The Islamc Foundation ikishirikiana na Albasra foundation ikiendelea kutoaTiba ya bure ya macho

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,555
31,876
Wanaukumbi.

Taasisi ya The Islamc Foundation ikishirikiana na Albasra foundation ikiendelea kutoaTiba ya bure ya macho katika viwanja vya Hospital ya Aljomeih iliopo msamvu morogoro, kwa yeyote mwenye matatizo ya macho anaweza kufika.








 
Yu better know what yo sayin,and where yu sayin that coz this here is a public network,being cruel or being heartless is abt a person himself,those people they tryn help our ----n poor country hu celebrates 52 years of poverty,may God hve mercy on yo speech
 
Allah mwingi wa rehema awalipe kila la kheri ikhwaani hawa kwa harakath zao katika kuihudumia jamii ya watanzania. Mungu awakinge na kila shari na vitimbwi vya mahasidi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom