The lacuna in law regarding access of the deceased‘s internet accounts&digital world

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
445
Wadau,endapo mtu anafariki je mrithi au msimamizi wa mirathi pia ana haki ya kuaccess mail accounts zake na membership/profiles zake ktk social networks?
Je,anaweza kuobtain court order na kuwasilisha facebook or google offices kwa mfano ili aruhusiwe kuaccess vitu vya marehemu kama ilivo kwa bank accounts especially kama akaunt husika (gmail etc) imehifadhi vitu muhimu sana?Sheria inasemaje?Mnaonaje?
 

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,730
389
Umekwenda mbali sana mkuu, lakini ni lazima sheria iendane na mabadiliko ya kijamii, kwa hili naona sheria imeachwa nyuma ingawaje sijui kama kuna nchi yenye utaratibu huo.,all in all nadhani siku ikionekana kuna umuhimu wa ku-amend sheria ili ku-accomodate hiyo kitu basi itafanyika hivyo.
 

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
445
Umekwenda mbali sana mkuu, lakini ni lazima sheria iendane na mabadiliko ya kijamii, kwa hili naona sheria imeachwa nyuma ingawaje sijui kama kuna nchi yenye utaratibu huo.,all in all nadhani siku ikionekana kuna umuhimu wa ku-amend sheria ili ku-accomodate hiyo kitu basi itafanyika hivyo.
<br />
<br />
Yah lakini ngoja tuone mawazo ya wataalam wengine huenda kuna sheria inagusaa hii kitu sie hatuijui
 

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,119
1,958
Waandishi wengi wa sheria kuhusu ICT,wanalieleza hilo kwa mawazo tofauti.Kinacholeta ugumu na pengine kusababisha sheria isiwe wazi zaidi kwenye hilo,ni kwa sababu,watu wengi kwenye mitandao ya kijamii kama ulivyoitaja hawatumii majina yao halisi,hivyo inakuwa vigumu kujua uhalisia wa yupi amekufa au anaishi,mtu mwingine unakuta kwenye mtandao anatumia IDs tofauti.Uzuri kila ukijiunga na mtandao wowote wa kijamii,kuna terms and conditions ambazo zimewekwa,ila wengi wetu huwa tuna accept tu bila kusoma.Kwa uelewa wangu mdogo na kwa mawazo yangu,issue yako ni ngumu.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom