The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

ufahamu mkubwa na wa kiwango cha juu kwa mwanadamu ni pale atakapogundua kuwa hapa duniani anaishi peke yake..

Unaishi wewe mwenyewe...hapa duniani ninaishi mimi mwenyewe na sio wengine hao ninaowaona(unaowaona).

Sikuja duniani kwa bahati mbaya na ndo mana mpaka sasa hivi hujafa au sijafa mpaka utimize( nitimize) kile ulichopangwa (nilichopangiwa)kukifanya katika quanta times( muda uliogawanyika ili kila kitu kifanyike kwa wakati maalumu kulingana na kukomaa kwa ufahamu wa mind yako)

Ni Saikolojia pana sana kuelewa hii dhana.. ila ukweli ni kwamba upo peke yako katika ulimwengu huu.. the other (people) and suroundings are just your personal aspects of personality(ideological view of manifestation)..

Ngumu kuelewa hapa...

but you are just alone in this universe ndo mana life pathy yako ni tofauti na ya mwingine (ulimwenguni kote)..

This is the matrix of your life... you are living alone and the manifestation of your ideas is that created following your idea of perception.

Your body(avotor) is just interacting with your own manifestation za kile mind yako iliwaza kipindi cha nyuma..

Tafuta muda kaaa peke yako halafu utafakari juu ya interactiom yote unayoipata ,utagundua kuwa ni product ya your own perception ambayo imezaa manifestation katika creation form ..

Kaa alone ufikirie kuwa kwanini hapa duniani pattern yote ya manifestation inaihusisha mind yako kwa asilimia 100!!! namanisha kwanini huwezi ishi kwa mbinu anazotumia mwingine?!! lazima mtatofautiana mtizamo na jinsi ya kumanifest mambo..



Kila unachokiona ni matokeo ya your own perception of ideas that turns into physical manifestation..

Ulimwengu ni wewe mwenyewe and nothing else...

The entire population of different things you interact is just a product of your every idea you had before today..

Kila wazo unalolipata sasa hivi linajenga manifestation badae na hii inategemeana na frequency ya vibration ya wazo lako katika kusynchronize na universal pattern of true nature on reality.

........... ndo mana time manifestation inatofationa na frequency inayopresent idea yako...

Hutakuja kuishi out of your own imagination..

And this is the game life-trick ambayo watu mabilioni bado hawajaijua...

If you change your idea from today hakika hata manifestation ya kitu chochote utakachointeract nacho kitabadirika na matokeo ni jinsi mind yako ilikichukulia kwa vibration frequency flani.


""(vibration frequency ikiwa kubwa ndipo time manifestaion inakuwa short hence kinawahi kuonekana katika physical reality na kama vibration frequency ni ndogo hata time manifestation inakuwa ndefu hence kitachukua muda kuja kuonekana katika physical reality.. but kila wazo kichwani mwako one day menifestation into physical reality itakuja kuonekana)"""

Hapo ndo tunapata tafsiri sahihi ya usemi wa yule paka wa Schrödinger kuwa kuna option mbili au nne za kumwelezea paka akiwa ndani ya box..

Paka aliyeko ndani ya box anaweza kuwa hai au kafa kama utachukua maamuzi ya kumwangalia....usipomwangalia hakuna jibu sahihi hapo ila mpaka utakapochungulia ndo yes au no ila probability ni 0.5 kuwa paka yule kafa ndani ya box au yu mzima

Mpaka leo ni magwiji wachache sana wameelewa juu ya tafsiri halisi ya ile paradoxy katika quantum level... ukiwa na brain ya sisimizi hutaelewa jamaa alikuwa ana maana gani..( maybe somedays i wana make this clear juu ya paradoxy ya yule paka anapresent nini katika quantum level of awareness..

Katika maisha haya ,manifestation ya kitu chochote katika macho ya kuonekana inategemea na kama idea yake umeipresent kwenye subconscious mind yako au laaa...

kitu chochote kitaonekana katika mazingira ya kawaida kama tayari kilikuwa kishaongelewa kichwani( fikirika)

Hakitaonekana kamwe kama utakuwa hujakifikiria kwenye mind yako..

Manake nini chochote kile unachointeract nacho iwe ni watu, miti wanyama au kitu chochote jua ni product ya mind creation uliyonayo...

Kama kila kinachoonekana duniani hapa ni matokeo ya perception zako basi amini upo alone katika ulimwengu huu na hapo ndo tunasema you are the creator of your own destiny...

