The hidden meaning in the gospel of Thomas

lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,248
Likes
2,983
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,248 2,983 280
Unaambiwa hivi mkuu....The gospel of Thomas ilikuwa balaaa...watu walihack tafsiri yake mpaka ikapatikana ....

Hiyo the Gospel of mary magdalena ni balaaa imeelezea uhalisia na uhusiano wa mtu anayeitwa Yesu na Hao wanafunzi wake...

Imeweza mpaka kuichambua vizuri The NIGHT TEMPLER ambayo ni taasisi iliyokula kiapo cha kuhifadhi siri nzito ya huyu mtu anayeitwa Yesu kuwahi kutokea katika uso wa Dunia hii...

Hawakuibun kwa sababu za ajabu eti zinaongeza mzigo kwenye usomaji...hapana...ndo zimesheheni ukweli mtupu...

screenshot_20190204-183418-2-jpeg.1013462

Sent using Nokia 8 Plus
 
DIVIDEND

DIVIDEND

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2017
Messages
731
Likes
732
Points
180
DIVIDEND

DIVIDEND

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2017
731 732 180
Safi sana...ina vitabu 66 ...unajua ni kwanini walitoa hivyo vitabu sensitive??

ndo mana nikasema nitawapata watu kama nyie na nakukaribisha tuweka ushabiki pembeni tutembee na real facts kwanini hizo gospel tatu zenye kubeba ujumbe flani zilitolewa....??

Sent using Nokia 8 Plus
Samahani mkuu, hivi biblia ya mwanzo ilikuwa na jumla ya vitabu vingapi na hiyo biblia ilitoka wapi
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
2,218
Likes
3,013
Points
280
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
2,218 3,013 280
sio google nakuletea kitabu kabisa chenyewe...sio google...

Sent using Nokia 8 Plus
NAJUAJE AUTHENTIC YA HICHO KITABU?? KAMA SIO MATANGO PORI YA KUTUTOA KWENYE RELI. VILIVYOPO VINATOSHA ACHANA NA HIVYO VINGINE
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,248
Likes
2,983
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,248 2,983 280
NAJUAJE AUTHENTIC YA HICHO KITABU?? KAMA SIO MATANGO PORI YA KUTUTOA KWENYE RELI. VILIVYOPO VINATOSHA ACHANA NA HIVYO VINGINE
Vilivyopo vinatosha....endelea kusoma mkuu ...hivyo hivyo ulivyopangiwa kusoma....

Sent using Nokia 8 Plus
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,248
Likes
2,983
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,248 2,983 280
Samahani mkuu, hivi biblia ya mwanzo ilikuwa na jumla ya vitabu vingapi na hiyo biblia ilitoka wapi
The reason they were removed or destroyed is because the scholars claimed that the doctrines were false or blasphemous. The truth alone in these books shaked the Christian faith and hence was a threat or an act of rebellion when people followed these doctrines. That is why they were destroyed.

Japo siri imeendelea kutawala juu ya kwanini vitabu hivyo zimeondolewa...ila ukipata copy halisi ya vitabu vile utashangaaa kuona how reality is being explained inside....

watu walianza kuhoji juu baadhi ya maandiko kukinzana na mengine na kuja kugundua kuwa kuna doctrine zingine zimeelezea vizuri kuhusu chronological order ya mfumo mzima wa hicho tunachokiabudu ..kwa hiyo walianza kulaaani na kufuata mafundisho sahihi ambayo yaliiufedhehesha utawala wakati ule na kuamua kubun kabisa vitabu vile..but havikubuniwa kabisa ila vilifichwa mbali sana na kutoka amri moja ya kuconstruct vitabu vingine vyenye jumbe tofauti kabisa na uhalisia ulivyo au kuelezea ukweli in reverse form kabisa...thats why tukawa na idadi flani ya vitabu huku ile nyingine ikiwekwa mbali sana..

