"The Iron Dome" Kama Taifa tunajifunza nini kwenye Teknolojia hii ya Israel?

Kusalitiana Kwa waarabu ni mbinu/akili iliyotumiwa na wenye akili zaidi(wazungu) ili kuendelea kuitawala dunia....hata Leo hii ukatae au ukubali bado waisrael wataendelea kuwa juu ya waarabu

Muisraeli hayupo juu ya Waarabu tu bali yupo juu ya dunia yote.---- ni mahali gani ambapo kuna uchumi au maslahi haramu au halali duniani hukuti "mkono" wa Muisreali???!
 
Wazungu wasingeifunga mikono Iran kwa vikwazo vya kiuchumi na utengenezaji wa silaha kubwa kibwa. Basi leo mashariki ya kati pasingetosha. Tatizo mmoja kapewa vifaa vya mazoezi, msaada wa pesa kila mwaka kwa ajili ya kujilinda na adui au maadui, kocha wa kumfundisha, muda wa kufanya mazoezi, lishe bora nk. Huku mungine kafungwa mikono na miguu, kanyimwa vyote hata vile vidogo tu vya kumsaidia kuishi anakatazwa kuwa navyo napo anajaribu kutumia maarifa yake ili aishi. Kwahiyo kwa style hii lazima itaonekana huna nguvu za kupambana na mwenzako. Wazungu wanafaham fika kama Iran itapewa miaka 10 tu ya kufanya mambo yao bila vikwazo au kuingiliwa na nchi yoyote basi kitakachotokea kitakuwa ni hatari kwa Israel, na washirika wao wote wa mashariki ya kati. Ebu fikiria miaka zaidi ya 50 ya vikwazo lkn wameweza kufanya waliyoyafanya Iraq ktk kambi kubwa za kijeshi za Marekani.
 
TZ kunasehemu inaitwa palestina ila sijawahi sikia sehemu inaitwa israel
 
Taifa teule ni Tanzania, unataka hivyo hivyo hutaki hivyo hivyo!
Hivi hoja hii imeletwa hapa kwa lengo gani? Kwani Tanzania haina formidable air defense system? Kuna haja gani ya kusambaza air defense batteries nchi nzima.

Nyie mnao sifia Iron DOME kwamba ina uwezo wa kudhibiti 99.9% ya maroketi ya Kipalestina imekuwaje tena Israel inalazimika kutumia jetfighters,Drones, artillery na sasa wako mbioni kutumia ground forces kwenda kushambulia launcher sites za roketi, kwa nini jeshi la Israel halitulii nyumbani na kusubiri roketi za Kipalestina zikalipuliwa na Iron DOME wanayo isifia kila uchwao.

Wayahudi hawataki kuwa wawazi lakini ukweli wa mambo IAF Generals wanajua limitations za Iron DOME, after all uundaji wa Iron DOME project used to be a joint project between Israel and American lakini baada ya Wamerikani kubaini kwamba Iron DOME didn't live up to American expectation wakajiindoa kwenye project!!

Cha ajabu media za magharibi wanapigia debe Iron DOME air defense system as if ni cure all SAM like Asprin/Panadol.
 
Wazungu wasingeifunga mikono Iran kwa vikwazo vya kiuchumi na utengenezaji wa silaha kubwa kibwa. Basi leo mashariki ya kati pasingetosha. Tatizo mmoja kapewa vifaa vya mazoezi, msaada wa pesa kila mwaka kwa ajili ya kujilinda na adui au maadui, kocha wa kumfundisha, muda wa kufanya mazoezi, lishe bora nk. Huku mungine kafungwa mikono na miguu, kanyimwa vyote hata vile vidogo tu vya kumsaidia kuishi anakatazwa kuwa navyo napo anajaribu kutumia maarifa yake ili aishi. Kwahiyo kwa style hii lazima itaonekana huna nguvu za kupambana na mwenzako. Wazungu wanafaham fika kama Iran itapewa miaka 10 tu ya kufanya mambo yao bila vikwazo au kuingiliwa na nchi yoyote basi kitakachotokea kitakuwa ni hatari kwa Israel, na washirika wao wote wa mashariki ya kati. Ebu fikiria miaka zaidi ya 50 ya vikwazo lkn wameweza kufanya waliyoyafanya Iraq ktk kambi kubwa za kijeshi za Marekani.
Hili neno "angepewa " ni neno la hovyo Sana , uimara wa mtu hupimwa Kwa vile anavyovuka vikwazo na kujipatia fursa , wachina wamedhihirisha Hilo , anayekuwekea vikwazo na ukashindwa kuvivuka means ana nguvu na akili kuzidi wewe , na Kwa nini akuwekee vikwazo Kwa ajili ya Israel means kuna kitu anabenefit kutoka Kwa Waisrael ,Kwa nini Waisrael na sio wewe , means Waisrael ndo wanakitu kinachowafanya wamsaidie ambacho wewe huna .....
 
