Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,172
[h=1]Andrew Mbugua in court struggle to alter name in certificates[/h]
Alizaliwa na kuitwa: Andrew mbughua.
Sasa ajulikana ya kuwa: Audrey Mbughua Ithibu.
Sokomoko lilianza miaka saba baada ya kumaliza High School na kubainika ana mapungufu yaitwayo "Gender Identity Disorder".
Kufuatia uchunguzi huo wa kitaalamu basi Andrew akafanya operesheni na kujigeuza jinsia yake na kuwa mwanamke. Kivumbi kilianza alipoanza kubadilisha vyeti vya shule ili awe Audrey badala ya Andrew na baraza la Mitihani la Kenya KNEC limemgomea na hivyo kukimbilia mahakamani apatiwe fidia anayostahili.
Life is complicated!