Sory naweza kuwa nimepresent kitu tofauti na lengo lako ..sory mkuu
 
Ndio ilivyo kiongozi. Tunapenda tunda kimasihara huku hapana.
Hii ni kwa wachache
Kweli mkuu. Nadhani hata mfumo wetu wa elimu na maisha umechangia sana jamii kupenda vya dezooo.

Hatupendi kushughulisha ufahamuu wetu.
 
Mkuu Da' Vinci nimesoma kwa utulivu mkubwa sana na nimekuelewa na kiukweli umekata kiu yangu. Mimi nina swali hapo hasa inner voice huwa ziko za namna mbili moja inakupa jambo jema hasa. Ile nyingine huwa ya hovyo haifai sasa umesema huwa inakuwa kama virus ambao ibilisi anaziingiza ila nadhani umesema yeye hasa hutumia mwili lakini kiuhalisia huwa zote kama zinatokea katika hiyo Subconscious mind je shetani ana uwezo wa kuingilia subconscious mind kwa binadamu?
 
Kweli mkuu. Nadhani hata mfumo wetu wa elimu na maisha umechangia sana jamii kupenda vya dezooo.

Hatupendi kushughulisha ufahamuu wetu.
Ni kweli kabisa mkuu
Jamii yetu hii ya kitanzania hali ni mbaya zaidi..Hasa kwetu vijana
 
Ahsante sana mkuukwa kunielewa inafarijisha. Sikudhani kama nitaeleweka kabisa.
Ni kweli napenda sana kusoma soma masuala ya Comp..
I was supposed to be IT personel then shit happened
Maanaaa umetumia lugha ya computer ili kufikasha ujumbe wako.

Basi tulikua boti moja. ,mimi nilitamani sana kua network engineer. Nikaanza ila nimeshia njiani.

But thanks to God maisha yanasonga kwa plan B
 
Mkuu Da'Vinci nashukuru kwa bandiko lako hili, ila kama ujuavyo ni wachache sana wameweza kujua makusudi yao kuwapo hapa duniani, kwa sababu ule mfumo huvurugwa toka utotoni hivyo kufanya mtu kushindwa kupata kwenye mfumo umuelekezao katika kulitumikia kusudi lake.
Swali langu sasa, je mtu afanyaje kurudi katika njia yake sahihi, mfano njia yake ilivurugwa akiwa na umri wa miaka 5, mtu huyu alitakiwa awe daktari lakini baba na mama yake katika umri huo wakafariki, akachukuliwa na shangazi, huko akakitana na mkono wa chuma wa mumewe shangazi akamtesa ikapelekea binti kuacha shule akakimbilia mjini kutafuta unafuu akaishia kuwa kahaba.Ana umri wa miaka 28 ana watoto wawili wanamtegemea aliowapata katika vipindi tofauti na mababa tofauti ambao hawana msaada wowote.
Huyu mtu anatumikiaje kusudi lake?
Mkuu nashawishika kitumia mafungu ya bible. Ngoja nitulie nikujibu vizuri.
Comment zako hua zanichukua muda kiasi kuzingamua
 
Jina liko sahihi kabisa ni Munga tehanani bahati mbaya sijawahi kusoma bandiko lake hata moja. My beloved person hua anapenda kumtaja sana ndio nilipomfahamia.
Naomba Mungu nami nifike level ya huyo hayati client3
Nilibahatika kusoma vitabu vyake viwili . Bahatimbaya sinavyo tena, maana kwa andiko lako hili ilipaswa nirudie tena moja ya kitabu kilichokua kikielezea hasa mwanadamu ni Nani? .

Alivyo fariki hata gazeti lake la jitambue nalo likawa limetoweka, kila jumatano nilikua sikosi lile gazeti.
 
Maanaaa umetumia lugha ya computer ili kufikasha ujumbe wako.

Basi tulikua boti moja. ,mimi nilitamani sana kua network engineer. Nikaanza ila nimeshia njiani.

But thanks to God maisha yanasonga kwa plan B
Computer ime Cover maisha ya mwanadamu kwa kiasi kikubwa ndio maana inaniwea rahisi kutumia mifano ya computer kufikisha ujumbe.
Bado hata plan B hazisomeki mate, ila ipo siku Milango itafunguka tutaliona jua la asubuhi
 
Computer ime Cover maisha ya mwanadamu kwa kiasi kikubwa ndio maana inaniwea rahisi kutumia mifano ya computer kufikisha ujumbe.
Bado hata plan B hazisomeki mate, ila ipo siku Milango itafunguka tutaliona jua la asubuhi
All the best mkuu.
 
Nilibahatika kusoma vitabu vyake viwili. Bahati mbaya sinavyo tena, maana kwa andiko lako hili ilipaswa nirudie tena moja ya kitabu kilichokua kikielezea hasa mwanadamu ni Nani? .

Alivyo fariki hata gazeti lake la jitambue nalo likawa limetoweka, kila jumatano nilikua sikosi lile gazeti.
Daah shida iko hapo kwetu watanzania. Character development ni shida. Mtu kafa na yake, I wish gazeti lake lingekuwepo ningeomba chance niwe naweka mawazo yangu
 
Daah shida iko hapo kwetu watanzania..Character development ni shida. Mtu kafa na yake, I wish gazeti lake lingekuwepo ningeomba chance niwe naweka mawazo yangu
Kweli lingekufaa sana. Bado tuna safari ndefuuu kuijenga mifumo ya kila siku ya maisha yetu.

Ndio maanaaa matajiri wetu wa kibongo akifariki na miradi yake yote inakufa
 
Mkuu life coded hili kwangu nikiri limenifikirisha mnoo.
ufahamu mkubwa na wa kiwango cha juu kwa mwanadamu ni pale atakapogundua kuwa hapa duniani anaishi peke yake..

Unaishi wewe mwenyewe...hapa duniani ninaishi mimi mwenyewe na sio wengine hao ninaowaona(unaowaona).

Sikuja duniani kwa bahati mbaya na ndo mana mpaka sasa hivi hujafa au sijafa mpaka utimize( nitimize) kile ulichopangwa

Tafadhali naomba unielekeze hili hapa chini kwa kutumia mfano nipate kuelewa zaidi
kitu chochote kitaonekana katika mazingira ya kawaida kama tayari kilikuwa kishaongelewa kichwani( fikirika)

Hakitaonekana kamwe kama utakuwa hujakifikiria kwenye mind yako..
 
Mkuu life coded hili kwangu nikiri limenifikirisha mnoo.




Tafadhali naomba unielekeze hili hapa chini kwa kutumia mfano nipate kuelewa zaidi

Hakuna kutu kitakachokuja kuja kuonekana maishani mwako kama subconscious mind yako itakuwa haijavibrate na kurespond kwa idea yake...

Meaning kwamba maisha yoyote yataonekana kwako kama uliihusisha mind yako before... mind yako ndo yenye kuamua kije au kisije .. kila kitu kipo na hakipo at the same time..

Kila kitu kipo na hakipo kwa muda huo huo kama mind yako itakuwa haijapewa idea ya kuwepo au kutokuwepo kwake...


yani wale jamaa walificha mambo mengi sana kwa mafumbo makubwa sana ..
 
Kweli lingekufaa sana. Bado tuna safari ndefuuu kuijenga mifumo ya kila siku ya maisha yetu.

Ndio maanaaa matajiri wetu wa kibongo akifariki na miradi yake yote inakufa
Labda kuna kitu kikubwa mbele yangu zaidi ya hiko. So sitajilaumu kukosa nafasi.
 
Hii imetulia sana na inaamsha hali ya upambanaji na kupata imani... Hii inaweza elekezwa labda kwenye graduation za vyuo na sehemu kubwa za ujasiriamali maana imejaa quality kubwa
 
KENZY,
Mimi naomba nikusaidie wewe katika hili kwa kukuuliza swali moja au mawili au zaidi.

1. Kwanini umeweka ulinganyo wa vitu halisi viwili visivyoshabihiana ?

2. Unapo ona simu wewe au kitu chochote kwacho kipi katika umbile fulani na nidhamu maalumu, unajifunza nini ?

3. Je kuna kitu kimekuwepo kwa bahati mbaya au "from nothing" kama kipo kitaje na utuambie umejuaje hilo ?

4. Je kuna kitu kinaweza kujiumba chenyewe ? Kama kipo ni kipi na utuambie umejuaje ?

Kupitia maswali haya na ukiwa makini, utaona ya kuwa ulicho uliza kipo dhidi yako na kuna sehemu uliruka katika kufikiri kwako.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom