The hidden meaning in the gospel of Thomas


upalala

upalala

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
271
Likes
172
Points
60
Age
45
upalala

upalala

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
271 172 60
Misingi ya kuweka mbali ukweli ni kuwafanya wengi kuwa katika Illusion yenye kuleta manufaa kwa wachache hasa wanatuongoza katika nyanja zote...

Kwanza books zinazoelezea uumbaji tukianza na kitabu mama kabisa ambacho ni genesis,watu wanasema kuwa kimeandikwa na Moses...sio kweli it was Just a bunch of stories passed on from one generation to the next,ambapo Moses alisomeshwa huko misri na watu waliopo kwenye secret societies ( manake taarifa hizi zimeanza kufichwa tangu kale kabisa wala sio leo)..mfumo wa kuhifadhi maandiko ulikuwa katika Cuneiform writings ambapo ujumbe uliwekwa kwa codes maalumu .

Moses had the informations necessary for the project. It is likely that records of pre-Mosaic history existed; na hiyo ilimfanya apelekwe shule na lile group la watu mashughuli sana kwa ajili ya kuja kufanya interpretation ya hizo informations... and had they been in the possession of the Hebrews, they would have certainly become accessible to Moses the champion of his people..
Tunaweza tukamwelezea huyo mwandishi wa kitabu cha genesis katika nyanja kuu mbili ..

(a) Education - he was trained in the royal Egyptian court in their highly developed academic disciplines.Manake aliandaliwa kwa ajili ya kuja kuhamisha cuneiform transformation into hebrew language ili watu wapate kuelewa jinsi ulimwengu ulivyoanza...kumbuka alikuwa chini ya hilo group la wao Elites.. This without a doubt included a knowledge of writing,..

(b) Tradition - he undoubtedly received the Hebrew traditions of their early history and encounters with God.

So Moses hakuwa mwandishi aliyeshusha nondo za Genesis from no where but he was given msahafu ili afanya kutafsiri katika Lugha ya kiebrania....

Na ndo mana akapelekwa shule katika secret society za wakati ule...

Hata biblia imekataa kuwa Moses sio mwandishi wa Genesis ila kwa sababu waaumini wahajui kusoma btn the lines ndo wanakomaa kuwa Moses aliandika kitabu cha genesis..


ili kudhibitisha hilo It may be a surprise to some people, but the reference to writing is found in Genesis 5:1 which says: "This is the book of the generations of Adam." This suggests that the that art of writing was known within the lifetime of Adam, which could make writing as old as the human race itself!

Sent using Nokia 8 Plus
Hizi ni zaidi ya nondo idumu Jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baro

baro

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
2,361
Likes
1,796
Points
280
baro

baro

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
2,361 1,796 280
Life coded

Asante kwa Uzi mzuri , ombi langu naomba , kama una copy ya Biblia ya kwanza yenye vitabu vilivyoondolewa , ili nilinganganishe na hii ya sasa yenye vitabu 66Sent using Jamii Forums mobile app
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,194
Likes
2,763
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,194 2,763 280
Life coded

Asante kwa Uzi mzuri , ombi langu naomba , kama una copy ya Biblia ya kwanza yenye vitabu vilivyoondolewa , ili nilinganganishe na hii ya sasa yenye vitabu 66Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna biblia iliyokamilika ikiwa na vitabu vya mwanzo...Vitabu vya mwanzo vilikuwa separate kama syllubus ,ila walipoviondoa katika mtaaala wa kuruhusu ufundishaji wa neno la Mungu ndo wakamua kutengeneza kitabu kimoja chenye mjumuiko wa vitabu kadhaa vya kale na vitabu kadhaa injili mpya...

kuna post flani huko juu nimeelezea hili vizuri...

Sent using Nokia 8 Plus
 
little master

little master

Senior Member
Joined
Jul 16, 2018
Messages
162
Likes
191
Points
60
little master

little master

Senior Member
Joined Jul 16, 2018
162 191 60
Imekaa poa sanaa hii. Nafikiri kwa mwelewa ataelewa nini umemaanisha.
Wewe ukweli wako una basis gani? Umezaliwa umekuta watu wanasali dini yako, kwa sababu wazazi wako pia wazazi wao wasali dini hiyo, ukamua kuifuata. Inamaana ungelizaliwa upande wa pili pia ungekuwa mfuasi na muumini mzuri wa dini pingamizi.

Dini ni kifungo cha imani ambayo umeamua kujifunga nayo kwa hiari yako, lakini huna uhakika kwa asili mia moja kwamba ni njia ya kuifuata kukamilisha masisha yako, sasa usimshuhudie mwenzako kwa imani yake kuwa ni muongo. Hakuna shehe au askofu alikufa akafufuka akasema hii ndio dini ya kweli.

Lakini pia yule anayetafuta kwenda juu ya imani muheshimu pia. Binadamu sio kondoo, kuna maswali twapaswa kujiuliza na sio dhambi. Mtoa maada ametuhabarisha kuhusu kitabu kilichofichwa na kilinyofolewa kwenye Biblia. Mimi na ukristu wangu sijawahi soma kitabu chenye mafundisho ya Yesu kwa mwanadamu yenye kulenga kutoa siri ya ni nini afanye na kuna umuhimu wa kujua siri ya uumbaji na kutafuta utukufu wa mungu kama kitabu hiki.

Zaidi ya hadithi za Alfu lela ulela tuu, juu ya Yesu alitoka hapa akaenda pale akala nini na nani. Nilikuwa najiuliza kama yeye ni mwalimu alikuwa anawafundisha nini wanafunzi wake?.

Nimesoma kitabu hiki, ndio nimejua alikuwa anafundisha elimu ya muumba na maumbile yaani "The knowlge of God and its creation" ila translation kwenye mabano sio sahihi, inaelekea aliye tafsiri naye hakuwa na deep knowlge of God and its creation.

Mimi na sihi wana janvi, Janvi liko kutubzbarisha na kutufundisha, jaribu kujifunza kidogo unachoweza toka kwa mwenzako, regardless imani ya dini au elimu unayoijua, jifunze, badala ya kulumbana na kujifanya au unajua zaidi au dini yako ndio sahihi tujifunze kujifunza, kuna mahali kwenye kitabu panasema "Let the man who is old in days not hesitate to ask to a small child of seven days about a place of life, and he will came alive. For many who are first will became the last, and the last, first, They will became one and the same " Usione umekuwa mkubwa au mjuaji kumbe hata mtoto wa siku saba anaweza kukutafskarisha kujua thamani ya maisha yako na ukajua kwa nini ulizaliwa na utende ya pasayo na kijituka unapata pepo na heri ya milele. Usizani Papa au Imamu au shehe mkuu ndio atakuongoza kujua ya heli hata wewe waweza mtangulia huko, hakumna mjuzi wala mjinga katika hii njia.

Tujifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,458
Likes
2,793
Points
280
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,458 2,793 280
Mkuu Lifecoded,

I get it,una akili sana,sawa...

Can you please help kumjibia huyo Mungu kwanini kaandika vitu vigumu mno asilimia 1% ya aliowaumba wanaweza kung'amua lakini alietuumba wengi 99% hatuna akili hizo?

Ni kwanini?

Hajioni kama yeye ni mpumbavu kupita kiasi?
Aise, watu mna ujasiri sana, yaani hadi Muumba wako unamwita jina hilo kweli!? Hapo kwenye bold! Binafsi nimeshindwa kurudia ulicho sema!
 
waOLDmoshi

waOLDmoshi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Messages
366
Likes
495
Points
80
waOLDmoshi

waOLDmoshi

JF-Expert Member
Joined May 20, 2018
366 495 80
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Messages
1,421
Likes
1,083
Points
280
Age
22
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2017
1,421 1,083 280
Una maaana gani mkuu
Mimi sikuwa msomaji sana wa biblia ila nilikuja kujiona mjinga sana baada ya kujua maana ya ule mstari wa Adam na Eva kula tunda la mti wa katikati (ndo mwanzo wa kujua biblia kwa akili za kawaida tutaishia kukariri tuu) na msimshangai huyo anaebisha sana maana kuna watu huwa nikawaambia maana ya huo mstari wanabisha
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
3,875
Likes
6,110
Points
280
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
3,875 6,110 280
Aise, watu mna ujasiri sana, yaani hadi Muumba wako unamwita jina hilo kweli!? Hapo kwenye bold! Binafsi nimeshindwa kurudia ulicho sema!
Sasa mzee mbona una hofu sana?

Hayo ni matokeo ya kulishwa imani kwa msingi wa wanaotumia watu wa dini wa WOGA....

Always FEAR works!

Hakuna mwenye proof ana exist!

Hata kama anaexist,na kafanya kitu cha kipumbavu,lazima afanyiwe scrutiny just like any other,kwanini anaogopa scrutiny kama sio jinga zaidi?

Halafu mkuu,hakuna kitu kilishafanya kazi long term kwa msingi wa FEAR!

Miaka maelfu na mamilioni iliyopita dini mbalimbali zimekuja na kuondoka,Uislamu na Ukristo baada ya miaka mamilioni yajayo zitakua replaced na imani zingine as history has always proven!..

Kwahilo tu unaona concept ya dini ni ya kijinga to begin with!
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,458
Likes
2,793
Points
280
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,458 2,793 280
Sasa mzee mbona una hofu sana?

Hayo ni matokeo ya kulishwa imani kwa msingi wa wanaotumia watu wa dini wa WOGA....

Always FEAR works!

Hakuna mwenye proof ana exist!

Hata kama anaexist,na kafanya kitu cha kipumbavu,lazima afanyiwe scrutiny just like any other,kwanini anaogopa scrutiny kama sio jinga zaidi?

Halafu mkuu,hakuna kitu kilishafanya kazi long term kwa msingi wa FEAR!

Miaka maelfu na mamilioni iliyopita dini mbalimbali zimekuja na kuondoka,Uislamu na Ukristo baada ya miaka mamilioni yajayo zitakua replaced na imani zingine as history has always proven!..

Kwahilo tu unaona concept ya dini ni ya kijinga to begin with!
Du, mkuu naomba tuishie hapo hapo, mi sina ujasiri huo aise!
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,458
Likes
2,793
Points
280
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,458 2,793 280
Haahha mkuu kheri ya 50 nzima kuliko 100 mbovu

Nazani umenielewa mkuu...?
Kabisa kaka, mimi naweza fanya jambo lolote but when it comes to mambo ya Mungu, siwezi mdharau hata mara moja, nina jua YUPO na nina amini pia YUPO somewhere na siku moja tutakwenda kwake, kama sio kwenda kwake but still tutakuatana either na HASIRA zake au furaha yake kwetu so siwezi ABADANI kumdharau Mungu.
 
TEAM B-13

TEAM B-13

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Messages
1,425
Likes
2,190
Points
280
TEAM B-13

TEAM B-13

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2017
1,425 2,190 280
Kabisa kaka, mimi naweza fanya jambo lolote but when it comes to mambo ya Mungu, siwezi mdharau hata mara moja, nina jua YUPO na nina amini pia YUPO somewhere na siku moja tutakwenda kwake, kama sio kwenda kwake but still tutakuatana either na HASIRA zake au furaha yake kwetu so siwezi ABADANI kumdharau Mungu.
Sure
 
TEAM B-13

TEAM B-13

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Messages
1,425
Likes
2,190
Points
280
TEAM B-13

TEAM B-13

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2017
1,425 2,190 280
Kabisa kaka, mimi naweza fanya jambo lolote but when it comes to mambo ya Mungu, siwezi mdharau hata mara moja, nina jua YUPO na nina amini pia YUPO somewhere na siku moja tutakwenda kwake, kama sio kwenda kwake but still tutakuatana either na HASIRA zake au furaha yake kwetu so siwezi ABADANI kumdharau Mungu.
Sure
 
christian mtexas

christian mtexas

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2017
Messages
237
Likes
147
Points
60
christian mtexas

christian mtexas

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2017
237 147 60
Natumai kila mmoja wetu humu ndani yu mzima wa afya njema kabisa,,,hivyo niombe sana modulators Invisible msiuhamishe uzi huu kwenye jukwaa la dini kwani una madini kibao kwa wana Itelligensia wa humu na niombe tu kwa wale ndugu zangu wafia dini ambao mmekuwa mkiyameza maneno kama yalivyo kwenye bible huku ukweli wake ukiwa umefichwa bila nyie kujua basi na nyie ni muda mwafaka wa kuchallenge imani zenu.,,,,

Leo nitatoa mchango kidogo juu ya kwanini THE GOSPEL OF THOMAS iliondolewa kwenye bible tunayotumia huku ikiwa imeesheni madini ya maana katika codes flani lakini wapo watu waliofanikiwa kuvujisha nyaraka zilizokuwa zimetafsiri uhalisia wake,,,,mkuu Da vincci na zitto junior pamoja na Stephen Chelu ambao mmekuwa mkifuatilia kwa ukaribu juu ya mambo ya biblia ,hebu tujaribu kuona uhalisia wa kitabu hiki na maana halisi ya maneno yale.

Vitabu vyote ambavyo viliondolewa kwenye biblia ya sasa hivi inasemekana nyaraka zake zilizokuwa zikibeba uhalisia zilivuja hivyo kupelekea kuwa na hofu ya watu kujua uhalisia ,ndo mana kitabu cha THE LOST TWINS,THE GOSPEL OF MARY MAGDALENA na THE GOSPEL OF THOMAS ziliondolewa katika Biblia hiyo tuliyonayo kwa sababu jamii ilikuwa tayari inaenda kupata nakala halisi za copy ya maana halisi za jumbe katika maandishi yale...(Majadiliano) Hizi ni ajabu katika maneno ambayo Yesu, aliye hai,alizungumza,
(mysterious sayings which Jesus, the Living One,spoke)
na Didymos (The Twin)Yuda, aitwaye Tomasi, aliandika(Kati ya siku 8-40 baada ya ufufuo wake.)

N.B maneno yaliyo katika mabano ndo tafsiri halisi ya mystery zinazozungumziwa kwenye biblia hivyo basi ukiwa unasoma neno au sentesi basi tafsiri yake ipo kwenye mabano na maneno yenye rangi nyekundu ndo maneno ambayo tafsiri yake imetolewa kwenye mabano ......so Maneno mekundu yana utata sana....na watu tunachukua maana zake kama zilivyo...but it's not...

KARINBUNI
==================


View attachment 1013398
1) Na akasema, Yeyote anayesikia haya
maneno (na) kupata maana yake na kukubali kuihangaika juu ya maneno yale ( hatapoteza maana ya maneno yale yaliyo katika mafumbo)


2)Yesu akasema, Mtu atafutaye (maana ya maneno haya) maneno haya bila kuchoka na kuendelea kutafuta maneno ( maana) mpaka akayapata ( maana halisi)na atakapo yapata ( maana halisi ya ukweli) hatakuwa troubled(hatakuwa kwenye Illusion yenye fedheha na udanganyifu wa maana nzima ya maneno yale) na atashangaa kwa hamaki kubwa- verse 58 na atakuwa mtu mwenye kuujua ukweli wa mambo yote kwani nguvu ya kukaa katika kiti cha enzi chenye mamlaka makuu ya kutawala ulimwengu vitakuwa mikononi mwake.
Jesus said, The one who seeks (For the meaning of these words) should ot leave off, (But) keep on seeking (For it) until he finds (The mystery).When he finds (The meaning, themystery), he will be troubled (Labor and find life --verse 58) (and) will marvel. When he is troubled (and) when he marvels, then he will be surprised, (for) he will reign (Over the world) (and) rule over the all (Verse 4). And when he rules then he will rest
(The Sabbath rest, in the 7th millennium ..maneno yaliyomo kwenye mabano ndo maana halisi ya hiyo mystery.
View attachment 1013417

( viongozi wa dini wanatupa maana tofauti na uhalisia wa jambo lilivyo kwa kututengenezea maana mpya zenye kubeba upotoshaji ambao unamfanya mwanadamu kuwa mbali na maana halisi lakini wanaotafuta maana kwa kuhangaika kuyajua maandiko yalivyo kinyume nyume .)
View attachment 1013399
maana yake katika ujumla...
Viongozi wa dini wanaopotosha watu wao kuwa maneno yalivyoandikwa ndivyo yalivyo wataahidiwa kujua iliyokweli toka mamlaka za juu na hao watapata life asurance ya maisha yao baada ya kifo au hukumu,,,kadri uinavyodanganya watu na kuwaingiza mkenge ndipo siku zako za kupewa maana kamili ya ulimwengu ulivyo unahesabika na mwisho wa siku utapata kujua ile iliyo kweli...kwa hiyo viongiozi wa dini wana ahadi ya kupewa maana kamili mwisho wa siku katika kazi yao tusione wanakomaa kuendelea kupotosha maana zake..)

5) Jesus said, Know what is before your face (The secret message encoded within the Scriptures) and what is concealed (The keys to this secret language--verse 39; Luke 11:52) from you will be revealed to you. For nothing is hidden (By the scribes and Pharisees --verse 39; Luke 11:52; and afterwards the Church) that will not be revealed, (The keys will be restored) nor is anything buried (Under an earthly teaching) that will not be raised (Seen in its higher-level meaning).

(Hapo maana halisi ni kwamba Yesu anawaasa watu kuwa jaribuni kujua maana halisi ya maneno yale na ujumbe wake uliofichwa au maana imefichwa katika uelewa wa juu sana na mtu wa kawaida kuelewa ni ngumu hivyo inahitaji kujua tafsiri yake katika uelewa ulio juu )

Ukizidi kusoma THE gospel of Thomas ndani zaidi utakutana na maana ya ile parable ya YESU na hapo ukweli ni kwamba wanafunzi wanamuliza yesu ni kwa jinsi gani wataweza kuwa na nguvu za kutenda maajabu ili hali bila kutumia alama ,logos pamoja na maumbo ,,hapa namanisha secrete societies kutumia alama na maumbo katika mambo yao kama njia ya kupashana habari ,lakini Yesu anawaambia msitoe maana potofu kama ilivyoaandikwa katika maandiko hayo kwa kuupotosha ukweli kwani ukweli upo ndana katika uelewa wa hali ya juu kwani hakuna geni au jipya ambalo halijatolewa ufafanuzi katika ukweli na maneno ya kwenye biblia yasichukuliwe kama yalivyo ....so ukweli unawekwa hidden sana na wenye kujua ukweli wanatueleza kwa maana ile ile iliyo katika bible,,)
View attachment 1013416


(ukweli utapindishwa ili kumfanya mwanadamu kupotea na kuwa katika utawala wa hisia na mawazo toka kwa wenye kuujua ukweli na watamwendesha mwandamu katika nia ile waijuayo wao)

Hapo kuna maana kubwa sana kuwa Ukristo umezaa kristoo ndogo ndogo ambazo zimetokana na ukristo mkubwa toka enzi hadi enzi na baada ya kuwagawa watu katika makanisa yenye uongozi tofauti huku yote kwa pamoja yakifundisha juu ya ukristo ,gafla ukristo mkubwa unaziunganisha kristo ndogo ndogo ili ziabudu katika njia moja huku zikiwa chini ya Ukristo mkubwa..hapa nahisi muunganiko wa makanisa chini ya kiongozi mmoja ndo maana halisi,,,kwa hiyo huo ufalme wa mbingu tunaokuwa tunaambiwa ndo kuongozwa chini ya mamlaka moja yneye final say huku mamlaka zingine zikiwa chini yake,,,huo mfano umetolewa na Yesu mwneyewe akiwaambia watu maana halisi ya ufamle wa mbingu ambao tumekuwa tukiusikia na kuambiwa,,,so UFALME WA MBINGU NI MJUMUIKO WA TAWALA NYINGI ZILIZO CHINI YA TAWALA KUBWA YENYE KUABUDU AINA MOJA YA TAMADUNI.....Tujiulize ni utawala ngani huo ulio mkubwa mabo ndo ufamle wa mbingu,,,?? maisha yapo hapa hapo duniani asikwambie mtu kuwa kuna ufalme somewhere,,,

Nimeweke kitabu chini Gospal yote huku kwenye mabano ikiwa imebeba maana halisi ya maneno yale.....

Hapo tafsiri ni kwamba uongo huo juu ya maandiko matakatifu utapita na watu watapata kuijua kweli kadri muda unavozidi kwenda kwa sababu wanaopata kujua ile iliyo kweli wataishi milele katika maisha marefu kwani ni ngumu kuendelea kuwadanganya ile ilioyo kweli kwani mbingu na ufalme wa mbingu ambao wamekuwa wakiahidiwa na kuambiwa siyo ule unaozungumziwa katika maana ile iliyowekwa katika maneno ya kwenye vitabu vitakatifu...time will tell .....watu wanazidi kuamka juu ya uwongo unaotolewa kama maana kwa maneno yale katika Biblia..,,,


13) Jesus said to his disciples, Compare me to someone and tell me whom I am like. Simon Peter (The Church) said to him, you are like a righteous angel (Miracle worker, luminous being). Matthew (Who is also known as Levi; the Jews) said to him, you are like a wise philosopher (As in how they always call him rabbi). Thomas (TheElect) said to him, master, my mouth is wholly incapable of saying whom you are like. Jesus said, I am not your master. Because you have imbibed (From his mouth--verse 108), you have become intoxicated by the bubbling spring (of God’s Word) which I have measured out (In precise terminology,
which is why Thomas cannot speak it). And he took him and withdrew (From the Jews and Christians) and told him
Ni kwamba ili mtu aweze kuelewa ukweli wa mambo ni lazima atambue ILLUSION na REALITY kwa pamoja,,,,hutaweza kuelewa ukweli if youn can not distinguish from Iluusion,,,bothe the lower meaning ( Illusion and the upper meaning ambayo ni REALITY ndipo atapata kujua kuwa reality inatawala illusion katika ufahamu wa juu zaidi...

TWENDE KWENYE MISTALI YA MWISHO

113) His disciples said to him, When will the Kingdom come? <Jesus said,> It will not come by waiting for it. (It must be sought for, asked for, knocked-upon; found, received and opened-up to us.) It will not be a
matter of saying 'here it is' or 'there it is.' (In the sky or sea, as our leaders may tell us --verse 3). Rather, the Kingdom of the Father is spread out upon the earth, (Hidden in earthly terminology in other words) and men do not see it. (Because the keys have been taken and hidden.)

Hapa ni kwamba ufalme wa mbingu hautakuja kwa kupewa kuwa huu hapa chukua ,ila mtu ataupata kwa kuutafuta yeye mwenyewe na maneno yaliyokatika vitabu vitakatifu vimeuelezea kwa namna ya kipekee sana na sio kama inavyotafsiliwa kuwa ufalme wa mbingu upo juu kwenye mawingu kama wanavyoambiwa na viongozi wa dini....maneno haya yamewekwa ili kuficha ukweli katika maandishi...Yesu alimjibu mwanafunzi wake aliyeuliza kuwa ufalme wa ,mbingu tutaupaje ..,,


Mwisho,,,,kutoka mistari ya katikati....

56) Jesus said, Whoever has come to understand the world (and how it hides the spiritual behind a fleshly façade) has found (only) a corpse (Tradition; poverty; the word without spiritual insight), and whoever has
found a corpse (That the worldly images serves this function) is superior the world (Not subject to its delusion).
(Yeyote akayayejua ukweli juu ya maana dhidi ya maandiko yale hakika atao ndokana na dhana potofu ya udanganyifu na uongo ambayo ni ILLUSION na atakuwa kajua ukweli wa mambo na ataondokana na umaskini wa fikra yakinifu juu uhalisia uliopo juu ya ulimwengu huu...)

57) Jesus said, The Kingdom of the Father is like a man who had [good] seed (The Word). His enemy (Satan
and his people, the Judases) came by night (This 2,000-year age of darkness) and sowed weeds (False teachings, teachers) among the good seed (Word of God). The man (God) did not allow them (The angels) to pull up the weeds (By revealing the truth before the 2,000 years were up); he said to them, ‘ afraid that you will go intending to pull up the weeds (False, lower-level teachings) and pull up the wheat (Fruit) along with them.' (and since he didn’t, we have this book that testifies against them in our time) for on the day of the harvest (The 7th day, or millennium) the weeds (False doctrines) will be plainly visible, and
they will be pulled up (Out of the Churches and Synagogues) and burned (When the fire blazes, and the sword; the 3rd Testament--and war-between those of the 2 and of the 3 Testamentsbreaks out).

Ufalme wa Mbingu ni kama dunia ambayo ilikuwa safi bila kuwa na uchafu wowote wa udanganyifu yaani illusion ila hapo katikati kukawa na uanzilishi wa uongo na kupandikizwa katika akili wa wanadamu ili wachache wapate kuwatawala wengi..ndivyo ilivyo sasa..maisha ya hapa duniani ni ya hapa hapa hakuna mbingu wala nini,,,,ila kuna illusion imeletwa kuwafanya watu washindwe kuwa na uwezo wa kuwa kama Muumba alivyo hivyo kumepelekea ile iliyo kweli kuwekewa chachu nyingi kiasi cha kuuficha ukweli halisi...

Nitaweka hapa china copy yote ili kwa atakayependa kujua tafsiri halisi ya the gospel of thomas ilivyokuwa inatopa siri yote ya meanings ya maneno yalikuwa yameandikwa na ndo mana baada ya tafsiri yake kupatikana iliamuliwa kuondolewa kabisa katika biblia ili kubakiza maandiko ambayo maana zake zimeendelea kufichwa...

====[/COLOR][/I][/B]
kiongozi ebu kasome na vile vitabu viitwacho book of enock 1&2 afu uje upya na kauli yako y HAKUNA MBINGU kumbuka hicho kitabu pia walikifuta
 

Forum statistics

Threads 1,262,459
Members 485,588
Posts 30,122,935