Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
- Thread starter
- #81
AmenMzalendo wa nchi.
AmenMzalendo wa nchi.
OkayAmbaye angemsumbua Rais Magufuli kwenye Uchaguzi labda yule mama wa ujerumani tu.
Acha kumdanganya mwenzioHii imekaa poa sana
Kumbe na wewe umemshtukia pia.Acha kumdanganya mwenzio
Humu jukwaani kil mtu mjuajiKumbe na wewe umemshtukia pia.
Unajisema mpaka wewe?Humu jukwaani kil mtu mjuaji
Labda ameanza kuchanganyikiwa huyo dadaUnajisema mpaka wewe?
Kasoro mimi mkuuHumu jukwaani kil mtu mjuaji
Wewe mbona ni much know piaKasoro mimi mkuu
Kasoro wewe kwenye nini dada K?Kasoro mimi mkuu
Acha kumsimanga mwenzio mkuuWewe mbona ni much know pia
Kumwambia ukweli ndio kumsimanga mkuu?Acha kumsimanga mwenzio mkuu
Hajielewi huyo MgogoKumwambia ukweli ndio kumsimanga mkuu?
Tatizo lako una IDs nyingi my dadaKumbe na wewe umemshtukia pia.
Wewe una IDs ngapi soja?Tatizo lako una IDs nyingi my dada
Acha kumshambulia mwenzio kama hauna ushahidi wa kutosha.Tatizo lako una IDs nyingi my dada
Kwanini unakuta mtu mmoja anamiliki IDs 3? Lengo huwa ni nini haswa?Acha kumshambulia mwenzio kama hauna ushahidi wa kutosha.
Umejuaje kama ameandika uongo?Acha kumdanganya mwenzio
Mbona avatar yako ipo kama sura ya mpokiAcha kumdanganya mwenzio
Bila kudanganyana JF hakuna raha. Usipende kuwa mkweli sana wa mambo yako.Kumbe na wewe umemshtukia pia.