Nyamambara
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 407
- 329
Ukweli mwingi unawapa adui zako mwanya wa kukushambulia.Bila kudanganyana JF hakuna raha. Usipende kuwa mkweli sana wa mambo yako.
Ukweli mwingi unawapa adui zako mwanya wa kukushambulia.Bila kudanganyana JF hakuna raha. Usipende kuwa mkweli sana wa mambo yako.
C&L
Mbona ukienda kwa kasisi unaungama kwa kusema ukweli? Au kasisi naye ni informer wa Police?Ukweli mwingi unawapa adui zako mwanya wa kukushambulia.