The hidden meaning in the gospel of Thomas

lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,351
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,351 2,000
Natumai kila mmoja wetu humu ndani yu mzima wa afya njema kabisa,,,hivyo niombe sana modulators Invisible msiuhamishe uzi huu kwenye jukwaa la dini kwani una madini kibao kwa wana Itelligensia wa humu na niombe tu kwa wale ndugu zangu wafia dini ambao mmekuwa mkiyameza maneno kama yalivyo kwenye bible huku ukweli wake ukiwa umefichwa bila nyie kujua basi na nyie ni muda mwafaka wa kuchallenge imani zenu.,,,,

Leo nitatoa mchango kidogo juu ya kwanini THE GOSPEL OF THOMAS iliondolewa kwenye bible tunayotumia huku ikiwa imeesheni madini ya maana katika codes flani lakini wapo watu waliofanikiwa kuvujisha nyaraka zilizokuwa zimetafsiri uhalisia wake,,,,mkuu Da vincci na zitto junior pamoja na Stephen Chelu ambao mmekuwa mkifuatilia kwa ukaribu juu ya mambo ya biblia ,hebu tujaribu kuona uhalisia wa kitabu hiki na maana halisi ya maneno yale.

Vitabu vyote ambavyo viliondolewa kwenye biblia ya sasa hivi inasemekana nyaraka zake zilizokuwa zikibeba uhalisia zilivuja hivyo kupelekea kuwa na hofu ya watu kujua uhalisia ,ndo mana kitabu cha THE LOST TWINS,THE GOSPEL OF MARY MAGDALENA na THE GOSPEL OF THOMAS ziliondolewa katika Biblia hiyo tuliyonayo kwa sababu jamii ilikuwa tayari inaenda kupata nakala halisi za copy ya maana halisi za jumbe katika maandishi yale...(Majadiliano) Hizi ni ajabu katika maneno ambayo Yesu, aliye hai,alizungumza,
(mysterious sayings which Jesus, the Living One,spoke)
na Didymos (The Twin)Yuda, aitwaye Tomasi, aliandika(Kati ya siku 8-40 baada ya ufufuo wake.)

N.B maneno yaliyo katika mabano ndo tafsiri halisi ya mystery zinazozungumziwa kwenye biblia hivyo basi ukiwa unasoma neno au sentesi basi tafsiri yake ipo kwenye mabano na maneno yenye rangi nyekundu ndo maneno ambayo tafsiri yake imetolewa kwenye mabano ......so Maneno mekundu yana utata sana....na watu tunachukua maana zake kama zilivyo...but it's not...

KARINBUNI
==================

ccc-png.1013398

1) Na akasema, Yeyote anayesikia haya
maneno (na) kupata maana yake na kukubali kuihangaika juu ya maneno yale ( hatapoteza maana ya maneno yale yaliyo katika mafumbo)

2)Yesu akasema, Mtu atafutaye (maana ya maneno haya) maneno haya bila kuchoka na kuendelea kutafuta maneno ( maana) mpaka akayapata ( maana halisi)na atakapo yapata ( maana halisi ya ukweli) hatakuwa troubled(hatakuwa kwenye Illusion yenye fedheha na udanganyifu wa maana nzima ya maneno yale) na atashangaa kwa hamaki kubwa- verse 58 na atakuwa mtu mwenye kuujua ukweli wa mambo yote kwani nguvu ya kukaa katika kiti cha enzi chenye mamlaka makuu ya kutawala ulimwengu vitakuwa mikononi mwake.
Jesus said, The one who seeks (For the meaning of these words) should ot leave off, (But) keep on seeking (For it) until he finds (The mystery).When he finds (The meaning, themystery), he will be troubled (Labor and find life --verse 58) (and) will marvel. When he is troubled (and) when he marvels, then he will be surprised, (for) he will reign (Over the world) (and) rule over the all (Verse 4). And when he rules then he will rest
(The Sabbath rest, in the 7th millennium ..maneno yaliyomo kwenye mabano ndo maana halisi ya hiyo mystery.
aa-png.1013417

( viongozi wa dini wanatupa maana tofauti na uhalisia wa jambo lilivyo kwa kututengenezea maana mpya zenye kubeba upotoshaji ambao unamfanya mwanadamu kuwa mbali na maana halisi lakini wanaotafuta maana kwa kuhangaika kuyajua maandiko yalivyo kinyume nyume .)
cc-png.1013399
maana yake katika ujumla...
Viongozi wa dini wanaopotosha watu wao kuwa maneno yalivyoandikwa ndivyo yalivyo wataahidiwa kujua iliyokweli toka mamlaka za juu na hao watapata life asurance ya maisha yao baada ya kifo au hukumu,,,kadri uinavyodanganya watu na kuwaingiza mkenge ndipo siku zako za kupewa maana kamili ya ulimwengu ulivyo unahesabika na mwisho wa siku utapata kujua ile iliyo kweli...kwa hiyo viongiozi wa dini wana ahadi ya kupewa maana kamili mwisho wa siku katika kazi yao tusione wanakomaa kuendelea kupotosha maana zake..)

5) Jesus said, Know what is before your face (The secret message encoded within the Scriptures) and what is concealed (The keys to this secret language--verse 39; Luke 11:52) from you will be revealed to you. For nothing is hidden (By the scribes and Pharisees --verse 39; Luke 11:52; and afterwards the Church) that will not be revealed, (The keys will be restored) nor is anything buried (Under an earthly teaching) that will not be raised (Seen in its higher-level meaning).

(Hapo maana halisi ni kwamba Yesu anawaasa watu kuwa jaribuni kujua maana halisi ya maneno yale na ujumbe wake uliofichwa au maana imefichwa katika uelewa wa juu sana na mtu wa kawaida kuelewa ni ngumu hivyo inahitaji kujua tafsiri yake katika uelewa ulio juu )

Ukizidi kusoma THE gospel of Thomas ndani zaidi utakutana na maana ya ile parable ya YESU na hapo ukweli ni kwamba wanafunzi wanamuliza yesu ni kwa jinsi gani wataweza kuwa na nguvu za kutenda maajabu ili hali bila kutumia alama ,logos pamoja na maumbo ,,hapa namanisha secrete societies kutumia alama na maumbo katika mambo yao kama njia ya kupashana habari ,lakini Yesu anawaambia msitoe maana potofu kama ilivyoaandikwa katika maandiko hayo kwa kuupotosha ukweli kwani ukweli upo ndana katika uelewa wa hali ya juu kwani hakuna geni au jipya ambalo halijatolewa ufafanuzi katika ukweli na maneno ya kwenye biblia yasichukuliwe kama yalivyo ....so ukweli unawekwa hidden sana na wenye kujua ukweli wanatueleza kwa maana ile ile iliyo katika bible,,)
aaa-png.1013416(ukweli utapindishwa ili kumfanya mwanadamu kupotea na kuwa katika utawala wa hisia na mawazo toka kwa wenye kuujua ukweli na watamwendesha mwandamu katika nia ile waijuayo wao)

Hapo kuna maana kubwa sana kuwa Ukristo umezaa kristoo ndogo ndogo ambazo zimetokana na ukristo mkubwa toka enzi hadi enzi na baada ya kuwagawa watu katika makanisa yenye uongozi tofauti huku yote kwa pamoja yakifundisha juu ya ukristo ,gafla ukristo mkubwa unaziunganisha kristo ndogo ndogo ili ziabudu katika njia moja huku zikiwa chini ya Ukristo mkubwa..hapa nahisi muunganiko wa makanisa chini ya kiongozi mmoja ndo maana halisi,,,kwa hiyo huo ufalme wa mbingu tunaokuwa tunaambiwa ndo kuongozwa chini ya mamlaka moja yneye final say huku mamlaka zingine zikiwa chini yake,,,huo mfano umetolewa na Yesu mwneyewe akiwaambia watu maana halisi ya ufamle wa mbingu ambao tumekuwa tukiusikia na kuambiwa,,,so UFALME WA MBINGU NI MJUMUIKO WA TAWALA NYINGI ZILIZO CHINI YA TAWALA KUBWA YENYE KUABUDU AINA MOJA YA TAMADUNI.....Tujiulize ni utawala ngani huo ulio mkubwa mabo ndo ufamle wa mbingu,,,?? maisha yapo hapa hapo duniani asikwambie mtu kuwa kuna ufalme somewhere,,,

Nimeweke kitabu chini Gospal yote huku kwenye mabano ikiwa imebeba maana halisi ya maneno yale.....

Hapo tafsiri ni kwamba uongo huo juu ya maandiko matakatifu utapita na watu watapata kuijua kweli kadri muda unavozidi kwenda kwa sababu wanaopata kujua ile iliyo kweli wataishi milele katika maisha marefu kwani ni ngumu kuendelea kuwadanganya ile ilioyo kweli kwani mbingu na ufalme wa mbingu ambao wamekuwa wakiahidiwa na kuambiwa siyo ule unaozungumziwa katika maana ile iliyowekwa katika maneno ya kwenye vitabu vitakatifu...time will tell .....watu wanazidi kuamka juu ya uwongo unaotolewa kama maana kwa maneno yale katika Biblia..,,,


13) Jesus said to his disciples, Compare me to someone and tell me whom I am like. Simon Peter (The Church) said to him, you are like a righteous angel (Miracle worker, luminous being). Matthew (Who is also known as Levi; the Jews) said to him, you are like a wise philosopher (As in how they always call him rabbi). Thomas (TheElect) said to him, master, my mouth is wholly incapable of saying whom you are like. Jesus said, I am not your master. Because you have imbibed (From his mouth--verse 108), you have become intoxicated by the bubbling spring (of God’s Word) which I have measured out (In precise terminology,
which is why Thomas cannot speak it). And he took him and withdrew (From the Jews and Christians) and told him
Ni kwamba ili mtu aweze kuelewa ukweli wa mambo ni lazima atambue ILLUSION na REALITY kwa pamoja,,,,hutaweza kuelewa ukweli if youn can not distinguish from Iluusion,,,bothe the lower meaning ( Illusion and the upper meaning ambayo ni REALITY ndipo atapata kujua kuwa reality inatawala illusion katika ufahamu wa juu zaidi...

TWENDE KWENYE MISTALI YA MWISHO

113) His disciples said to him, When will the Kingdom come? <Jesus said,> It will not come by waiting for it. (It must be sought for, asked for, knocked-upon; found, received and opened-up to us.) It will not be a
matter of saying 'here it is' or 'there it is.' (In the sky or sea, as our leaders may tell us --verse 3). Rather, the Kingdom of the Father is spread out upon the earth, (Hidden in earthly terminology in other words) and men do not see it. (Because the keys have been taken and hidden.)

Hapa ni kwamba ufalme wa mbingu hautakuja kwa kupewa kuwa huu hapa chukua ,ila mtu ataupata kwa kuutafuta yeye mwenyewe na maneno yaliyokatika vitabu vitakatifu vimeuelezea kwa namna ya kipekee sana na sio kama inavyotafsiliwa kuwa ufalme wa mbingu upo juu kwenye mawingu kama wanavyoambiwa na viongozi wa dini....maneno haya yamewekwa ili kuficha ukweli katika maandishi...Yesu alimjibu mwanafunzi wake aliyeuliza kuwa ufalme wa ,mbingu tutaupaje ..,,


Mwisho,,,,kutoka mistari ya katikati....

56) Jesus said, Whoever has come to understand the world (and how it hides the spiritual behind a fleshly façade) has found (only) a corpse (Tradition; poverty; the word without spiritual insight), and whoever has
found a corpse (That the worldly images serves this function) is superior the world (Not subject to its delusion).
(Yeyote akayayejua ukweli juu ya maana dhidi ya maandiko yale hakika atao ndokana na dhana potofu ya udanganyifu na uongo ambayo ni ILLUSION na atakuwa kajua ukweli wa mambo na ataondokana na umaskini wa fikra yakinifu juu uhalisia uliopo juu ya ulimwengu huu...)

57) Jesus said, The Kingdom of the Father is like a man who had [good] seed (The Word). His enemy (Satan
and his people, the Judases) came by night (This 2,000-year age of darkness) and sowed weeds (False teachings, teachers) among the good seed (Word of God). The man (God) did not allow them (The angels) to pull up the weeds (By revealing the truth before the 2,000 years were up); he said to them, ‘ afraid that you will go intending to pull up the weeds (False, lower-level teachings) and pull up the wheat (Fruit) along with them.' (and since he didn’t, we have this book that testifies against them in our time) for on the day of the harvest (The 7th day, or millennium) the weeds (False doctrines) will be plainly visible, and
they will be pulled up (Out of the Churches and Synagogues) and burned (When the fire blazes, and the sword; the 3rd Testament--and war-between those of the 2 and of the 3 Testamentsbreaks out).

Ufalme wa Mbingu ni kama dunia ambayo ilikuwa safi bila kuwa na uchafu wowote wa udanganyifu yaani illusion ila hapo katikati kukawa na uanzilishi wa uongo na kupandikizwa katika akili wa wanadamu ili wachache wapate kuwatawala wengi..ndivyo ilivyo sasa..maisha ya hapa duniani ni ya hapa hapa hakuna mbingu wala nini,,,,ila kuna illusion imeletwa kuwafanya watu washindwe kuwa na uwezo wa kuwa kama Muumba alivyo hivyo kumepelekea ile iliyo kweli kuwekewa chachu nyingi kiasi cha kuuficha ukweli halisi...

Nitaweka hapa china copy yote ili kwa atakayependa kujua tafsiri halisi ya the gospel of thomas ilivyokuwa inatopa siri yote ya meanings ya maneno yalikuwa yameandikwa na ndo mana baada ya tafsiri yake kupatikana iliamuliwa kuondolewa kabisa katika biblia ili kubakiza maandiko ambayo maana zake zimeendelea kufichwa...

====[/COLOR][/I][/B]
 

Attachments:

mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Messages
2,071
Points
2,000
mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2017
2,071 2,000
Hapa naomba kuuliza swali,kwanza sina ufahamu wowote juu ya Biblia kwa maana yale yalioyomo ndani.

Je katika ulimwengu wa kikristo kuna fabi maalumu yaani elimu maalumu kwa ajili ya kuchunguza uhakika na ukweli juu ya mapokeo katika Biblia ?

Yaani kushughulika na matini na wale wapokezi wa mwanzo wa matini hizo kwa kuangalia uwepo wao,yaani je waliwahi kuishi kweli au alikuwa ni mkweli kiasi gani ?
Hili swali limekaa KIISLAM sana. For Muhadithina
 
mmangO

mmangO

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
380
Points
500
mmangO

mmangO

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
380 500
Sorry ..hapo kwenƴe mbingu na ufalme wa mbingu hakuna kilichoeleweka kwangu ...laɓda nikuulize wewe uliyesoma ,kukubali na kuelewa hiƴo injili ƴa thomasi swali:-
Mbingu ni nini!?
tuanzie hapo laɓda..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Messages
4,077
Points
2,000
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2016
4,077 2,000
Swala la kuviamini ni kutokana na content iliyopo ndani mwake amabyo ni tofauti na content zilizopo kwenye maandiko ya sasa hivi...

Mfano mzuri nu kushindwa kusoviwa kwa mysteries mbali mbali ambazo zimeacha blanks kubwa sana mpaka sana...

Kingine kinachonifanya nisadifu uhalisia wa vitabu hivyo ni kuundiwa taasisi maalumu kuficha uwezekano wa kuvipata kwa Waumini wa kawaida...

Kingine kinachonifanya niviamini ninkutokana na kuwa restricted katika higher learning hasa institute na kozi mbali mbali...kwa mfano kuna level flan katika utume unapewa 1/3 ya copy yenye content ya vitaby vile kisha unasoma na kucompare the early teachings from the late teachings .....

kingine kinachonifanya niamini kuwa vile vitabu vimeelezea ukweli ni kutoka na unsolved mysteries kwa mfano uwepo wa Yesu...

Kingine ni kwamba kitabu cha Genesisi ni man made tena late formulation kabisa ya scripture ambayo haijaelezea order nzima ya uumbaji ...Sent using Nokia 8 Plus
lifecoded....

Hivi kuna maandiko kutoka kwenye hivyo vitabu yanayosema Yesu hakuexist.. ?

Na Hiyo injili ya Mary ndio ile inasema yesu alizaa watoto??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,351
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,351 2,000
Sijasema mimi kuwa yesu amezaaa watoto na Mary ila ni wewe kuwa muwazi kama umeisoma au bado hujaisoma...... kama bado kuwa muwazi ili tupate access ya kuipata ili tuisome na kuichambua barabara...tusije tukaanza kubishana juu juu bila kujua content zake....Sitaki kuzungumza chochote ili hali mtu hajawa access ya Maandiko yale..

Kuna baadhi ya maandiko yanakataa katakata kuwa hapakuwa na Mtu anayeitwa Yesu physically...ila ni man made constructed word kuportray kitu flani...

Na hayo maandiko ni moja wapo ya Writtings zinazopigwa marufuku kabisa kuonekana ka watu...

