo yenu wananchi watawachoka.

NYONGEZA:
mods natamani mngebadili taito hapo juu na kusomeka, Nyerere-Naisapoti ccm kwa kuwa hakuna chama cha upinzani kilichoimarika.
Hata hivyo hii ni kauli ya kitambo kidogo maana nilimuona makwaiya pale akiuliza swali. Bado alikuwa kijana kweli. La kujiuliza ni kuwa, sasa hivi kama angekuwepo na akawa na akili zake angeisapoti chadema? Mbona kipindi kile cha nccr alifanya kazi kubwa kuhakikisha ccm inabaki madarakani? Haya ni maswali muhimu ya kujiuliza
 
Huyu mzee alikuwa kichwa sana,ukimsikiliza utadhani alikuwa anaongea jana maana mambo yote aliyokuwa anazungumza ndo yanawakabili magamba kwa sasa.alisema kama kungekuwa na chama kingine strong angeachana na ccm.
 
hata hivyo muda wake ulishafika. Mlitaka tumuanike kama mama yake?
 
kila kauli yake aliyoitoa kipinssi hicho bado hadi leo ina uzito. Kiukweli aliichukia ccm ila hakuwa na mbadala kwa kipindi hicho. Kauli zake katika press hiyo zilikuwa bayana
 
Back
Top Bottom