Hili neno nitakubariki Mungu amelitimiza hata nyakati za sasa kwa taifa la Israel. Jambo lakitisha. Zaid hata nobel prize ndio taifa linaongoza kwa kuwa nazo nyingi. Huyo waziri mkuu wao una ana ambiwa is among world genius.
TumainEli.mbona siku hizi upo kimya Sana kuhusu siasa zetu nchini? Tunakuomba uludi Tena jukwaani.
 
Hili neno nitakubariki Mungu amelitimiza hata nyakati za sasa kwa taifa la Israel. Jambo lakitisha. Zaid hata nobel prize ndio taifa linaongoza kwa kuwa nazo nyingi. Huyo waziri mkuu wao una ana ambiwa is among world genius.
Nobel prize wanaongoza Israel? Hivi huwa mnapotosha kwa faida ya nani? Hivi kumbe Jews wote ni waisrael??

Anyway kama ni ukabila tu Aryans wana tuzo nyingi za Nobel kuliko hao Semites.

Then hta Han people wa China wanawazidi IQ hao Ashkenazi wa hapo Tep Aviv sasa unapodai wana akili kuliko wengine unatoa wapi data?

Netanyahu ana akili gani? Mbona uchaguzi tu umemshinda? Hizo akili si angetumia kuandaa mikakati ya kupata ushindi unanimously..... Btw ana kesi ya rushwa!! Huo ugenius si angetumia kuepuka kigundulika.

Israel is overrated, msaada wa pesa wa US ndio unawaweka juu otherwise akili hata wachina wamewazidi
 
Hili neno "angepewa " ni neno la hovyo Sana , uimara wa mtu hupimwa Kwa vile anavyovuka vikwazo na kujipatia fursa , wachina wamedhihirisha Hilo , anayekuwekea vikwazo na ukashindwa kuvivuka means ana nguvu na akili kuzidi wewe , na Kwa nini akuwekee vikwazo Kwa ajili ya Israel means kuna kitu anabenefit kutoka Kwa Waisrael ,Kwa nini Waisrael na sio wewe , means Waisrael ndo wanakitu kinachowafanya wamsaidie ambacho wewe huna .....
Mbona Hitler aliwateketeza sasa huko Poland..... Walikua na Jeshi lao ila walitandikwa haswaaa. Jews were shit before 1948 kama sio uingereza kuwapa hifadhi mpaka leo hii wangekua wananyooshwa tu.

Hawa watu msiwasupport kwa mgongo wa dini, wao walipoteswa wakapewa hifadhi kwanini na wao wanarudia hiko hiko walichopigania kukiondoa? Mie nakuhakikishia hapa siku US akikata mirija ndio mwisho wa Israel. Ama siku china/russia ikaanza uhusiano na palestina wa kijeshi ndio mwisho wa Israel.

Tutarudi hapa after 10 years kukumbushana tuombe uhai tu
 
US akikata mirija ndio mwisho wa Israel. Ama siku china/russia ikaanza uhusiano na palestina wa kijeshi ndio mwisho wa Israel.
Us akikata mirija, ndio nguvu Yao itaongezeka mara dufu, Hilo lipo kimaandiko mkuu, soma hii

Zekaria 12:2-9
[2]Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande zote; tena kitakuwa juu ya Yuda pia wakati wa kuhusuriwa Yerusalemu.
[3]Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea watu wa kabila zote; wote watakaojitwika jiwe hilo watapata jeraha nyingi; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake.
[4]Katika siku hiyo, asema BWANA, nitamtia kila farasi ushangao, na yeye ampandaye nitamtia wazimu; nami nitaifunulia nyumba ya Yuda macho yangu, nami nitamtia upofu kila farasi wa hizo kabila za watu.
[5]Na wakuu wa Yuda watasema mioyoni mwao, Wenyeji wa Yerusalemu ni nguvu zangu katika BWANA wa majeshi, Mungu wao.
[6]Siku hiyo nitawafanya wakuu wa Yuda kuwa kama kigae chenye moto katika kuni, na kama kinga cha moto katika miganda; nao watateketeza watu wa kila kabila, wawazungukao pande zote, upande wa mkono wa kuume na upande wa mkono wa kushoto; na baada ya haya Yerusalemu utakaa mahali pake, naam, hapo Yerusalemu.
[7]Naye BWANA ataziokoa hema za Yuda kwanza, ili utukufu wa nyumba ya Daudi, na utukufu wa wenyeji wa Yerusalemu, usipate kutukuzwa kuliko Yuda.
[8]Katika siku hiyo BWANA atawalinda wenyeji wa Yerusalemu; na yeye aliye dhaifu miongoni mwao atakuwa kama Daudi siku hiyo; nayo nyumba ya Daudi itakuwa kama Mungu, kama malaika wa BWANA mbele yao.
[9]Hata itakuwa siku hiyo, ya kwamba nitatafuta kuwaangamiza mataifa yote watakaokuja kupigana na Yerusalemu.
 
Hakuna zawadi kubwa kutoka Kwa MUNGU kama akili/maarifa kwasabb hawa Israel hawana rasilimali zozote nchini kwao zaidi ya akili tu
Vipi china wana rasilimali gani? Mbona wamefika hapo walipofika?

Israel wana rely kwenye service industry kama India tu. Uchumi hautegemei bidhaa ndio ukue. Kuna maeneo kma Macau wanategemea betting na gaming kuendesha nchi vp hao nao hawana akili.

Tatizo mnawakuza sana hao wayahudi otherwise kuna nchi nyingi tu kma S.Korea au Malaysia zilikua worse than Israel ila zimepaa ndani ya muda mfupi sana. Ila hutoona mkisifia korea kusini ama malaysia kisa tu sio ''taifa teule''
 
Us akikata mirija, ndio nguvu Yao itaongezeka mara dufu, Hilo lipo kimaandiko mkuu
Kwahiyo Korea kusini inavyopaa kutoka nchi maskini 1940s hadi kuwa Emerging Economy nayo ni taifa teule?

Mie sipingi muwaite taifa teule lakini kuna nchi zimefanikiwa sana kiuchumi na kiteknolojia na kijeshi kuliko Israel ingawa hayajiiti taifa teule sasa uspecial wa Israel ukwapi?

China wamekuja na mass distribution ya 5G na sasa wameanza na 6G ila sioni mkiwasifia..... But Israel ingefanya oooh taifa teule!! Hizo kukuza mambo ndio huwa napinga
 
Na hata Mimi mkuu zitto junior, sikatai kuhusu hiki, Ila wale jamaa wananguvu nyingine isiyoonekana, ingawa nguvu hiyo pia iko kila mahali, Lakini Mungu mwenyewe alishaga apa hivyo kuwalinda na kuwapiga maadui zao

Jifunze Kwa Daud na Goliati ndio utapata jibu, Umewahi kujiuliza katika jiwe alilolitupa Daud Kwa Goliath Hadi likasababisha umauti wa mwamba Goliath??

Ndani ya Hilo jiwe mlikuwa na nguvu ya ziada,

Licha ya hivyo, Biblia pia haisemi Kwamba wao Israeli watakapopigwa hawatakufa kabisa, watakufa Ila ushindi watapata
 
Back
Top Bottom