The late Kenyan environmentalist and Nobel Laureate Wangari Mathaai features prominently in the new Oxford Dictionary

MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,721
Likes
11,150
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,721 11,150 280

HONOURED
Oprah Winfrey and Tom Cruise congratulating Wangari Maathai on her Nobel Peace Prize TWITTE
The late Kenyan environmentalist and Nobel Laureate Wangari Mathaai has been prominently featured in the new Oxford Dictionary of African politics.

The dictionary gives a concise overview of her lifetime work.

Oxford Dictionary of African politics explains a rich set of theoretical terms that emerged out of the research on the continent over the last 70 years.

Wangari Maathai with her Nobel Medal and Diploma
It makes it possible to understand shrewd ways that people speak truth to power in various countries.

The dictionary was formulated through crowd-sourced suggestions on social media.

It is packed with fascinating terms from multiple languages including Kiswahili, Chibemba, Kikuyu, Wolof, isiZulu and isiXhosa.

An illustrative example is a Kenyan model of “negotiated democracy” – the sharing of political positions between communities in advance of an election to avoid conflict.

Clothing-related expressions have also been cited in Kenya and Ghana to show voting behaviors.

“Three-piece suit voting” refers to supporting the same party for all elected positions while “skirt-and-blouse voting” means to vote for different parties for presidential and legislative elections.

It also includes timelines of African political events and provides useful overviews of the topics that are of most interest to students, journalists and researchers.

The topics range from HIV and Aids to gender quotas, and from the anti-apartheid struggle to the Rwandan genocide.

It was put together by two doctoral candidates and Professor Nic Cheeseman from the University of Birmingham.

Wangari Mathaai Prominently Featured in New Oxford Dictionary
 
Kunta kinte1776

Kunta kinte1776

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Messages
141
Likes
129
Points
60
Kunta kinte1776

Kunta kinte1776

Senior Member
Joined Feb 22, 2019
141 129 60
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,nilikuwa natazama video za hapo awali,miaka ya 90s hivi vile huyu mama alipigania uhifadhi wa mazingira,haswa uhuru park na karura forest,serikali fisadi ya moi ilitaka kujenga vyumba hapo karura kwa kunyakua kipande cha msitu,huyu mama alisimama kidete na kupinga kimabavu,ilibidi mafisadi watume majambazi kudili naye ila huyu shujaa hakusikitika,aliwaeleza kinagaubaga kuwa yeye ni mtoto wa mau mau na walimwaga damu kwa sababu ya hio ardhi na pia yeye yupo tayari kumwaga damu,taarifa ya ujasiri wake ilienea kwa upana hadi aka pata support kwa mataifa makubwa,moi hakuwa na budi ila kusitisha ujenzi huo,pia pale uhuru park moi mzee mjinga alitaka kujenga jumba la orofa sitini kwa kimabavu,huyu mama na wenzake walitishia kuvua nguo hadharani iwapo huo mradi haramu ungedelea,walipinga vikali mno hadi moi akatii,binafsi mimi napenda sana karura forest kwanza nikitaka kumeditate pia napenda sana uhuru park kwa hewa safi..hizi parks zina umuhimu sana ila watu hawajui.
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
8,057
Likes
3,606
Points
280
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
8,057 3,606 280

Nothing personal.
Lakini ukiona Mkikuyu anapigania haki za Watu kwelikweli anakuwa ni wa kuaminika sana; ie Wangari Maathai and Koigi Wamwere. Ngugi Wa Thiong'o sometime huwa simuamini sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
2,780
Likes
1,627
Points
280
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
2,780 1,627 280

Huyu naye sijui wakikuyu walimfanyia nini.Kila komenti wakikuyu.. wakikuyu..
Someone might think they're the worst creatures on planet earth
 
Kunta kinte1776

Kunta kinte1776

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Messages
141
Likes
129
Points
60
Kunta kinte1776

Kunta kinte1776

Senior Member
Joined Feb 22, 2019
141 129 60
Platozoom....Ngugi wa thiong'o yupo sawa,huyo mzee pia alipigania sana second liberation katika enzi za udikteta wa moi..alidhulumiwa sana na huyu mzee mshenzi..aliandika vitabu vingi sana za kufungua watu macho haswa kwa lugha ya kikuyu,Ngugi ni intellectual,yupo level moja na chinua achebe wa huko nigeria,ukisoma vitabu zake utaona kweli yupo ligi ingine,kuna riwaya(ngahika ndenda) moja aliandika ika udhi mzee moi sana..hicho kitabu haswa ndo kilifanya afurushwe kenya na kutorokea uhamishoni.
 
Haiya! Kumbe hicho kitabu ndicho kilifanya wakosane na moi
 
Kunta kinte1776

Kunta kinte1776

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Messages
141
Likes
129
Points
60
Kunta kinte1776

Kunta kinte1776

Senior Member
Joined Feb 22, 2019
141 129 60
Janerose ......naam,hicho kitabu pamoja na 'caitani mutharabaini' na 'matigari' ndo zilifanya sana sana adhulumiwe na serikali ya udikteta,vitabu vitamu sana.
 
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
2,780
Likes
1,627
Points
280
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
2,780 1,627 280
Janerose ......naam,hicho kitabu pamoja na 'caitani mutharabaini' na 'matigari' ndo zilifanya sana sana adhulumiwe na serikali ya udikteta,vitabu vitamu sana.
Kwani'devil on the cross' kimeandikwa hadi kwa Kikuyu? Nimesoma river between and weep not child. Ni mwandishi mzuri sana.
 
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
2,780
Likes
1,627
Points
280
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
2,780 1,627 280
Naam,kwanza kiliandikwa in gikuyu halafu kikatafsiriwa kwa kimombo...river between ulisomea shule ya upili au?
Yeah. Nilikuwa napenda novels sana especially pacesetters.
Kuna zile za john kiriamiti sijui kama unamfahamu?
 
Kunta kinte1776

Kunta kinte1776

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Messages
141
Likes
129
Points
60
Kunta kinte1776

Kunta kinte1776

Senior Member
Joined Feb 22, 2019
141 129 60
Namfahamu sana huyo jamaa wa murang'a..pia hizo novel zake ziko chonjo..hawa ndugu zetu wa murang'a ni waizi kupindukia..hizo riwaya za kiriamiti zinashiria maisha ya baadhi ya magaidi wa wizi wa kimabavu kutoka murang'a baada ya kupata uhuru..kwanza my life in crime..wacha tu
 
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
2,780
Likes
1,627
Points
280
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
2,780 1,627 280
Namfahamu sana huyo jamaa wa murang'a..pia hizo novel zake ziko chonjo..hawa ndugu zetu wa murang'a ni waizi kupindukia..hizo riwaya za kiriamiti zinashiria maisha ya baadhi ya magaidi wa wizi wa kimabavu kutoka murang'a baada ya kupata uhuru..kwanza my life in crime..wacha tu
My life in crime & my life with a criminal. Nilitafuta son of fate nikaikosa.
Murang'a kuna criminals ila sio wote. Wengi ni hardworking sana kama wale jamaa wa equity bank
 
Kunta kinte1776

Kunta kinte1776

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Messages
141
Likes
129
Points
60
Kunta kinte1776

Kunta kinte1776

Senior Member
Joined Feb 22, 2019
141 129 60
Nadhani hizo novel utazipata tu bookshop yoyote ile tajika..kweli baadhi ya hao ndugu zetu ni hardworking kwanza mahala kuna pesa,hawa ndio wale gikuyu haswa,damu yao moto sana,nawajua vizuri sana.
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
8,057
Likes
3,606
Points
280
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
8,057 3,606 280
Huyu naye sijui wakikuyu walimfanyia nini.Kila komenti wakikuyu.. wakikuyu..
Someone might think they're the worst creatures on planet earth
Hofu yako tu. Sina chuki na kabila lolote. Ni ukweli ambao mnaujua sana. Kuna tabia flani flani huambatana na kabila hasa huko kwenu

Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
7,311
Likes
6,004
Points
280
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
7,311 6,004 280
platozoom hakuna cha ziada unachojua zaidi ya kueneza chuki na ukabila. Ungekuwa umetia mguu wako darasani ungefahamu kuhusu huyo mkombozi wa nchi ya Kenya hapo juu. Field Marshal Dedan Kimathi na jeshi lake la ukombozi la Mau Mau. Watu kama General Mathenge, Waruhiu Itote, General Baimunge, Field Marshal Musa Mwariama, Muthoni Likimani na Field Marshal Muthoni Kirima. Ulizia utaambiwa chimbuko la Mau Mau lilikuwa ni wapi na waliongia msituni kwa wingi na kumwaga damu na kupoteza maisha yao wakipigana kwa mtutu wa bunduki dhidi ya mkoloni ili wamfurushe ni kina nani. Usikurupuke tena kimbumbumbu kabla hujasoma na kujielimisha kwanza.
 
Forum statistics

Threads 1,273,060
Members 490,262
Posts 30,469,631