The hidden meaning in the gospel of Thomas

lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,351
Points
2,000
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,351 2,000
Natumai kila mmoja wetu humu ndani yu mzima wa afya njema kabisa,,,hivyo niombe sana modulators Invisible msiuhamishe uzi huu kwenye jukwaa la dini kwani una madini kibao kwa wana Itelligensia wa humu na niombe tu kwa wale ndugu zangu wafia dini ambao mmekuwa mkiyameza maneno kama yalivyo kwenye bible huku ukweli wake ukiwa umefichwa bila nyie kujua basi na nyie ni muda mwafaka wa kuchallenge imani zenu.,,,,

Leo nitatoa mchango kidogo juu ya kwanini THE GOSPEL OF THOMAS iliondolewa kwenye bible tunayotumia huku ikiwa imeesheni madini ya maana katika codes flani lakini wapo watu waliofanikiwa kuvujisha nyaraka zilizokuwa zimetafsiri uhalisia wake,,,,mkuu Da vincci na zitto junior pamoja na Stephen Chelu ambao mmekuwa mkifuatilia kwa ukaribu juu ya mambo ya biblia ,hebu tujaribu kuona uhalisia wa kitabu hiki na maana halisi ya maneno yale.

Vitabu vyote ambavyo viliondolewa kwenye biblia ya sasa hivi inasemekana nyaraka zake zilizokuwa zikibeba uhalisia zilivuja hivyo kupelekea kuwa na hofu ya watu kujua uhalisia ,ndo mana kitabu cha THE LOST TWINS,THE GOSPEL OF MARY MAGDALENA na THE GOSPEL OF THOMAS ziliondolewa katika Biblia hiyo tuliyonayo kwa sababu jamii ilikuwa tayari inaenda kupata nakala halisi za copy ya maana halisi za jumbe katika maandishi yale...(Majadiliano) Hizi ni ajabu katika maneno ambayo Yesu, aliye hai,alizungumza,
(mysterious sayings which Jesus, the Living One,spoke)
na Didymos (The Twin)Yuda, aitwaye Tomasi, aliandika(Kati ya siku 8-40 baada ya ufufuo wake.)

N.B maneno yaliyo katika mabano ndo tafsiri halisi ya mystery zinazozungumziwa kwenye biblia hivyo basi ukiwa unasoma neno au sentesi basi tafsiri yake ipo kwenye mabano na maneno yenye rangi nyekundu ndo maneno ambayo tafsiri yake imetolewa kwenye mabano ......so Maneno mekundu yana utata sana....na watu tunachukua maana zake kama zilivyo...but it's not...

KARINBUNI
==================

ccc-png.1013398

1) Na akasema, Yeyote anayesikia haya
maneno (na) kupata maana yake na kukubali kuihangaika juu ya maneno yale ( hatapoteza maana ya maneno yale yaliyo katika mafumbo)

2)Yesu akasema, Mtu atafutaye (maana ya maneno haya) maneno haya bila kuchoka na kuendelea kutafuta maneno ( maana) mpaka akayapata ( maana halisi)na atakapo yapata ( maana halisi ya ukweli) hatakuwa troubled(hatakuwa kwenye Illusion yenye fedheha na udanganyifu wa maana nzima ya maneno yale) na atashangaa kwa hamaki kubwa- verse 58 na atakuwa mtu mwenye kuujua ukweli wa mambo yote kwani nguvu ya kukaa katika kiti cha enzi chenye mamlaka makuu ya kutawala ulimwengu vitakuwa mikononi mwake.
Jesus said, The one who seeks (For the meaning of these words) should ot leave off, (But) keep on seeking (For it) until he finds (The mystery).When he finds (The meaning, themystery), he will be troubled (Labor and find life --verse 58) (and) will marvel. When he is troubled (and) when he marvels, then he will be surprised, (for) he will reign (Over the world) (and) rule over the all (Verse 4). And when he rules then he will rest
(The Sabbath rest, in the 7th millennium ..maneno yaliyomo kwenye mabano ndo maana halisi ya hiyo mystery.
aa-png.1013417