Moja ya maswali yaliyopelekea kuhoji zaidi watu ni uwepo wa mtu anayeitwa Yesu huku uhusiano wake na baadhi ya mitume wake ukiwa siri sana....

Ila ukipata kitabu cha THE GOSPEL OF MARY MAGDALENA ndo kimemuelezea zaidi YESU ni mtu wa namna gani...

Did JESUS real existed au ni fiction flani...??

Was it a written name within the scriptures au alikuwa mtu halisi kabisa...??

Majibu yote hayo yapo kwenye hicho kitabu cha Mary magdalena...

Kukipata hicho kitabu inabidi uwe mtu muhimu sana katoka kanisa katoriki na kipo Roma na baadhi ya Instituions zinazofundisha mambo ya imani kamili na ya kweli kuhusu realy christianity....

The new christianity does not know anything about the early and real church....

So the easier way ni kuandaaa vitabu vipya huku vile vya zamani tukiviweka mbali na acces yao ili wasijaribu kupata the early real teachings from those books...Sent using Nokia 8 Plus
 
DIVIDEND

DIVIDEND

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2017
Messages
731
Likes
732
Points
180
DIVIDEND

DIVIDEND

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2017
731 732 180
The reason they were removed or destroyed is because the scholars claimed that the doctrines were false or blasphemous. The truth alone in these books shaked the Christian faith and hence was a threat or an act of rebellion when people followed these doctrines. That is why they were destroyed.

Japo siri imeendelea kutawala juu ya kwanini vitabu hivyo zimeondolewa...ila ukipata copy halisi ya vitabu vile utashangaaa kuona how reality is being explained inside....

watu walianza kuhoji juu baadhi ya maandiko kukinzana na mengine na kuja kugundua kuwa kuna doctrine zingine zimeelezea vizuri kuhusu chronological order ya mfumo mzima wa hicho tunachokiabudu ..kwa hiyo walianza kulaaani na kufuata mafundisho sahihi ambayo yaliiufedhehesha utawala wakati ule na kuamua kubun kabisa vitabu vile..but havikubuniwa kabisa ila vilifichwa mbali sana na kutoka amri moja ya kuconstruct vitabu vingine vyenye jumbe tofauti kabisa na uhalisia ulivyo au kuelezea ukweli in reverse form kabisa...thats why tuka na idadi flani ya vitabu huku ile nyingine ikiwekwa mbali sana..

Moja ya maswali yaliyopelekea kuboji zaidi watu ni uwepo wa mtu anayeitwa Yesu huku uhusiano wake na baadhi ya mitume wake ukiwa siri sana....Sent using Nokia 8 Plus
Jibu swali la msingi, Biblia ya mwazo ilikuwa na vitabu vingapi? Na hiyo Biblia ilitoka wapi
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,248
Likes
2,983
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,248 2,983 280
Jibu swali la msingi, Biblia ya mwazo ilikuwa na vitabu vingapi? Na hiyo Biblia ilitoka wapi
Labda nikujibu kuwa biblia ni mkusanyiko wa nakala mbali mbali zinazoelezea early church ...na imepitia katika phases kadhaaa mpka kuja kuipa idadi flani ya vitabu....

Sasa swali lako unauliza katika nyanja gani...??.you need to know phases za idadi ya vitabu au unahitaju kujua ilikuwa na vitavu vingapi...??

Elewa biblia imepitia phase kadhaaa katika kuselect iwe na vitabu vingapi...

Sent using Nokia 8 Plus
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,248
Likes
2,983
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,248 2,983 280
Jibu swali la msingi, Biblia ya mwazo ilikuwa na vitabu vingapi? Na hiyo Biblia ilitoka wapi
Mkuu biblia haikushuka imekamilika...It’s perhaps worth pointing out that scriptures would not have been found in a single book, also called a codex, until much later because codices weren’t really in use before the second century A.D.

Hakuna kit kama hicho kuwa biblia ilikuja imekamilika...ila kuna early books ambazo ziliweza kuelezea original of life na how human being evolved...I believe Constantine commissioned the first Bible, as we think of it today, in 331. He called for fifty copies,japo hilo linabaki kuwa siri kwa baadhi ya makanisa ...
Biblia imetengenezwa kwa nyakati tofauti tofauti sana kutokana na kuendelea kuandika habari mbali mbali na mpaka kufikia muda flani vitabu vingi vilikuwa vimeandikwa lakini vitabu vilivyokuwa vinaelezea uhusiano wa kwanza kabisa wa mwanadamu na Mungu kabla ya ujio wa Yesu vilieelezea kwa chronology nzuri na yenye uhalisia ila ndo vimekuja kuondolea...

Kwa mfano kitabu cha kwanza kabisa kuelezea Genesis sio hicho tunachokitumia kwenye bible ya sasa hivi...hiyo ya sasa hivi inashindwa kuelezea kwa undani na kwa mpangilio mmoja...ndo mana inajichanganya hata uumbaji wa mimea ambayo ukisoma genesis 1 inasema kuwa MUNGU aliumba mimea siku ya 3 ila ukisoma genesis 2 inakuambia kuwa mpaka Mungu anamalzia kumuumba Mwanadamu na mbingu kwa ujumla siku 7 hapakuwa na mimea wala majani hivyo mvua ilivyesha na kurutubisha ardhi ndipo majani yakaota...

sasa hivi unataka kunambia kwa maelezo hayo bado unakomaaa tu kuwa genesis hiyo ni kweli..?? labda utakuwa ni mfia dini usiejua nini unachoamini..

Sent using Nokia 8 Plus
 
DIVIDEND

DIVIDEND

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2017
Messages
731
Likes
732
Points
180
DIVIDEND

DIVIDEND

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2017
731 732 180
Labda nokujibu kuwa biblia ni mkusanyiko na nakala mbali mbali zinazoelezea early church ...na imepitika katika phase kadhaaa mpka kuja kuipa idadi flani ya vitabu....

Sasa swali lako unauliza katika nyanja gani...??.you need to know phases za idadi ya vitabu au unahitaju kujua ilikuwa na vitavu vingapi...??

Elewa biblia imepitia phase kadhaaa katika kuselect iwe na vitabu vingapi...

Sent using Nokia 8 Plus
Nnauliza ilikuwa na vitabu vingapi kwasababu mara kadhaa nimekuwa nikisikia vitabu vingi vimeondolewa kwenye biblia, the book of enoch, the gospel of judah, gospel of thomas and others. Sasa ninachojiuliza mngetaka biblia comprise vitabu vingapi ili muone biblia imejitosheleza? Mwinjili mathayo anasema Yesu alifanya ishara na mambo mengi sana ambayo isingewezekana yote kuandikwa.
Na pia ninachojua mimi biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali ambavyo vilionekana vitafaa kumjenga mkristu katika njia ya kumjua muumba wake. Sasa ingwezekana vipi kuweka maandiko yanayopingana sehemu moja?
Pia kuanzia miaka ya 1900s kumekuwa kukiibuka maandishi mbalimbali yakipingana na yaliyopo kwenye biblia ya sasa. Na mimi ndio ninakuhoji ni kwanini unaviamini hivyo vitabu zaidi ya ambavyo vipo kwenye biblia.
Yesu alituambia, msiziamini kila roho bali zajaribuni kwanza
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,838
Likes
5,796
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,838 5,796 280
Hapa naomba kuuliza swali,kwanza sina ufahamu wowote juu ya Biblia kwa maana yale yalioyomo ndani.

Je katika ulimwengu wa kikristo kuna fabi maalumu yaani elimu maalumu kwa ajili ya kuchunguza uhakika na ukweli juu ya mapokeo katika Biblia ?

Yaani kushughulika na matini na wale wapokezi wa mwanzo wa matini hizo kwa kuangalia uwepo wao,yaani je waliwahi kuishi kweli au alikuwa ni mkweli kiasi gani ?
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,248
Likes
2,983
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,248 2,983 280
Swala la kuviamini ni kutokana na content iliyopo ndani mwake amabyo ni tofauti na content zilizopo kwenye maandiko ya sasa hivi...

Mfano mzuri nu kushindwa kusoviwa kwa mysteries mbali mbali ambazo zimeacha blanks kubwa sana mpaka sana...

Kingine kinachonifanya nisadifu uhalisia wa vitabu hivyo ni kuundiwa taasisi maalumu kuficha uwezekano wa kuvipata kwa Waumini wa kawaida...

Kingine kinachonifanya niviamini ninkutokana na kuwa restricted katika higher learning hasa institute na kozi mbali mbali...kwa mfano kuna level flan katika utume unapewa 1/3 ya copy yenye content ya vitaby vile kisha unasoma na kucompare the early teachings from the late teachings .....

kingine kinachonifanya niamini kuwa vile vitabu vimeelezea ukweli ni kutoka na unsolved mysteries kwa mfano uwepo wa Yesu...

Kingine ni kwamba kitabu cha Genesisi ni man made tena late formulation kabisa ya scripture ambayo haijaelezea order nzima ya uumbaji ...

Nnauliza ilikuwa na vitabu vingapi kwasababu mara kadhaa nimekuwa nikisikia vitabu vingi vimeondolewa kwenye biblia, the book of enoch, the gospel of judah, gospel of thomas and others. Sasa ninachojiuliza mngetaka biblia comprise vitabu vingapi ili muone biblia imejitosheleza? Mwinjili mathayo anasema Yesu alifanya ishara na mambo mengi sana ambayo isingewezekana yote kuandikwa.
Na pia ninachojua mimi biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali ambavyo vilionekana vitafaa kumjenga mkristu katika njia ya kumjua muumba wake. Sasa ingwezekana vipi kuweka maandiko yanayopingana sehemu moja?
Pia kuanzia miaka ya 1900s kumekuwa kukiibuka maandishi mbalimbali yakipingana na yaliyopo kwenye biblia ya sasa. Na mimi ndio ninakuhoji ni kwanini unaviamini hivyo vitabu zaidi ya ambavyo vipo kwenye biblia.
Yesu alituambia, msiziamini kila roho bali zajaribuni kwanza
Sent using Nokia 8 Plus
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,248
Likes
2,983
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,248 2,983 280
Hapa naomba kuuliza swali,kwanza sina ufahamu wowote juu ya Biblia kwa maana yale yalioyomo ndani.

Je katika ulimwengu wa kikristo kuna fabi maalumu yaani elimu maalumu kwa ajili ya kuchunguza uhakika na ukweli juu ya mapokeo katika Biblia ?

Yaani kushughulika na matini na wale wapokezi wa mwanzo wa matini hizo kwa kuangalia uwepo wao,yaani je waliwahi kuishi kweli au alikuwa ni mkweli kiasi gani ?
Kuna elimu maalumu katika ngazi ya utume hasa katika kanisa katoriki juu ya kucompare the early eliminated books na vilivyopo....

Kuna stage unapewa msahafu wote...

Pata access ya kuvisit library za Vatcan utaweza kujua hilo wa sio kuwaponda wala nini but we talk in real sense of reality juu ya vitabu hivyo....

Sent using Nokia 8 Plus
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,838
Likes
5,796
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,838 5,796 280
Kuna elimu maalumu katika ngazi ya utume hasa katika kanisa katoriki juu ya kucompare the early eliminated books na vilivyopo....

Kuna stage unapewa msahafu wote...

Pata access ya kuvisit library za Vatcan utaweza kujua hilo wa sio kuwaponda wala nini but we talk in real sense of reity juu ya vitabu hivyo....

Sent using Nokia 8 Plus
Nimekupata vyema na asante kwa muongozo.

Tuendelee,elimu hiyo uliyoitaja imejengeka katika misingi gani ?

Je unaweza kuniambia mtu wa kwanza kuiweka elimu hiyo alikuwa nani ? Hapa achilia mbali sababu za kuwepo kwa elimu hiyo,sababu umeshazitaja huko juu.
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,248
Likes
2,983
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,248 2,983 280
Nimekupata vyema na asante kwa muongozo.

Tuendelee,elimu hiyo uliyoitaja imejengeka katika misingi gani ?

Je unaweza kuniambia mtu wa kwanza kuiweka elimu hiyo alikuwa nani ? Hapa achilia mbali sababu za kuwepo kwa elimu hiyo,sababu umeshazitaja huko juu.
Misingi ya kuweka mbali ukweli ni kuwafanya wengi kuwa katika Illusion yenye kuleta manufaa kwa wachache hasa wanatuongoza katika nyanja zote...

Kwanza books zinazoelezea uumbaji tukianza na kitabu mama kabisa ambacho ni genesis,watu wanasema kuwa kimeandikwa na Moses...sio kweli it was Just a bunch of stories passed on from one generation to the next,ambapo Moses alisomeshwa huko misri na watu waliopo kwenye secret societies ( manake taarifa hizi zimeanza kufichwa tangu kale kabisa wala sio leo)..mfumo wa kuhifadhi maandiko ulikuwa katika Cuneiform writings ambapo ujumbe uliwekwa kwa codes maalumu .

Moses had the informations necessary for the project. It is likely that records of pre-Mosaic history existed; na hiyo ilimfanya apelekwe shule na lile group la watu mashughuli sana kwa ajili ya kuja kufanya interpretation ya hizo informations... and had they been in the possession of the Hebrews, they would have certainly become accessible to Moses the champion of his people..
Tunaweza tukamwelezea huyo mwandishi wa kitabu cha genesis katika nyanja kuu mbili ..

(a) Education - he was trained in the royal Egyptian court in their highly developed academic disciplines.Manake aliandaliwa kwa ajili ya kuja kuhamisha cuneiform transformation into hebrew language ili watu wapate kuelewa jinsi ulimwengu ulivyoanza...kumbuka alikuwa chini ya hilo group la wao Elites.. This without a doubt included a knowledge of writing,..

(b) Tradition - he undoubtedly received the Hebrew traditions of their early history and encounters with God.

So Moses hakuwa mwandishi aliyeshusha nondo za Genesis from no where but he was given msahafu ili afanya kutafsiri katika Lugha ya kiebrania....

Na ndo mana akapelekwa shule katika secret society za wakati ule...

Hata biblia imekataa kuwa Moses sio mwandishi wa Genesis ila kwa sababu waaumini wahajui kusoma btn the lines ndo wanakomaa kuwa Moses aliandika kitabu cha genesis..

ili kudhibitisha hilo It may be a surprise to some people, but the reference to writing is found in Genesis 5:1 which says: "This is the book of the generations of Adam." This suggests that the that art of writing was known within the lifetime of Adam, which could make writing as old as the human race itself!

Sent using Nokia 8 Plus
 
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,424
Likes
14,574
Points
280
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,424 14,574 280
Swala la kujua kwanini kitabi hiki hakikuwekwa kwenye Canon ya Biblia....! Kwanini zilikuwa Injili 24 ila zikachaguliwa 4! Hilo swala ni la Kanisa Katoliki..maana wao ndio walio-compile Biblia na sort vitabu...na kuacha na kuweka vingine..
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,838
Likes
5,796
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,838 5,796 280
Swala la kujua kwanini kitabi hiki hakikuwekwa kwenye Canon ya Biblia....! Kwanini zilikuwa Injili 24 ila zikachaguliwa 4! Hilo swala ni la Kanisa Katoliki..maana wao ndio walio-compile Biblia na sort vitabu...na kuacha na kuweka vingine..
Je huoni kama kuna ulazima kwa waumini kulijua hilo na kupata majibu sahihi ya hayo maswali uliyo uliza ?
 
Forum statistics

Threads 1,275,016
Members 490,874
Posts 30,530,599