Kuna kitabu flani kimechambua barabara kuhusu hilo jina la Yesu


...
lifecoded....

Hivi kuna maandiko kutoka kwenye hivyo vitabu yanayosema Yesu hakuexist.. ?

Na Hiyo injili ya Mary ndio ile inasema yesu alizaa watoto??


....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Nokia 8 Plus
 
little master

little master

Senior Member
Joined
Jul 16, 2018
Messages
194
Points
250
little master

little master

Senior Member
Joined Jul 16, 2018
194 250
N
Unaambiwa hivi mkuu....The gospel of Thomas ilikuwa balaaa...watu walihack tafsiri yake mpaka ikapatikana ....

Hiyo the Gospel of mary magdalena ni balaaa imeelezea uhalisia na uhusiano wa mtu anayeitwa Yesu na Hao wanafunzi wake...

Imeweza mpaka kuichambua vizuri The NIGHT TEMPLER ambayo ni taasisi iliyokula kiapo cha kuhifadhi siri nzito ya huyu mtu anayeitwa Yesu kuwahi kutokea katika uso wa Dunia hii...

Hawakuibun kwa sababu za ajabu eti zinaongeza mzigo kwenye usomaji...hapana...ndo zimesheheni ukweli mtupu...

View attachment 1013462

Sent using Nokia 8 Plus
Niliwahi kuwa mpingaji sanaaa wa haya mambo ila siku niliyogundua sabato siyo jumamosi yani Saturday nilianza kufuatilia haya kiundani sana niligundua mengi lakini mpaka pale nilipoamua kuruhusu kiakili niwe huru hivyo simshangai mkuu anavyobisha bila facts hata Mimi nilitokea huko huko.

What the human race is suffering from is MASS HYPNOSIS. We are being hypnotized by people like this NEWSREADERS, POLITICIANS, TEACHERS, LECTURERS. We are in the world that is being run by UNBELIEVABLY SICK PEOPLE.

..... PAMOJA SANA LIFECODED.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,351
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,351 2,000
NNiliwahi kuwa mpingaji sanaaa wa haya mambo ila siku niliyogundua sabato siyo jumamosi yani Saturday nilianza kufuatilia haya kiundani sana niligundua mengi lakini mpaka pale nilipoamua kuruhusu kiakili niwe huru hivyo simshangai mkuu anavyobisha bila facts hata Mimi nilitokea huko huko.

What the human race is suffering from is MASS HYPNOSIS. We are being hypnotized by people like this NEWSREADERS, POLITICIANS, TEACHERS, LECTURERS. We are in the world that is being run by UNBELIEVABLY SICK PEOPLE.

..... PAMOJA SANA LIFECODED.

Sent using Jamii Forums mobile app
karibu sana.

Sent using Nokia 8 Plus
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,634
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,634 2,000
NAJUAJE AUTHENTIC YA HICHO KITABU?? KAMA SIO MATANGO PORI YA KUTUTOA KWENYE RELI. VILIVYOPO VINATOSHA ACHANA NA HIVYO VINGINE
Mkuu kama hoja yako ni authenticity pekee mbona mpaka leo Biblia haijui muandishi wa kitabu cha wimbo ulio bora wala Waebrania wala Isaya na jeremiah ila kwenye Biblia vimewekwa..... Mbona huko hujahoji authenticity na bado vimewekwa kwa Bible ila hivi vingine ndio mnahoji hilo suala!!

Huoni kuna double standards
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,634
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,634 2,000
Mfia dini wa kwanza nasema ""illusion ilio kubwa kuliko zote imo kwenye hizi injili za kinafki zilizoandikwa na wasomi wenye elimu kubwa ya shule ila wasiojua mambo ya kiroho.Na baadhi yao ni wanaume waliosahau uhalisia wao wakadiriki kufanya jinai kubwa ya kushikishwa ukuta.Yaani leo hii mtu anaepumuliwa na yeye anachallengi Mambo matukufu badala ya kufikiri ni wapi akili yake ya kuzaliwa ilipopotelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unasema hizi zimeandikwa na wasomi n.k ikionyesha unahoji credibility ya waandishi wa hizi ulizoita ''gospel za kinafiki''

Sasa basi Unaweza ukatusaidia majina ya waandishi wa Gospel za ukweli yaani mathew,mark,luke na john ziliandikwa na nani??

Kama mpaka leo hawajulikani walioziandika wala taarifa zao hazipo je kwanini unawakashifu hao waandishi wa gospel zingine ilihali hao walioandika gospel za Biblia ingawa hawajulikani ila hujawahi hoji credibility ya gospel zilizoandikwa bila Vyanzo kujulikana??

Huoni kuna double standards mkuu
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
5,558
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
5,558 2,000
Mkuu kama hoja yako ni authenticity pekee mbona mpaka leo Biblia haijui muandishi wa kitabu cha wimbo ulio bora wala Waebrania wala Isaya na jeremiah ila kwenye Biblia vimewekwa..... Mbona huko hujahoji authenticity na bado vimewekwa kwa Bible ila hivi vingine ndio mnahoji hilo suala!!

Huoni kuna double standards
ACHA UONGO MKUU, KITABU PEKEE AMBACHO MWANDISHI WAKE BADO HAJULIKANI NI WAEBRANIA JAPO MAUDHUI NA AINA YA UANDISHI VINASHAWISHI HUENDA KIMEANDIKWA NA PAULO.
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,351
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,351 2,000
Hata jinsi ya kuomba uli upate unachotaka kwenye bible wame edit nitofauti na kwenye nakala halisi na hiyo verse ipo kwenye gospel of Thomas.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mzuri ni ule mfano wa parable ya mbegu zilizomwagwa kwenye njia zikakanyagwa na wapita kwa miguu zikashindwa kuota,zingine zikamwagwe kwenye miiba zikaota lakini zikasongwa na miiba zikashindwa kukua ,zingine zikaangukia kwenye udongo mzuri zikaota zikazaaa idadi flani...

sasa hizo mbegu maana yake ni hii hapa....

soma mkuuu uweze kupata maana halisi ya kilichokuwa kinaongelewa mule...hiyo miiba sio miiba ya kuchoma na huo udongo sio udongo wa kawaida ila una maana yake...hii hapa...fuatili maneno meusi yaliyopauka ndo yanatoa tafsiri harisi kwenye mabano..
screenshot_20190206-080343-2-jpeg.1014722
screenshot_20190206-080637-2-jpeg.1014724


Sent using Nokia 8 Plus


Huo ndo ukweli kuwa baadhi ya vitabu viliondolewa na Thomas mwenyewe kazungumza humo kupitia hiyo parable....baadhi ya vitabu vya maana vilitolewa na ndo vitabu vilivyokuwa na content ya maana...
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,351
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,351 2,000
ACHA UONGO MKUU, KITABU PEKEE AMBACHO MWANDISHI WAKE BADO HAJULIKANI NI WAEBRANIA JAPO MAUDHUI NA AINA YA UANDISHI VINASHAWISHI HUENDA KIMEANDIKWA NA PAULO.
Duuuh....kwani hata ukiambiwa kuna maana zimetolewa utakubali??

Sent using Nokia 8 Plus
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
5,558
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
5,558 2,000
Duuuh....kwani hata ukiambiwa kuna maana zimetolewa utakubali??

Sent using Nokia 8 Plus
WE MBONA UNANG'ANG'ANIA VITU KUTOLEWA?? AGENDA YAKO NI NINI?? KWANI HIVYO VITU KWENYE KITABU "CHAKO" CHA THOMAS MBONA NAONA HATA YAKIWEPO HAYABADILI MAANA? JAPO SIE WENGINE HATUKIJUI NA UMECHAGUA SURA CHACHE ZA KUTUAMINISHA UNYOFOLEWAJI WA MAANDIKO?
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,351
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,351 2,000
Hata sio kunyofolewa tu bali hata maana halisi inayokuwa inasemwa na kuhubiliwa siyo yenyewe....

Lengo kubwa ni kujua maana halisi iliyomo ndani....

Japo kuna baadhi ya verses zilitolewa lakini bado hata kilichobaki hakitolewi maana kamili na halisi....

The problem ni kujua maana iliyomo ndani na kujua why some writtings were removed.....

Kujua maana ndo kitu pekee ambacho kitabadili fikra potofu iliyopandikizwa kwa mwanadamu.
WE MBONA UNANG'ANG'ANIA VITU KUTOLEWA?? AGENDA YAKO NI NINI?? KWANI HIVYO VITU KWENYE KITABU "CHAKO" CHA THOMAS MBONA NAONA HATA YAKIWEPO HAYABADILI MAANA? JAPO SIE WENGINE HATUKIJUI NA UMECHAGUA SURA CHACHE ZA KUTUAMINISHA UNYOFOLEWAJI WA MAANDIKO?
Sent using Nokia 8 Plus
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
5,558
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
5,558 2,000
Mfano mzuri ni ule mfano wa parable ya mbegu zilizomwagwa kwenye njia zikakanyagwa na wapita kwa miguu zikashindwa kuota,zingine zikamwagwe kwenye miiba zikaota lakini zikasongwa na miiba zikashindwa kukua ,zingine zikaangukia kwenye udongo mzuri zikaota zikazaaa idadi flani...

sasa hizo mbegu maana yake ni hii hapa....

soma mkuuu uweze kupata maana halisi ya kilichokuwa kinaongelewa mule...hiyo miiba sio miiba ya kuchoma na huo udongo sio udongo wa kawaida ila una maana yake...hii hapa...fuatili maneno meusi yaliyopauka ndo yanatoa tafsiri harisi kwenye mabano..
View attachment 1014722View attachment 1014724

Sent using Nokia 8 Plus


Huo ndo ukweli kuwa baadhi ya vitabu viliondolewa na Thomas mwenyewe kazungumza humo kupitia hiyo parable....baadhi ya vitabu vya maana vilitolewa na ndo vitabu vilivyokuwa na content ya maana...
UNAJUA MAANA YA "PARABLE" ? KWENYE BIBLIA HATA HISTORIA YA KUZALIWA HADI KUFA KWA YESU KUMEELEZWA KWA NAMNA TOFAUTI NA MITUME MATHAYO NA MARKO NA MFUASI (TABIBU) LUKA LENGO NI KUFIKISHA UJUMBE NA SIO KUFANANA NENO KWA NENO.

LEO TAARIFA MOJA INAYOTOLEWA KWENYE HABARI MAELEZO ILA KILA MWANDISHI ATAELEZA ALIVYOELEWA YEYE. SO MFANO WA MBEGU VILE VILE WAANDISHI NI TOFAUTI NA MAELEZO TOFAUTI ILA MAANA HAITOFAUTIANI SANA. PUNGUZENI USHABIKI USIO NA MAANA.
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
5,558
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
5,558 2,000
Hata sio kunyofolewa tu bali hata maana halisi inayokuwa inasemwa na kuhubiliwa siyo yenyewe....

Lengo kubwa ni kujua maana halisi iliyomo ndani....

Japo kuna baadhi ya verses zilitolewa lakiji bado hata kilichobaki hakitolewi maana kamili na halisi....

The problem ni kujua maana iliyomo ndani na kujua why some writtings were removed.....

Kujua maana ndo kitu pekee ambacho kitabadili fikra potofu iliyopandikizwa kwa mwanadamu.

Sent using Nokia 8 Plus
ILI IWEJE?? WE UNAHISI NINI KIMEPOTOSHWA NA KINAMFAIDIA NINI HUYO MPOTOSHAJI? NA WEWE UNATAKA KUREKEBISHA KITU GANI KWA KULETA MADA HII
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,351
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,351 2,000
UNAJUA MAANA YA "PARABLE" ? KWENYE BIBLIA HATA HISTORIA YA KUZALIWA HADI KUFA KWA YESU KUMEELEZWA KWA NAMNA TOFAUTI NA MITUME MATHAYO NA MARKO NA MFUASI (TABIBU) LUKA LENGO NI KUFIKISHA UJUMBE NA SIO KUFANANA NENO KWA NENO.

LEO TAARIFA MOJA INAYOTOLEWA KWENYE HABARI MAELEZO ILA KILA MWANDISHI ATAELEZA ALIVYOELEWA YEYE. SO MFANO WA MBEGU VILE VILE WAANDISHI NI TOFAUTI NA MAELEZO TOFAUTI ILA MAANA HAITOFAUTIANI SANA. PUNGUZENI USHABIKI USIO NA MAANA.
Mfano wa mbegu una maana gani kwa wewe uliefuatikia kwa hao wandishi tofauti...??

Tushirikishe maana uliyoielewa tujadili mkuu...kama hutojali....

Sent using Nokia 8 Plus
 

Forum statistics

Threads 1,335,536
Members 512,359
Posts 32,508,932
Top