( viongozi wa dini wanatupa maana tofauti na uhalisia wa jambo lilivyo kwa kututengenezea maana mpya zenye kubeba upotoshaji ambao unamfanya mwanadamu kuwa mbali na maana halisi lakini wanaotafuta maana kwa kuhangaika kuyajua maandiko yalivyo kinyume nyume .)
cc-png.1013399
maana yake katika ujumla...
Viongozi wa dini wanaopotosha watu wao kuwa maneno yalivyoandikwa ndivyo yalivyo wataahidiwa kujua iliyokweli toka mamlaka za juu na hao watapata life asurance ya maisha yao baada ya kifo au hukumu,,,kadri uinavyodanganya watu na kuwaingiza mkenge ndipo siku zako za kupewa maana kamili ya ulimwengu ulivyo unahesabika na mwisho wa siku utapata kujua ile iliyo kweli...kwa hiyo viongiozi wa dini wana ahadi ya kupewa maana kamili mwisho wa siku katika kazi yao tusione wanakomaa kuendelea kupotosha maana zake..)

5) Jesus said, Know what is before your face (The secret message encoded within the Scriptures) and what is concealed (The keys to this secret language--verse 39; Luke 11:52) from you will be revealed to you. For nothing is hidden (By the scribes and Pharisees --verse 39; Luke 11:52; and afterwards the Church) that will not be revealed, (The keys will be restored) nor is anything buried (Under an earthly teaching) that will not be raised (Seen in its higher-level meaning).

(Hapo maana halisi ni kwamba Yesu anawaasa watu kuwa jaribuni kujua maana halisi ya maneno yale na ujumbe wake uliofichwa au maana imefichwa katika uelewa wa juu sana na mtu wa kawaida kuelewa ni ngumu hivyo inahitaji kujua tafsiri yake katika uelewa ulio juu )

Ukizidi kusoma THE gospel of Thomas ndani zaidi utakutana na maana ya ile parable ya YESU na hapo ukweli ni kwamba wanafunzi wanamuliza yesu ni kwa jinsi gani wataweza kuwa na nguvu za kutenda maajabu ili hali bila kutumia alama ,logos pamoja na maumbo ,,hapa namanisha secrete societies kutumia alama na maumbo katika mambo yao kama njia ya kupashana habari ,lakini Yesu anawaambia msitoe maana potofu kama ilivyoaandikwa katika maandiko hayo kwa kuupotosha ukweli kwani ukweli upo ndana katika uelewa wa hali ya juu kwani hakuna geni au jipya ambalo halijatolewa ufafanuzi katika ukweli na maneno ya kwenye biblia yasichukuliwe kama yalivyo ....so ukweli unawekwa hidden sana na wenye kujua ukweli wanatueleza kwa maana ile ile iliyo katika bible,,)
aaa-png.1013416(ukweli utapindishwa ili kumfanya mwanadamu kupotea na kuwa katika utawala wa hisia na mawazo toka kwa wenye kuujua ukweli na watamwendesha mwandamu katika nia ile waijuayo wao)

Hapo kuna maana kubwa sana kuwa Ukristo umezaa kristoo ndogo ndogo ambazo zimetokana na ukristo mkubwa toka enzi hadi enzi na baada ya kuwagawa watu katika makanisa yenye uongozi tofauti huku yote kwa pamoja yakifundisha juu ya ukristo ,gafla ukristo mkubwa unaziunganisha kristo ndogo ndogo ili ziabudu katika njia moja huku zikiwa chini ya Ukristo mkubwa..hapa nahisi muunganiko wa makanisa chini ya kiongozi mmoja ndo maana halisi,,,kwa hiyo huo ufalme wa mbingu tunaokuwa tunaambiwa ndo kuongozwa chini ya mamlaka moja yneye final say huku mamlaka zingine zikiwa chini yake,,,huo mfano umetolewa na Yesu mwneyewe akiwaambia watu maana halisi ya ufamle wa mbingu ambao tumekuwa tukiusikia na kuambiwa,,,so UFALME WA MBINGU NI MJUMUIKO WA TAWALA NYINGI ZILIZO CHINI YA TAWALA KUBWA YENYE KUABUDU AINA MOJA YA TAMADUNI.....Tujiulize ni utawala ngani huo ulio mkubwa mabo ndo ufamle wa mbingu,,,?? maisha yapo hapa hapo duniani asikwambie mtu kuwa kuna ufalme somewhere,,,

Nimeweke kitabu chini Gospal yote huku kwenye mabano ikiwa imebeba maana halisi ya maneno yale.....

Hapo tafsiri ni kwamba uongo huo juu ya maandiko matakatifu utapita na watu watapata kuijua kweli kadri muda unavozidi kwenda kwa sababu wanaopata kujua ile iliyo kweli wataishi milele katika maisha marefu kwani ni ngumu kuendelea kuwadanganya ile ilioyo kweli kwani mbingu na ufalme wa mbingu ambao wamekuwa wakiahidiwa na kuambiwa siyo ule unaozungumziwa katika maana ile iliyowekwa katika maneno ya kwenye vitabu vitakatifu...time will tell .....watu wanazidi kuamka juu ya uwongo unaotolewa kama maana kwa maneno yale katika Biblia..,,,


13) Jesus said to his disciples, Compare me to someone and tell me whom I am like. Simon Peter (The Church) said to him, you are like a righteous angel (Miracle worker, luminous being). Matthew (Who is also known as Levi; the Jews) said to him, you are like a wise philosopher (As in how they always call him rabbi). Thomas (TheElect) said to him, master, my mouth is wholly incapable of saying whom you are like. Jesus said, I am not your master. Because you have imbibed (From his mouth--verse 108), you have become intoxicated by the bubbling spring (of God’s Word) which I have measured out (In precise terminology,
which is why Thomas cannot speak it). And he took him and withdrew (From the Jews and Christians) and told him
Ni kwamba ili mtu aweze kuelewa ukweli wa mambo ni lazima atambue ILLUSION na REALITY kwa pamoja,,,,hutaweza kuelewa ukweli if youn can not distinguish from Iluusion,,,bothe the lower meaning ( Illusion and the upper meaning ambayo ni REALITY ndipo atapata kujua kuwa reality inatawala illusion katika ufahamu wa juu zaidi...

TWENDE KWENYE MISTALI YA MWISHO

113) His disciples said to him, When will the Kingdom come? <Jesus said,> It will not come by waiting for it. (It must be sought for, asked for, knocked-upon; found, received and opened-up to us.) It will not be a
matter of saying 'here it is' or 'there it is.' (In the sky or sea, as our leaders may tell us --verse 3). Rather, the Kingdom of the Father is spread out upon the earth, (Hidden in earthly terminology in other words) and men do not see it. (Because the keys have been taken and hidden.)

Hapa ni kwamba ufalme wa mbingu hautakuja kwa kupewa kuwa huu hapa chukua ,ila mtu ataupata kwa kuutafuta yeye mwenyewe na maneno yaliyokatika vitabu vitakatifu vimeuelezea kwa namna ya kipekee sana na sio kama inavyotafsiliwa kuwa ufalme wa mbingu upo juu kwenye mawingu kama wanavyoambiwa na viongozi wa dini....maneno haya yamewekwa ili kuficha ukweli katika maandishi...Yesu alimjibu mwanafunzi wake aliyeuliza kuwa ufalme wa ,mbingu tutaupaje ..,,


Mwisho,,,,kutoka mistari ya katikati....

56) Jesus said, Whoever has come to understand the world (and how it hides the spiritual behind a fleshly façade) has found (only) a corpse (Tradition; poverty; the word without spiritual insight), and whoever has
found a corpse (That the worldly images serves this function) is superior the world (Not subject to its delusion).
(Yeyote akayayejua ukweli juu ya maana dhidi ya maandiko yale hakika atao ndokana na dhana potofu ya udanganyifu na uongo ambayo ni ILLUSION na atakuwa kajua ukweli wa mambo na ataondokana na umaskini wa fikra yakinifu juu uhalisia uliopo juu ya ulimwengu huu...)

57) Jesus said, The Kingdom of the Father is like a man who had [good] seed (The Word). His enemy (Satan
and his people, the Judases) came by night (This 2,000-year age of darkness) and sowed weeds (False teachings, teachers) among the good seed (Word of God). The man (God) did not allow them (The angels) to pull up the weeds (By revealing the truth before the 2,000 years were up); he said to them, ‘ afraid that you will go intending to pull up the weeds (False, lower-level teachings) and pull up the wheat (Fruit) along with them.' (and since he didn’t, we have this book that testifies against them in our time) for on the day of the harvest (The 7th day, or millennium) the weeds (False doctrines) will be plainly visible, and
they will be pulled up (Out of the Churches and Synagogues) and burned (When the fire blazes, and the sword; the 3rd Testament--and war-between those of the 2 and of the 3 Testamentsbreaks out).

Ufalme wa Mbingu ni kama dunia ambayo ilikuwa safi bila kuwa na uchafu wowote wa udanganyifu yaani illusion ila hapo katikati kukawa na uanzilishi wa uongo na kupandikizwa katika akili wa wanadamu ili wachache wapate kuwatawala wengi..ndivyo ilivyo sasa..maisha ya hapa duniani ni ya hapa hapa hakuna mbingu wala nini,,,,ila kuna illusion imeletwa kuwafanya watu washindwe kuwa na uwezo wa kuwa kama Muumba alivyo hivyo kumepelekea ile iliyo kweli kuwekewa chachu nyingi kiasi cha kuuficha ukweli halisi...

Nitaweka hapa china copy yote ili kwa atakayependa kujua tafsiri halisi ya the gospel of thomas ilivyokuwa inatopa siri yote ya meanings ya maneno yalikuwa yameandikwa na ndo mana baada ya tafsiri yake kupatikana iliamuliwa kuondolewa kabisa katika biblia ili kubakiza maandiko ambayo maana zake zimeendelea kufichwa...

====[/COLOR][/I][/B]
 

Attachments:

Lelommassy

Lelommassy

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Messages
427
Points
500
Lelommassy

Lelommassy

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2015
427 500
Sijakuelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijibu haraka:
1. Tafakari kwanza kwa makini kilichokusukuma kutumia hiyo sentensi 'BIBLIA YANGU'
2. Halafu tujue pia kuwa je, ni ile ya kiswahili iliyotafsiriwa DODOMA? na kama ni hiyo unajua tasfiri yake kwenda kiswahili was based na version gani ya English bible (King James version...etc).
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
5,558
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
5,558 2,000
Unachotaka kusema ni kipi? nimemaanisha ya vitabu 66 sa we umejikita kwenye neno "YANGU" ama!?
Usijibu haraka:
1. Tafakari kwanza kwa makini kilichokusukuma kutumia hiyo sentensi 'BIBLIA YANGU'
2. Halafu tujue pia kuwa je, ni ile ya kiswahili iliyotafsiriwa DODOMA? na kama ni hiyo unajua tasfiri yake kwenda kiswahili was based na version gani ya English bible (King James version...etc).
Sent using Jamii Forums mobile app
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
5,558
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
5,558 2,000
Usijibu haraka:
1. Tafakari kwanza kwa makini kilichokusukuma kutumia hiyo sentensi 'BIBLIA YANGU'
2. Halafu tujue pia kuwa je, ni ile ya kiswahili iliyotafsiriwa DODOMA? na kama ni hiyo unajua tasfiri yake kwenda kiswahili was based na version gani ya English bible (King James version...etc).
Ikitafsiriwa DODOMA kuna shida?point ilikua kitabu cha THOMASI hiyo ya kizungu uliyonayo ina hicho kitabu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lelommassy

Lelommassy

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Messages
427
Points
500
Lelommassy

Lelommassy

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2015
427 500
Ikitafsiriwa DODOMA kuna shida?point ilikua kitabu cha THOMASI hiyo ya kizungu uliyonayo ina hicho kitabu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hapa nataka kuanzisha basis ili niweze kujua ni version ipi unatumia kwasababu hata zilizotafsiriwa kwa kiswahili nazo pia zinatofautiana idadi ya vitabu, hili unapaswa kujua, je , 'YA KWAKO' ina kitabu cha Joshua bin Sira au cha Esther?
Ili niuelewe msimamo wako na uelewa wako wa Biblia unayotumia, tusiende deep sana mpaka kitabu cha Thomas au Mary Magdalena, tuanze tu na hizi Biblia zetu zilizotafsiriwa in swahili, je unafahamu kuwa zinatofautiana? na unaizungumziaje hii tofauti, mifano iko hapo juu, Karibu.
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
928
Points
500
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
928 500
Aisee "iliwajulishe" ndio Kiswahili cha wapi ndugu?

Waliandika wanadamu,inakuaje alichoandika mwanadamu hapo hapo nyie Wakristu mnadai kinahusiana na Mungu?

Mimi nilienda na muktadha wa madai yenu kua Mungu anahusika nikashangaa inakuaje huyu mpumbavu anaandika vitu vigumu namna hii waelewe wanadamu wachache kwa makusudi halafu aje awachome wale ambao hawajaelewa aliewaumba yeye yeye?

Such a stupid Mungu!
Hiyo ni typing mistake "Ili awajulishe"

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,335,423
Members 512,320
Posts 32,505,279
Top