The internet is still undefeated

Unajua ukweli unauma sana,wewe unafikiri kwa nini Kikwete sasa hivi havai Barakoa,yaani ghafla tu kaacha kuvaa barakoa,yanayosemwa yawezekana yana ukweli ndo maana wanahaha,Magu walimuondoa,na wamejitahidi wamalize circle yake yote na Mpango alinusurika
MAGU is dead! Itoshe kusema hatatembea tena kwenye uso wa dunia.
Samia ni Rais kihalali na ataongoza kwa mafanikio
Itoshe kusema yote ni mapenzi ya MUNGU
 
Mwishoni mwishoni mwa hotuba ya Rais Samia kazungumzia mambo ayaonayo mitandaoni.

Mambo ya kizushi, ya kuchonganisha, na kila aina ya uzandiki.

Ni jambo jema. Ni jema kwa sababu linaonyesha haishi peke yake kwa kujitenga kwenye puto alimo yeye tu mwenyewe.

Anafuatilia kinachoendelea na kinachojiri kupitia yale wayasemayo watu awaongozao.

Ila, haya mambo inabidi awe makini nayo sana. Ni mara kadhaa ameyazungumzia haya yajiriyo kwenye mitandao.

Ni kana kwamba naye ‘anademka’ kwa yale yajiriyo huko.

Natumaini hataendelea kuyapa umuhimu kivile, la sivyo ataishia kucheua tu kwani the internet is still undefeated.
Ame generalize kusema mitandao lakini nahisi anamlenga mtu mmoja wa Face Book anatumia jina la Veronica France. Huyu ndiye anachafua majina ya viongozi wastaafu kumwahusisha na kifo cha Mwendazake
 
Yee. Kwa mfano aliyemzungumzia leo nadhani ni yule wa Facebook anayejiita ''Veronica France'' anayesema Magufuli kauawa na Kikwete. Rais anajishushia heshima kujaribu kulumbana na mtu kama yule. Kwanza kwa mtu mwenye weledi wa kusoma between the lines unajua kabisa huyo ''Veronica'' ni kilaza mmoja tu asiye na upeo wowote. Rumours za viongozi wanafariki kuwa waliuawa au kufa katikati mazingira fulani zipo siku nyingi tu. Hata Sokoine, Nyerere, Kolimba nk kuna nadharia nyingi za bla bla kuhusu vifo vyao lakini viongozi wa enzi hizo walikuwa wanazipuuza.
Umenena vema.
 
Ahahahaha kwani Bidden kaacha kuvaa na chanjo kapata,Magu wamemdedisha,tena China watakuwa wamehusika sana wakishirikiana na hao waliotajwa na mitandao

..Duh!

..China ambao tulikuwa tunasema ni ndugu zetu ndio wamemtanguliza kipenzi cha wengi?!!

. Na mabeberu au EU waliokuwa wakimtetea Lissu siyo wabaya kama tulivyoelezwa hapo mwanzo?
 
Yaani sasa hivi wale jamaa wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa wanajua kuwa wanamkera huyo mama.

Hahahaa aache kudemka na ngoma wazipigazo.
Lakini ni kama yeye amekuwa specific sana ,hasa kwenye issue ya wanaosema Mzee alipewa/kutegemewa sumu,sikuona kama ana issue sana na Twitter republic au Ufipa
 
She shouldn’t pay them that much attention, at least not publicly.

By talking about them publicly and on several occasions, she gives the internet warriors, thugs, and activists, the satisfaction of knowing that they are in her head.

Not a good look.

She will never win going against what is said on the internet.
Nakubaliana na wewe 100%
 
Mwishoni mwishoni mwa hotuba ya Rais Samia kazungumzia mambo ayaonayo mitandaoni.

Mambo ya kizushi, ya kuchonganisha, na kila aina ya uzandiki.

Ni jambo jema. Ni jema kwa sababu linaonyesha haishi peke yake kwa kujitenga kwenye puto alimo yeye tu mwenyewe.

Anafuatilia kinachoendelea na kinachojiri kupitia yale wayasemayo watu awaongozao.

Ila, haya mambo inabidi awe makini nayo sana. Ni mara kadhaa ameyazungumzia haya yajiriyo kwenye mitandao.

Ni kana kwamba naye ‘anademka’ kwa yale yajiriyo huko.

Natumaini hataendelea kuyapa umuhimu kivile, la sivyo ataishia kucheua tu kwani the internet is still undefeated.
Niliwaza hivi, nakumbuka JK aliwahi kusema kuwa "mambo mengi tunayapuuzia ila sio kwamba hatuyasikii!"
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom