The history of Chinese racism to blacks and africans

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,479
51,044
Some people think that racism depicted by the Chinese toward blacks is just a recent phenomenon.
However history of these barbaric acts goes way back years since the initial contacts between China and Africa.

Apart from diplomatic missions between China and Africa as the means of interaction between the two sides, the other way was through African students who went to study in China during those years. The first Batch of African students to go to study in China was as early as in the 60's

Because Mao Ze dong and Zhou Enlai saw that Africa was at Cjina's core strategy in its disputes with the Soviet Union after the two sides splitt ideologically each trying to be a leader of the communist course. Thus the chinese were very good to Africa trying to lure it to its side, spoke very good about it in China, helped Africa with military supplies against colonialists, Generally during this early years the Chinese society had no big issues with Africans as they saw themselves as victims of Imperialism just like Africans and because most of them haven't come in contact with Africans anyway and also because the "Great Leader" himself was pro Africa in his comments.

Things started to change in later years when Mao grew old, started losing control and as the number of Africans in China increased.

During the 70's and 80's there were skirmishes leading to fights between the Chinese students and Africans in different university compuses in China where Africa students were studying leading to hospitalization of some students. .

Some of the Chinese complaints and their accusations to Africans included:

1. Resentment of africa boys dating with the chinese girls-This thing irritated the Chinese guys, Surprisingly the Chinese would tolerate white guys to date their chinese girls but would grow very angry to see Chinese girls going out with black guys

2. They were complaining that the Chinese government was treating foreigners including Africans better by providing better care in the campuses than they do to them.

3. They were protesting African students way of life in the campuses such as playing music loud.

4.Accusing Africans in China of having AIDS and HIV

5. Mere hatred,Going to low levels of calling Africa names such as "Ugly", or black ghosts

In numerous occasions during those years Africa diplomats had raised concerns of acts of racism against blacks to the Chinese authorities, most of the time the Chinese authorities had been downplaying the situation giving excuses such as "those are just excited youth", or sometimes were confining Africans students forcing them to confessions of wrong doing before their release

While in the early years the racial tension between Africans and chinese were in the campuses, the recent conflicts are far beyond the campuses, they are in the subways, in the buses, in the hotels, in the restaurants, It is even more in the social media where the chinese use extremely racist and derogatory terms to people of black skin.

In order to understand better about the Chinese and blacks racial tensions in China especially Africans you need to read the paper "Anti-Black racism in Post-Mao China" authored by Barry Sautman in 1994

Here is a paper:
 
Attachments

  • sautman1994.pdf
    1.6 MB · Views: 3
Watu wengi wanakuwa kimya sana kulaani ubaguzi hasa pale unapofanywa na Wachina kwa watu weusi....!!!

Hata huu uzi ni mfano mzuri, hauwezi kupata wachangiaji wengi. Watanzania wana hulka ya unafiki sana.
 
Ni tatizo la propaganda ya "wachina ni ndugu zetu", hawajui tu kwa mfano kuwa China hutumia nguvu nyingi kuwaaminisha waafrika kuwa wanawapenda kumbe kimoyomoyo ni wabaguzi wa kufa mtu.
Mkuu chukua hiyo document niliyoattach hapo usambaze kwenye magrupu kibao ya whatsapp waafrika wajue historia ya ubaguzi wa wachina kwa waafrika ilianzaanza vipi.

hiyo document ni nzuri nzuri sana kuonyesha asili ya tatizo
 
Watu wengi wanakuwa kimya sana kulaani ubaguzi hasa pale unapofanywa na Wachina kwa watu weusi....!!!

Hata huu uzi ni mfano mzuri, hauwezi kupata wachangiaji wengi. Watanzania wana hulka ya unafiki sana.
... manazi wengi wa uchina wanajifanya huu uzi na hiyo paper iliyoenda shule hawaioni; no wanatamani clock ingerudi nyuma hayo yasiwe yametokea! Mchina ni mshenzi linapokuja suala la ubaguzi.
 
Watu wengi wanakuwa kimya sana kulaani ubaguzi hasa pale unapofanywa na Wachina kwa watu weusi....!!!

Hata huu uzi ni mfano mzuri, hauwezi kupata wachangiaji wengi. Watanzania wana hulka ya unafiki sana.
Ubaguzi haukibaliki popote ila hata wazungu washagubagua na wanaendelea kutubagua kwahio hakuna jipya hapo

Tena wazungu walituonea hasa maana walitufanya mpaka watumwa wapuuzi wale

Huu utumwa wasasa niwakujitakia wenyewe maana hatulazimishwi tunaenda wenyewe kwa dhiki njaa na matatizo yetu

Watu weupe wapuuzi sana kwaujumla wao.

Sent using My COVID-19
 
Tunajua ubaguzi kwa wazungu upo, lakini tukizungumzia ubaguzi wa mchina usianze kuleta habari za "mbona na fulani naye mbaguzi", ukifanya hivyo unakuwa unakuwa unapoteza focus.
Ni vizuri sasa tumeijua jamii ya kichina kuwa nayo ni ya kibaguzi ili tujue tuenende nao vipi, kule mwanzoni tulikuwa hatuwajui vizuri na tulikuwa tukijidanganya kuwa ni marafiki kwetu, lakini sasa tumewajua vizuri, hii itasaidia kuadjust namna gani ya kudeal nao
 
Utakimbilia wapi ambapo hubaguliwi

Mhim labda kama tutaweza jitegemea wenyewe kama wenyewe

Sisi wenyewe tunabaguana unahisi hao wengine wazungu wachina wahindi nawengne wataachaje kutubagua ?!

Waafrika kuna mahali tunakwama lazma tujikwamue wenyewe kwanza.....

Tupambane dhidi ya umasikini huku tukikataa kubaguliwa.
 
Kubaguliwa na vijitu ugly na mimacho mikubwa kama bulb inafikirisha sana mi nilidhani tupo superior kwa Chinese people. Kuna kitu cha ziada zaidi ya kuwa mweusi cha kubaguliwa kwacho umasikini mbaya sana.
 
Ubaguzi haukibaliki popote ila hata wazungu washagubagua na wanaendelea kutubagua kwahio hakuna jipya hapo

Tena wazungu walituonea hasa maana walitufanya mpaka watumwa wapuuzi wale

Huu utumwa wasasa niwakujitakia wenyewe maana hatulazimishwi tunaenda wenyewe kwa dhiki njaa na matatizo yetu

Watu weupe wapuuzi sana kwaujumla wao.

Sent using My COVID-19
Wewe jaribu kutumia hata akili kidogo basi, unajua idadi ya Wachina walioko nje ya nchi yao na je na sisi tukiamua kuwafanyia huu ujinga wanaotufanyia wao watajihisije.

Hii tabia ya kuhalalisha ujinga fulani kwa kusema kuwa hata Wazungu wanaufanya ni kuonyesha ni kwa kiasi gani mwenye fikra hiyo alivyo bogus.

Kama ni utumwa nani ambaye hakufanya biashara ya utumwa, waarabu waliwapeleka waafrika utumwani hadi China na leo hii hakuna uzao hata moja wa watumwa hao Asia yote kwani watumwa wanaume wote walihasiwa.
 
Punguza jaziba kiongozi, mchezo huu hauhitaji hasira.

Watu wengi hapa wanamfahamu vyema mleta maada kwamba ni shabiki au mpenzi wa siasa za mlengo wa magharibi, vilevile inajulikana wazi kwamba USA wanaugonvi na CHINA kiuchumi. Swala la COVID 19 limekua kichocheo kingine cha ugonvi baina ya mataifa hayo mawili.

Pengine nguvu zoote anazozionesha mleta maada kuielezea china na ubaguzi wake kwa watu weusi yawezekana ni katika mwendelezo ule ule wa maslahi ya kiuchumi baina ya USA na CHINA.

Hakuna anaependa ubaguzi wa aina yoyote ile, na ukitokea popote pale ni lazima upingwe na watu wote kwa nguvu zote ,lakini Swala la msingi apa kwa nini shutuma zoote hizi dhidi ya china zije wakati huu wa fukuto la uchumi kati ya CHINA NA USA.? Akhsante
 
Kwa hiyo wewe mada inayoelimisha watu wako kuhusu asili ya matatizo ya ubaguzi yanayowasibu bado unaleta siasa ndani yake?
Hivi una habari ubaguzi unashamiri pale watu kama nyinyi wanapoona kuwa kuukemea kwa nguvu zote siyo big deal?
Wakiitwa black ghost, nigger, ugly, too dark wanachill tu.

Tunajua ubaguzi Marekani dhidi ya watu weusi upo lakini Walichokifanya Wachina dhidi ya Weusi ni aina ya Ubaguzi uliokuwepo Marekani kipindi cha Jim Crow. Yaani kubandika mabango kwenye restaurants kuwa "No blacks". Ni ubaguzi mbaya, mbaya mno

Bado unaleta ubishani wa umarekani na uchina katika jambo hili nyeti kabisa?

Jitambue wewe
 
Nilisema SIKU MOJA KWAMBA CHINA NI WABAGUZI KWA WAAFRICA sababu ni VIBAMIA NA WENGI NI GOVINDA....Leo UZI UMEDHIHIRISHA...kumbe ugomvi ulianza KWA VIJANA WA KICHINA KUWA NA WIVU NA DADA ZAO KUTOKA NA WAAFRICA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa maji kwanza halafu shusha punzi wala usipanic mkuu haya nimaoni mawazo na mtazamo wangu pia sio lazima vifanane navyako kama unategemea dunia nzima tufanane mawazo kama yako wewe ambae sio boguz pole sana MKUU
Wewe jaribu kutumia hata akili kidogo basi, unajua idadi ya Wachina walioko nje ya nchi yao na je na sisi tukiamua kuwafanyia huu ujinga wanaotufanyia wao watajihisije.

Hii tabia ya kuhalalisha ujinga fulani kwa kusema kuwa hata Wazungu wanaufanya ni kuonyesha ni kwa kiasi gani mwenye fikra hiyo alivyo bogus.

Kama ni utumwa nani ambaye hakufanya biashara ya utumwa, waarabu waliwapeleka waafrika utumwani hadi China na leo hii hakuna uzao hata moja wa watumwa hao Asia yote kwani watumwa wanaume wote walihasiwa.
Unataka kupitia ubaguzi wanaoufanya WACHINA Tusahau Naubaguzi Unaofanywa Nawazungu ?!

Tena Mizungu ilivyomipuuzi Inajifanya Kuhubiria Kuukataa Ubaguzi wakati Wabaguzi wakutupwa

Say no to racism hii kampeni pale ulaya unahisi ili anzishwa kwabahati mbaya ?!

Ulaya Mashariki Inanuka Ubaguzi Yamagharibi Walau Wana Unafuu Ila Sio Kama Sio Wabaguzi

Usitake Tuhalalishe Ubaguzi WAWACHINA Halafu Tuusahau Ubaguzi WAWAZUNGU Haitakaa Itokeee...

Sent using My COVID-19
 
Punguza jaziba kiongozi, mchezo huu hauhitaji hasira.

Watu wengi hapa wanamfahamu vyema mleta maada kwamba ni shabiki au mpenzi wa siasa za mlengo wa magharibi, vilevile inajulikana wazi kwamba USA wanaugonvi na CHINA kiuchumi. Swala la COVID 19 limekua kichocheo kingine cha ugonvi baina ya mataifa hayo mawili.

Pengine nguvu zoote anazozionesha mleta maada kuielezea china na ubaguzi wake kwa watu weusi yawezekana ni katika mwendelezo ule ule wa maslahi ya kiuchumi baina ya USA na CHINA.

Hakuna anaependa ubaguzi wa aina yoyote ile, na ukitokea popote pale ni lazima upingwe na watu wote kwa nguvu zote ,lakini Swala la msingi apa kwa nini shutuma zoote hizi dhidi ya china zije wakati huu wa fukuto la uchumi kati ya CHINA NA USA.? Akhsante
Akikijibu usisahau kunitag.

Sent using My COVID-19
 
Hapa ndio nnapokua napingana nawatu kama wewe
Kwa hiyo wewe mada inayoelimisha watu wako kuhusu asili ya matatizo ya ubaguzi yanayowasibu bado unaleta siasa ndani yake?
Hivi una habari ubaguzi unashamiri pale watu kama nyinyi wanapoona kuwa kuukemea kwa nguvu zote siyo big deal?
Wakiitwa black ghost, nigger, ugly, too dark wanachill tu.

Tunajua ubaguzi Marekani dhidi ya watu weusi upo lakini Walichokifanya Wachina dhidi ya Weusi ni aina ya Ubaguzi uliokuwepo Marekani kipindi cha Jim Crow. Yaani kubandika mabango kwenye restaurants kuwa "No blacks". Ni ubaguzi mbaya, mbaya mno

Bado unaleta ubishani wa umarekani na uchina katika jambo hili nyeti kabisa?

Jitambue wewe
Ubaguzi wakubandika mabango mbaya mnoooo kama unavyo tuaminisha haya tuambie ubaguzi mzuri unakuaje ?!

Yaani unataka kusema kuzini na mke wa mtu gest ni mbaya sanaaa ila kuzini na mke wa mtu kwako sio mbaya sana ?!

Dooh...

Sent using My COVID-19
 
Wachina ni mbwa kabisa,hawana undugu na sisi,wenzetu SA waliwashitukia zamani sana,hapa kwetu tunawabembeleza kwa sababu ya viongozi vilaza wanaoomba misaada,
Ukitaka kujua hawa mbwa walivyo wabaguzi nenda kiwanda cha urafiki,uone ubaguzi wao,
Huu unyonge wa mwafrika,hautaisha kama hii Afrika ya weusi itaendelea kuwa omba omba badala ya kuchangia hapa duniani,
Ili tuheshimiwe inabidi tuwe kama India,Vietnam,SA(ya weupe),Malaysia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena mambo mazito sana na yanayohitaji tafakuri.
Punguza jaziba kiongozi, mchezo huu hauhitaji hasira.

Watu wengi hapa wanamfahamu vyema mleta maada kwamba ni shabiki au mpenzi wa siasa za mlengo wa magharibi, vilevile inajulikana wazi kwamba USA wanaugonvi na CHINA kiuchumi. Swala la COVID 19 limekua kichocheo kingine cha ugonvi baina ya mataifa hayo mawili.

Pengine nguvu zoote anazozionesha mleta maada kuielezea china na ubaguzi wake kwa watu weusi yawezekana ni katika mwendelezo ule ule wa maslahi ya kiuchumi baina ya USA na CHINA.

Hakuna anaependa ubaguzi wa aina yoyote ile, na ukitokea popote pale ni lazima upingwe na watu wote kwa nguvu zote ,lakini Swala la msingi apa kwa nini shutuma zoote hizi dhidi ya china zije wakati huu wa fukuto la uchumi kati ya CHINA NA USA.? Akhsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa maji kwanza halafu shusha punzi wala usipanic mkuu haya nimaoni mawazo na mtazamo wangu pia sio lazima vifanane navyako kama unategemea dunia nzima tufanane mawazo kama yako wewe ambae sio boguz pole sana MKUUUnataka kupitia ubaguzi wanaoufanya WACHINA Tusahau Naubaguzi Unaofanywa Nawazungu ?!

Tena Mizungu ilivyomipuuzi Inajifanya Kuhubiria Kuukataa Ubaguzi wakati Wabaguzi wakutupwa

Say no to racism hii kampeni pale ulaya unahisi ili anzishwa kwabahati mbaya ?!

Ulaya Mashariki Inanuka Ubaguzi Yamagharibi Walau Wana Unafuu Ila Sio Kama Sio Wabaguzi

Usitake Tuhalalishe Ubaguzi WAWACHINA Halafu Tuusahau Ubaguzi WAWAZUNGU Haitakaa Itokeee...

Sent using My COVID-19
Mbona inapokujaga habari za wazungu kubagua mbona huwa husemi hata wachina nao ni wabaguzi?! Bali moja kwa moja huanza kuwabwekea wazungu sasa nini kinakuzui kuwabwekea wachina kama kweli wewe sio mnafiki!
Likija suala mtu mweusi kabaguliwa US wala huwa husemi na China wanabaguliwa, lakin likija suala la mtu mweusi kabaguliwa china huwa unashindwa hata kujadili mada na kusema mbona US nao wanabagua! Sasa huoni wewe ni linafiki la kiwango Cha lami?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani haya mambo yanatokea kwakua tu CHINA amekamata soko la Afrika ukilinganisha na USA.

Kwa hiyo hizo propaganda lazima zitokee tu.

Kwa mfano kuna sehem nimeona USA anasema tueni makini na bidhaa zinazozalishwa CHINA.

Hapo ukitafakari kwa kina unaweza kupata jibu na kung'amua jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom