The hijacking of the Kaabah-1979

Mkuu sijui uelewa wako ulifikia wapi .mohammad hakutabiri hvy yeye alisema kua katika zama karibu na kiama basi masii issa mwana wa mariam atarudi kupambana na masii dajjal huko Mashariki ya kati.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie uelewa wangu upo sawa tu labda wewe ndio unataka kunihamisha kwenye mada. Hebu kasome hiyo aya aliyoiweka mtoa post. Binafsi niliwahi kuwa muislam lakini baadae nikagundua Quran ni maandishi ya mtu aliyetaka kuupotosha ukweli na hivyo akaja kwa style ya kuuchanganya umma wa Nabii Isa (Yesu kristo) hivyo wengine wakaondoka wakaiacha kweli wakakimbilia huko kwa mtume muhammad. Ninavho amini mtume muhammad anamuabudu kristo na ataendelea kumuabudu masihi akirudi.

Ole kwao walioketa kitabu hicho kinachopotosha ukweli wa Biblia. Kristo atusaidie tuijue kweli yake kupitia kitabu chake alichokiacha kuoitia watumishi wake.

Happy dude
 
Sasa Qur an maandishi ya nani mkuu mana Muhammad hakujua kusoma wala kuandika. Na content ya Qur an na fasaha ya lugha iliotumika waarabu wenyewe walikiri isingewezekana kwa binaadam kuandika namna vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ulikuwa muislam wa kuigiza tu.

Siyo ABRAHAMU ni ABRAHA
Abrahamu ni mtume na ndiye aliyejenga Kaaba kwa mara ya kwanza, Ila Abraha alikuwa ni mtawala wa Abysinia (Ethiopia) ndo alitaka kuiteka Makka na jeshi lake likaangamizwa na Mungu
 
Na duania itakapokaribia kuisha wataiteka tena ( waithopia) na watabomoa tofali moja hadi jengine na watayatupa baharini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Qur an maandishi ya nani mkuu mana Muhammad hakujua kusoma wala kuandika. Na content ya Qur an na fasaha ya lugha iliotumika waarabu wenyewe walikiri isingewezekana kwa binaadam kuandika namna vile.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yale ni maagizo ya yule mkuu wa Giza alipomuagiza jini jibri awakaririshe maagizo yake

Happy dude
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom