The hidden meaning in the gospel of Thomas


Loeb S Mpalasinge

Loeb S Mpalasinge

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
1,034
Likes
597
Points
280
Loeb S Mpalasinge

Loeb S Mpalasinge

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
1,034 597 280
Mfia dini wa kwanza nasema ""illusion ilio kubwa kuliko zote imo kwenye hizi injili za kinafki zilizoandikwa na wasomi wenye elimu kubwa ya shule ila wasiojua mambo ya kiroho.Na baadhi yao ni wanaume waliosahau uhalisia wao wakadiriki kufanya jinai kubwa ya kushikishwa ukuta.Yaani leo hii mtu anaepumuliwa na yeye anachallengi Mambo matukufu badala ya kufikiri ni wapi akili yake ya kuzaliwa ilipopotelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,430
Likes
14,575
Points
280
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,430 14,575 280
Je huoni kama kuna ulazima kwa waumini kulijua hilo na kupata majibu sahihi ya hayo maswali uliyo uliza ?
Kwani lengo la Biblia ni lipi kwa muumini...??

Ukusanyaji wa Biblia na sorting ya Biblia ulipitia hatua mbali mbali....na pia kuliwa na Vigezo ambavyo kama kitabu au nyaraka husika imefaulu ktk vigezo hivyo basi kitabu au nyaraka hiyo ilipitishwa kama orodha (Canon) ya Biblia...

Vitabu na nyaraka zingine vilijaa ushabiki zaidi na sio habari nzima ya wokovu kupitia Yesu Kristo....Maana kilele cha Historia ya uumbaji na ujio wa Yesu Kristo...kifo na ufufuko wake...

Mfano...The Gospel of Nativity of Jesus...injili inayojaribu kuelezea maisha ya Yesu alipokuwa mdogo....siyo kwamba haikufaa ila haikukidhi vigezo vya kuwekwa kama Injili..

Mfano ilikuwa ikielezea jinsi Yesu alivyowasaidia watoto wenzake wasicharazwe viboko pindi wanapochelewa kurudi nyumbani baada ya michezo...

Sasa hiyo yote haina maana ktk maisha ya wokovu ya mwanadamu.....Ndiyo maana Kanisa lina mapokeo matakatifu...yani yale yote yaliyotendeka na Yesu ila hayakuwekwa kwenye Canon basi yanapewa hadhi ya mapokeo matakatifu....

Injili zote hizo na Apocripha zingine zipo Vatican
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
834
Likes
258
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
834 258 80
Natumai kila mmoja wetu humu ndani yu mzima wa afya njema kabisa,,,hivyo niombe sana modulators Invisible msiuhamishe uzi huu kwenye jukwaa la dini kwani una madini kibao kwa wana Itelligensia wa humu na niombe tu kwa wale ndugu zangu wafia dini ambao mmekuwa mkiyameza maneno kama yalivyo kwenye bible huku ukweli wake ukiwa umefichwa bila nyie kujua basi na nyie ni muda mwafaka wa kuchallenge imani zenu.,,,,

Leo nitatoa mchango kidogo juu ya kwanini THE GOSPEL OF THOMAS iliondolewa kwenye bible tunayotumia huku ikiwa imeesheni madini ya maana katika codes flani lakini wapo watu waliofanikiwa kuvujisha nyaraka zilizokuwa zimetafsiri uhalisia wake,,,,mkuu Da vincci na zitto junior pamoja na Stephen Chelu ambao mmekuwa mkifuatilia kwa ukaribu juu ya mambo ya biblia ,hebu tujaribu kuona uhalisia wa kitabu hiki na maana halisi ya maneno yale.

Vitabu vyote ambavyo viliondolewa kwenye biblia ya sasa hivi inasemekana nyaraka zake zilizokuwa zikibeba uhalisia zilivuja hivyo kupelekea kuwa na hofu ya watu kujua uhalisia ,ndo mana kitabu cha THE LOST TWINS,THE GOSPEL OF MARY MAGDALENA na THE GOSPEL OF THOMAS ziliondolewa katika Biblia hiyo tuliyonayo kwa sababu jamii ilikuwa tayari inaenda kupata nakala halisi za copy ya maana halisi za jumbe katika maandishi yale...(Majadiliano) Hizi ni ajabu katika maneno ambayo Yesu, aliye hai,alizungumza,
(mysterious sayings which Jesus, the Living One,spoke)
na Didymos (The Twin)Yuda, aitwaye Tomasi, aliandika(Kati ya siku 8-40 baada ya ufufuo wake.)

N.B maneno yaliyo katika mabano ndo tafsiri halisi ya mystery zinazozungumziwa kwenye biblia hivyo basi ukiwa unasoma neno au sentesi basi tafsiri yake ipo kwenye mabano na maneno yenye rangi nyekundu ndo maneno ambayo tafsiri yake imetolewa kwenye mabano ......so Maneno mekundu yana utata sana....na watu tunachukua maana zake kama zilivyo...but it's not...

KARINBUNI
==================

View attachment 1013398
1) Na akasema, Yeyote anayesikia haya
maneno (na) kupata maana yake na kukubali kuihangaika juu ya maneno yale ( hatapoteza maana ya maneno yale yaliyo katika mafumbo)

2)Yesu akasema, Mtu atafutaye (maana ya maneno haya) maneno haya bila kuchoka na kuendelea kutafuta maneno ( maana) mpaka akayapata ( maana halisi)na atakapo yapata ( maana halisi ya ukweli) hatakuwa troubled(hatakuwa kwenye Illusion yenye fedheha na udanganyifu wa maana nzima ya maneno yale) na atashangaa kwa hamaki kubwa- verse 58 na atakuwa mtu mwenye kuujua ukweli wa mambo yote kwani nguvu ya kukaa katika kiti cha enzi chenye mamlaka makuu ya kutawala ulimwengu vitakuwa mikononi mwake.
Jesus said, The one who seeks (For the meaning of these words) should ot leave off, (But) keep on seeking (For it) until he finds (The mystery).When he finds (The meaning, themystery), he will be troubled (Labor and find life --verse 58) (and) will marvel. When he is troubled (and) when he marvels, then he will be surprised, (for) he will reign (Over the world) (and) rule over the all (Verse 4). And when he rules then he will rest
(The Sabbath rest, in the 7th millennium ..maneno yaliyomo kwenye mabano ndo maana halisi ya hiyo mystery.
View attachment 1013417


3) Yesu alisema, Je! Wale wanaovutia (na) kukuongoza kwa kusema, 'tazama, Ufalme wa Mungu uu juu mbinguni (viongozi wa kidini wanaweza kuelewa hapa na sio mwingine ), basi ndege wa mbinguni (viongozi wa dini ambao hudonoa na kiutumia mbegu, au Neno la Mungu) (Huficha funguo zenye kukufungua ufahamu na maarifa kisha kukudanganya 39; Luka 11:52).
If they should tell you,'it is under the earth (Subject to earthly, or scholarly teachings), (Or) in the sea (Subject to the teachings of the Church),' then the fish of the sea (Christian leaders) will beat you to it. It is rather that the Kingdom is both within you and without (You don’t need leaders to see it). Those of you who know yourselves (Life, light, authority, truth) will find out (Through laboring and finding life) that this is true. When you (Have labored, and) find out who you are, you will then become known (In the biblical sense,
when Jesus becomes you--verse 108)
, and will recognize that you are the sons of the living Father (Verse 106). But if you do not (Labor and come to) know yourselves, you dwell in (Fleshly) poverty and you are yourselves that poverty (Fleshly).

maana yake kwa ujumla
(hapo maana kamili ni kwamba viongozi wa dini wanatupa maana tofauti na uhalisia wa jambo lilivyo kwa kututengenezea maana mpya zenye kubeba upotoshaji ambao unamfanya mwanadamu kuwa mbali na maana halisi lakini wanaotafuta maana kwa kuhangaika kuyajua maandiko yalivyo kinyume nyume .
View attachment 1013399
maana yake katika ujumla...
Viongozi wa dini wanaopotosha watu wao kuwa maneno yalivyoandikwa ndivyo yalivyo wataahidiwa kujua iliyokweli toka mamlaka za juu na hao watapata life asurance ya maisha yao baada ya kifo au hukumu,,,kadri uinavyodanganya watu na kuwaingiza mkenge ndipo siku zako za kupewa maana kamili ya ulimwengu ulivyo unahesabika na mwisho wa siku utapata kujua ile iliyo kweli...kwa hiyo viongiozi wa dini wana ahadi ya kupewa maana kamili mwisho wa siku katika kazi yao tusione wanakomaa kuendelea kupotosha maana zake..)

5) Jesus said, Know what is before your face (The secret message encoded within the Scriptures) and what is concealed (The keys to this secret language--verse 39; Luke 11:52) from you will be revealed to you. For nothing is hidden (By the scribes and Pharisees --verse 39; Luke 11:52; and afterwards the Church) that will not be revealed, (The keys will be restored) nor is anything buried (Under an earthly teaching) that will not be raised (Seen in its higher-level meaning).

(Hapo maana halisi ni kwamba Yesu anawaasa watu kuwa jaribuni kujua maana halisi ya maneno yale na ujumbe wake uliofichwa au maana imefichwa katika uelewa wa juu sana na mtu wa kawaida kuelewa ni ngumu hivyo inahitaji kujua tafsiri yake katika uelewa ulio juu )

Ukizidi kusoma THE gospel of Thomas ndani zaidi utakutana na maana ya ile parable ya YESU na hapo ukweli ni kwamba wanafunzi wanamuliza yesu ni kwa jinsi gani wataweza kuwa na nguvu za kutenda maajabu ili hali bila kutumia alama ,logos pamoja na maumbo ,,hapa namanisha secrete societies kutumia alama na maumbo katika mambo yao kama njia ya kupashana habari ,lakini Yesu anawaambia msitoe maana potofu kama ilivyoaandikwa katika maandiko hayo kwa kuupotosha ukweli kwani ukweli upo ndana katika uelewa wa hali ya juu kwani hakuna geni au jipya ambalo halijatolewa ufafanuzi katika ukweli na maneno ya kwenye biblia yasichukuliwe kama yalivyo ....so ukweli unawekwa hidden sana na wenye kujua ukweli wanatueleza kwa maana ile ile iliyo katika bible,,)
View attachment 1013416


(ukweli utapindishwa ili kumfanya mwanadamu kupotea na kuwa katika utawala wa hisia na mawazo toka kwa wenye kuujua ukweli na watamwendesha mwandamu katika nia ile waijuayo wao)

Hapo kuna maana kubwa sana kuwa Ukristo umezaa kristoo ndogo ndogo ambazo zimetokana na ukristo mkubwa toka enzi hadi enzi na baada ya kuwagawa watu katika makanisa yenye uongozi tofauti huku yote kwa pamoja yakifundisha juu ya ukristo ,gafla ukristo mkubwa unaziunganisha kristo ndogo ndogo ili ziabudu katika njia moja huku zikiwa chini ya Ukristo mkubwa..hapa nahisi muunganiko wa makanisa chini ya kiongozi mmoja ndo maana halisi,,,kwa hiyo huo ufalme wa mbingu tunaokuwa tunaambiwa ndo kuongozwa chini ya mamlaka moja yneye final say huku mamlaka zingine zikiwa chini yake,,,huo mfano umetolewa na Yesu mwneyewe akiwaambia watu maana halisi ya ufamle wa mbingu ambao tumekuwa tukiusikia na kuambiwa,,,so UFALME WA MBINGU NI MJUMUIKO WA TAWALA NYINGI ZILIZO CHINI YA TAWALA KUBWA YENYE KUABUDU AINA MOJA YA TAMADUNI.....Tujiulize ni utawala ngani huo ulio mkubwa mabo ndo ufamle wa mbingu,,,?? maisha yapo hapa hapo duniani asikwambie mtu kuwa kuna ufalme somewhere,,,

Nimeweke kitabu chini Gospal yote huku kwenye mabano ikiwa imebeba maana halisi ya maneno yale.....

Hapo tafsiri ni kwamba uongo huo juu ya maandiko matakatifu utapita na watu watapata kuijua kweli kadri muda unavozidi kwenda kwa sababu wanaopata kujua ile iliyo kweli wataishi milele katika maisha marefu kwani ni ngumu kuendelea kuwadanganya ile ilioyo kweli kwani mbingu na ufalme wa mbingu ambao wamekuwa wakiahidiwa na kuambiwa siyo ule unaozungumziwa katika maana ile iliyowekwa katika maneno ya kwenye vitabu vitakatifu...time will tell .....watu wanazidi kuamka juu ya uwongo unaotolewa kama maana kwa maneno yale katika Biblia..,,,


13) Jesus said to his disciples, Compare me to someone and tell me whom I am like. Simon Peter (The Church) said to him, you are like a righteous angel (Miracle worker, luminous being). Matthew (Who is also known as Levi; the Jews) said to him, you are like a wise philosopher (As in how they always call him rabbi). Thomas (TheElect) said to him, master, my mouth is wholly incapable of saying whom you are like. Jesus said, I am not your master. Because you have imbibed (From his mouth--verse 108), you have become intoxicated by the bubbling spring (of God’s Word) which I have measured out (In precise terminology,
which is why Thomas cannot speak it). And he took him and withdrew (From the Jews and Christians) and told him
Ni kwamba ili mtu aweze kuelewa ukweli wa mambo ni lazima atambue ILLUSION na REALITY kwa pamoja,,,,hutaweza kuelewa ukweli if youn can not distinguish from Iluusion,,,bothe the lower meaning ( Illusion and the upper meaning ambayo ni REALITY ndipo atapata kujua kuwa reality inatawala illusion katika ufahamu wa juu zaidi...

TWENDE KWENYE MISTALI YA MWISHO

113) His disciples said to him, When will the Kingdom come? It will not come by waiting for it. (It must be sought for, asked for, knocked-upon; found, received and opened-up to us.) It will not be a
matter of saying 'here it is' or 'there it is.' (In the sky or sea, as our leaders may tell us --verse 3). Rather, the Kingdom of the Father is spread out upon the earth, (Hidden in earthly terminology in other words) and men do not see it. (Because the keys have been taken and hidden.)

Hapa ni kwamba ufalme wa mbingu hautakuja kwa kupewa kuwa huu hapa chukua ,ila mtu ataupata kwa kuutafuta yeye mwenyewe na maneno yaliyokatika vitabu vitakatifu vimeuelezea kwa namna ya kipekee sana na sio kama inavyotafsiliwa kuwa ufalme wa mbingu upo juu kwenye mawingu kama wanavyoambiwa na viongozi wa dini....maneno haya yamewekwa ili kuficha ukweli katika maandishi...Yesu alimjibu mwanafunzi wake aliyeuliza kuwa ufalme wa ,mbingu tutaupaje ..,,


Mwisho,,,,kutoka mistari ya katikati....

56) Jesus said, Whoever has come to understand the world (and how it hides the spiritual behind a fleshly façade) has found (only) a corpse (Tradition; poverty; the word without spiritual insight), and whoever has
found a corpse (That the worldly images serves this function) is superior the world (Not subject to its delusion).
(Yeyote akayayejua ukweli juu ya maana dhidi ya maandiko yale hakika atao ndokana na dhana potofu ya udanganyifu na uongo ambayo ni ILLUSION na atakuwa kajua ukweli wa mambo na ataondokana na umaskini wa fikra yakinifu juu uhalisia uliopo juu ya ulimwengu huu...)

57) Jesus said, The Kingdom of the Father is like a man who had [good] seed (The Word). His enemy (Satan
and his people, the Judases) came by night (This 2,000-year age of darkness) and sowed weeds (False teachings, teachers) among the good seed (Word of God). The man (God) did not allow them (The angels) to pull up the weeds (By revealing the truth before the 2,000 years were up); he said to them, ‘ afraid that you will go intending to pull up the weeds (False, lower-level teachings) and pull up the wheat (Fruit) along with them.' (and since he didn’t, we have this book that testifies against them in our time) for on the day of the harvest (The 7th day, or millennium) the weeds (False doctrines) will be plainly visible, and
they will be pulled up (Out of the Churches and Synagogues) and burned (When the fire blazes, and the sword; the 3rd Testament--and war-between those of the 2 and of the 3 Testamentsbreaks out).

Ufalme wa Mbingu ni kama dunia ambayo ilikuwa safi bila kuwa na uchafu wowote wa udanganyifu yaani illusion ila hapo katikati kukawa na uanzilishi wa uongo na kupandikizwa katika akili wa wanadamu ili wachache wapate kuwatawala wengi..ndivyo ilivyo sasa..maisha ya hapa duniani ni ya hapa hapa hakuna mbingu wala nini,,,,ila kuna illusion imeletwa kuwafanya watu washindwe kuwa na uwezo wa kuwa kama Muumba alivyo hivyo kumepelekea ile iliyo kweli kuwekewa chachu nyingi kiasi cha kuuficha ukweli halisi...

Nitaweka hapa china copy yote ili kwa atakayependa kujua tafsiri halisi ya the gospel of thomas ilivyokuwa inatopa siri yote ya meanings ya maneno yalikuwa yameandikwa na ndo mana baada ya tafsiri yake kupatikana iliamuliwa kuondolewa kabisa katika biblia ili kubakiza maandiko ambayo maana zake zimeendelea kufichwa...

====
Welcome to the Cross Brother LIFECODED. Yesu alikuwa Mwalimu ( a Spritual Guru) na maisha yake aliweza kupata wanafunzi 12 tuu, uwepo wa mwalimu na wanafunzi au disciples kinaashalia kuwa kulikuwa knowledge in between. Tukiwaambia watu kuna kitu zaidi ya imani za kidini wengi hawaelewi, kitu kikubwa na kizuri ulichokifanya leo ni kuonyesha mafundisho ya Yesu kwa wanafunzi wake, mafundisho ambauyo aiza yalioondolewa kwa makusudi au sababu zingine kwenye Biblia takatifu. Kwa mtu kamilifu (enlighten being) ukisoma ulichoandika, inasikitisha kuona jinsi viongozi wa dini wanavyo washuhudia waumini wao uwongo, na ni systematically distotion za wazi kabisa unless iwe kwa sababu ya zilifanyika ili kukwepa mateso waliopata washika na wafia dini wakati huo kwani walioteswa na kuuwawa lakini distotion zingine ni za wazi na purposely kama hii ya kuondoa kitabu chenye mafundisho ya mungu direct kwa mwanadamu. Yaani direct knowledge kuhusu nini mtu ajue ili kumjua mungu na ku-fullfil purpose ya kuishi Duniani.

Lifecoded leo umenisisimua sana, ukweli sikuwa najua uwepo wa hiki kitabu zaidi Bavagadi Gita juu ya mafundisho Krishna kwa mwanafunzi wake Anjuna, sikuona mafundisho tukufu ya Yesu kwa wanafunzi wake, zaidi ya mifano mwipesi na mwipesi niliposoma biblia yote ila leo, kwa kunionyesha the true work of Jesus Christ nitamtukuza.

Although tafsiri zako haziko sahihi. I am sorry to tell you that, unapita mule mule viongozi wa dini walipopita kutaka kutuelimisha kuwa mungu ni nani na yupo wapi.

It need a higher level of conciousness to translate the words of this book. Najua utanitaka ni translate na kunipinga, ua kutafuta kosa kwenye spelling au sentensi nimeshakuzoea, sitafanya hivyo bali nimekukaribisha uje msalabani kutafuta ukweli. THE CROSS WHERE EACH ONE OF US WILL COME CROSS WITH THE TRUTH, and that TRUTH WILL SET US FREE.

Asante kwa ufunuo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,248
Likes
2,992
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,248 2,992 280
Swala la kujua kwanini kitabi hiki hakikuwekwa kwenye Canon ya Biblia....! Kwanini zilikuwa Injili 24 ila zikachaguliwa 4! Hilo swala ni la Kanisa Katoliki..maana wao ndio walio-compile Biblia na sort vitabu...na kuacha na kuweka vingine..
Ni kwa sababu hizo injili hazina lolote la maana zaidi ya kuelezea safari za YESU kutoka sijui wapi kuelekea wapi...ila hazielezei ukweli wa kwanini Yesu anayetajwa alikuja....Imebaki ni fumbo la imani kuwa alikuja kutukomboa
..then how...? hakuna maelezo mengine...we need to know exactly mwanzo wa mwanadamu propably and his or her fate to survive...

Kanisa katoriki ni taasisi ambayo inacontrol informations kupass from one generation to the next....Real information is power to have more human transformatiom kutoka era moja ya conciousness kwenda nyingine...if you restrict information chain hakika utaweza kuzuia watu kujua hatima na origin yao..

Sent using Nokia 8 Plus
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
834
Likes
258
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
834 258 80
Ukweli utakuweka huru. We are for here for that purpose, searching for the truth or you are doomed.
Ni bora kuwa mjinga kuliko kuujua ukweli mchungu. Kwa sababu utateseka sana na kushindwa kuchagua lipi la kufwata!!.

Mkuu mtoa mada, ukipata na injili ya Mary Magdalene iliyotafsiriwa pia utuwekee ili tuendelee kuumia kwa kweli hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
834
Likes
258
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
834 258 80
Mbona unatutisha, jibu kwa nini hiki kitabu kilionfolewa kwenye Biblia?
NAONA WAPOTOSHAJI MMEITANA KUIPOTOSHA INJILI NA KUWEKA MAPANDIKIZI YENU. ALL IN ALL MBINGU IPO NA KUZIMU(JEHANAMU YA MOTO) IPO. UCHAGUZI NI WAKO
Sent using Jamii Forums mobile app
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,248
Likes
2,992
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,248 2,992 280
Welcome to the Cross Brother LIFECODED. Yesu alikuwa Mwalimu ( a Spritual Guru) na maisha yake aliweza kupata wanafunzi 12 tuu, uwepo wa mwalimu na wanafunzi au disciples kinaashalia kuwa kulikuwa knowledge in between. Tukiwaambia watu kuna kitu zaidi ya imani za kidini wengi hawaelewi, kitu kikubwa na kizuri ulichokifanya leo ni kuonyesha mafundisho ya Yesu kwa wanafunzi wake, mafundisho ambauyo aiza yalioondolewa kwa makusudi au sababu zingine kwenye Biblia takatifu. Kwa mtu kamilifu (enlighten being) ukisoma ulichoandika, inasikitisha kuona jinsi viongozi wa dini wanavyo washuhudia waumini wao uwongo, na ni systematically distotion za wazi kabisa unless iwe kwa sababu ya zilifanyika ili kukwepa mateso waliopata washika na wafia dini wakati huo kwani walioteswa na kuuwawa lakini distotion zingine ni za wazi na purposely kama hii ya kuondoa kitabu chenye mafundisho ya mungu direct kwa mwanadamu. Yaani direct knowledge kuhusu nini mtu ajue ili kumjua mungu na ku-fullfil purpose ya kuishi Duniani.

Lifecoded leo umenisisimua sana, ukweli sikuwa najua uwepo wa hiki kitabu zaidi Bavagadi Gita juu ya mafundisho Krishna kwa mwanafunzi wake Anjuna, sikuona mafundisho tukufu ya Yesu kwa wanafunzi wake, zaidi ya mifano mwipesi na mwipesi niliposoma biblia yote ila leo, kwa kunionyesha the true work of Jesus Christ nitamtukuza.

Although tafsiri zako haziko sahihi. I am sorry to tell you that, unapita mule mule viongozi wa dini walipopita kutaka kutuelimisha kuwa mungu ni nani na yupo wapi.

It need a higher level of conciousness to translate the words of this book. Najua utanitaka ni translate na kunipinga, ua kutafuta kosa kwenye spelling au sentensi nimeshakuzoea, sitafanya hivyo bali nimekukaribisha uje msalabani kutafuta ukweli. THE CROSS WHERE EACH ONE OF US WILL COME CROSS WITH THE TRUTH, and that TRUTH WILL SET US FREE.

Asante kwa ufunuo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
,,nakuelewa sana mkuu...maneno mengi nimeyaeleza mimi mwenyewe but the real meaning are within the book pale chini...ndo mana nikaweka ambatanisho pale chini...mimi nilikuwa najaribu kuelezea how binadamu amekuwa akitafsiri kama yanavyosomeka kwenye vitabu..but they have other meanings mkuu...nakuelewa sana...

Sent using Nokia 8 Plus
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,839
Likes
5,812
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,839 5,812 280
Kwani lengo la Biblia ni lipi kwa muumini...??

Ukusanyaji wa Biblia na sorting ya Biblia ulipitia hatua mbali mbali....na pia kuliwa na Vigezo ambavyo kama kitabu au nyaraka husika imefaulu ktk vigezo hivyo basi kitabu au nyaraka hiyo ilipitishwa kama orodha (Canon) ya Biblia...

Vitabu na nyaraka zingine vilijaa ushabiki zaidi na sio habari nzima ya wokovu kupitia Yesu Kristo....Maana kilele cha Historia ya uumbaji na ujio wa Yesu Kristo...kifo na ufufuko wake...

Mfano...The Gospel of Nativity of Jesus...injili inayojaribu kuelezea maisha ya Yesu alipokuwa mdogo....siyo kwamba haikufaa ila haikukidhi vigezo vya kuwekwa kama Injili..

Mfano ilikuwa ikielezea jinsi Yesu alivyowasaidia watoto wenzake wasicharazwe viboko pindi wanapochelewa kurudi nyumbani baada ya michezo...

Sasa hiyo yote haina maana ktk maisha ya wokovu ya mwanadamu.....Ndiyo maana Kanisa lina mapokeo matakatifu...yani yale yote yaliyotendeka na Yesu ila hayakuwekwa kwenye Canon basi yanapewa hadhi ya mapokeo matakatifu....

Injili zote hizo na Apocripha zingine zipo Vatican
Kuhusu suala la lengo,hapa unaweza kunisaidi,sababu niliweka wazi hapo awali ya kuwa sina ufahamu wowote juu ya yaliyomo kwenye Biblia.

Unaweza kuviainisha vigezo hivyo japo kwa uchache ?
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,248
Likes
2,992
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,248 2,992 280
It is non sense belonging to a group of Ignorance kuweka kitabu kinachoelezea jinsi yesu alivyokuwa anadhurura Galilaya wakati kuna vitabu vinavyoelezea origin ya creation of life na Early Human habitation....daaaah...point za kitoto sana hizi tunalishana...

Ndo haya haya kuwa eti tutawafundisha historia fupi inayohusu Chanzo cha binadamu make ina mambo mengi ili kugopa kuwaoverdose watoto wetu.. watu nao wakasaini curiculum hiyo ya elimu fupi fupi ianze kufanya kazi....

Does that real make sense from point of matuarity katika kujua jinsi mwanadamu alivyo...??

Sent using Nokia 8 Plus
 
Emerald47

Emerald47

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
320
Likes
325
Points
80
Emerald47

Emerald47

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
320 325 80
It is non sense belonging to a group of Ignorance kuweka kitabu kinachoelezea jinsi yesu alivyokuwa anadhurura Galilaya wakati kuna vitabu vinavyoelezea origin ya creation of life na Early Human habitation....daaaah...point za kitoto sana hizi tunalishana...

Ndo haya haya kuwa eti tutawafundisha historia fupi inayohusu Chanzo cha binadamu make ina mambo mengi ili kugopa kuwaoverdose watoto wetu.. watu nao wakasaini curiculum hiyo ya elimu fupi fupi ianze kufanya kazi....

Does that real make sense from point of matuarity katika kujua jinsi mwanadamu alivyo...??

Sent using Nokia 8 Plus
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
834
Likes
258
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
834 258 80
It is like a mustard
seed, the smallest of all seeds (Hidden
in the Scriptures). But when it falls on
tilled soil, (A heart prepared to receive the meaning)Unaelewa maana ya fumbo hilo kuwa ufalme wa mbingu ni kama punje ya haradani....??

unaelewa nini hapo....manake manaa yake imefichwa ....

Sent using Nokia 8 Plus
The Truth comes to the chosen ones, no matter small it reveal it self the, the choosen ones glasp it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
834
Likes
258
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
834 258 80
Ndio maana maaisha yote ya Yesu alipata wanafunzi 12 tuu. Hii elimu ni maarumu , sio kila mtu atakuelewa Lifecoded, mpotezee huyo.
Safi sana...ina vitabu 66 ...unajua ni kwanini walitoa hivyo vitabu sensitive??

ndo mana nikasema nitawapata watu kama nyie na nakukaribisha tuweka ushabiki pembeni tutembee na real facts kwanini hizo gospel tatu zenye kubeba ujumbe flani zilitolewa....??

Sent using Nokia 8 Plus
Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
834
Likes
258
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
834 258 80
HIVYO UNAVYODAI VIMETOLEWA UNAHAKIKA VILIKUWEPO AWALI?
MAANA WA KILA MTU ANAKUJA NA CHAKE ANAKOJUA ALIPOKIVUMBULIA, ANADAI KILINYOFOLEWA.
Wewe unaboa kwani wewe umezaliwa lini, mpaka uwe na uhakika Biblia yako ni original?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumaini The Genius

Tumaini The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Messages
303
Likes
184
Points
60
Tumaini The Genius

Tumaini The Genius

JF-Expert Member
Joined May 29, 2018
303 184 60
Hizo gospel zimefutwa kwa kuwa hazikuwa na uvuvio wa roho Mtakatifu!
Na kwa kadri ya mapokeo, injili hizo zimeandikwa miaka karibu 400 baada ya mitume kufa, yaani mtume wa mwisho yohane!
Kwa kadri ya mapokeo ya kikatoliki, injili hizo hazikuwahi kutumika katika mafundisho ya mitume enzi za uhai wao.
Kwa minajili hiyo basi, injili hizi hazina sifa ya kuwa miongoni ya vitabu vinavyounda Biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I

Iblis Bin Shetan

Senior Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
167
Likes
135
Points
60
I

Iblis Bin Shetan

Senior Member
Joined Sep 24, 2018
167 135 60
Mkuu Lifecoded lete mambo mpaka Yesu wanazareth ashuke mwenyewe
Nakuombea upate hekima na baraka kila siku, naomba unisaidie injili ya Magdalena maana hiyo ndio inasema kuwa Yesu na Magdalene walifunga ndoa na kuzaa watoto
Nataka nishuhudie hilo maana biblia ya kawaida wameficha hilo
 
Stephen Chelu

Stephen Chelu

Verified Member
Joined
Oct 31, 2017
Messages
1,905
Likes
2,569
Points
280
Stephen Chelu

Stephen Chelu

Verified Member
Joined Oct 31, 2017
1,905 2,569 280
Shukran mkuu lifecoded, ngoja tutafakari. Nitarudi.
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
834
Likes
258
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
834 258 80
Uongo mungine tunaolishwa na viongozi wetu wa dini ni utatu mtakatifu. Neno mwana ni distotion ilikuwa mtakatifu ni lazima uzaliwe kwenye mwili na upate hekima ya kimungu kwa hiyo ilipaswa kuwa "KWA NJIA YA BABA NA MAMA NA ROHO MTAKATIFU" hivi vitatu ndio chazo cha Binadamu.

Au "Waheshimu Baba yako na Mama yako ili siku zako ziweze kuongezeka Duniani" why wazazi? Kwa nini isiwe "Uheshimu mwili uliopewa na Baba na Mama yako ili siku zako ziweze kuongezeka Duniani" its about health not loyality.

Nimeona mambo mengi kwenye Biblia hayako sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,275,205
Members 490,931
Posts 30,535,694