The hidden meaning in the gospel of Thomas

msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Mimi nilizani wewe ulishuhudia dini ikikabiziwa na mingu kwa mwanadamu kumbe ni sehemu ya maandishi? Ambayo hata alieandika hatuna uhakika nae. Dini ni imani tuu, hata iwe imani kubwa vipi inapaswa kuthibitishwa na Ukweli. Kutajwa kwenye Qur'an hii badili wasiwasi wa kuwa sio kweli mpaka wathibitishe. Nani atatuthibitishia?
Ndio maana nikakwambia anayeamini biblia ni rahisi kusema Mungu hajaleta dini,lakini kwa upande wa wenye kuamini Qur'an pametajwa hadi jina la hiyo dini mkuu sasa sijui hapo ni ushahidi gani tena mwengine unaoutaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Tunazaliwa na hali ya kumjua (utambuzi) mungu mpaka stage tunayoanza lishwa matango, hivi nani alikufundisha kutambua kuiba ni kupaya? Unani alikufundisha kutambua, Rangi, ufupi, urefu, unene, kuridhika, kufurahi, kuhuzunika mkuu hakuna. Wewe ulikuwa unatambua ila wazazi, waalimu na waliokuzunguka walikusaidi kuyapa majina tuu (naming process depending on language u been born within ). Hofu ya mungu ulitambua wewe, na baadae ukakubali kuslimiswa au kubatiwa, hata leo wakati ukitaka kufanya tendo baya, nafsi yako inakusuta sana na hii sio ukubwani hata ulivyokuwa mtoto. Ukweli tunazaliwa na Mungu kwa ajiliya kumjua mungu kwani Kupita kwa Njia ya Baba na Mama na Roho mtakatifu( Mungu) tunakuwa binadamu. Sio kweli tunafindishwa kuhusu mungu, sasa tunslishwa matango pori.
Hata wewe mkuu huko kuamini kwako Mungu ni matokeo ya athari ya jamii uliyozaliwa na kukulia pia, kuna jamaa mmoja humu huwa anasema kama kweli Mungu yupo kwanini hadi watu wafundishwe kuhusu uwepo wake?anajenga hoja kwamba tungetakiwa tuzaliwe hali ya kuwa tunamjua Mungu bila wazazi au jamii zetu kuanza kutufundisha habari za uwepo wa Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,071
Likes
1,748
Points
280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,071 1,748 280
Mimi nilizani wewe ulishuhudia dini ikikabiziwa na mingu kwa mwanadamu kumbe ni sehemu ya maandishi? Ambayo hata alieandika hatuna uhakika nae. Dini ni imani tuu, hata iwe imani kubwa vipi inapaswa kuthibitishwa na Ukweli. Kutajwa kwenye Qur'an hii badili wasiwasi wa kuwa sio kweli mpaka wathibitishe. Nani atatuthibitishia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu hata Mungu tunamjua kupitia hayo maandishi sidhani kama wewe huyo Mungu uliwahi kumuona,sasa ikiwa hata Mungu atujawahi kumuona hiyo hoja ya Mungu kukabizi dini hauoni kuwa haina mashiko?
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,071
Likes
1,748
Points
280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,071 1,748 280
Tunazaliwa na hali ya kumjua (utambuzi) mungu mpaka stage tunayoanza lishwa matango, hivi nani alikufundisha kutambua kuiba ni kupaya? Unani alikufundisha kutambua, Rangi, ufupi, urefu, unene, kuridhika, kufurahi, kuhuzunika mkuu hakuna. Wewe ulikuwa unatambua ila wazazi, waalimu na waliokuzunguka walikusaidi kuyapa majina tuu (naming process depending on language u been born within ). Hofu ya mungu ulitambua wewe, na baadae ukakubali kuslimiswa au kubatiwa, hata leo wakati ukitaka kufanya tendo baya, nafsi yako inakusuta sana na hii sio ukubwani hata ulivyokuwa mtoto. Ukweli tunazaliwa na Mungu kwa ajiliya kumjua mungu kwani Kupita kwa Njia ya Baba na Mama na Roho mtakatifu( Mungu) tunakuwa binadamu. Sio kweli tunafindishwa kuhusu mungu, sasa tunslishwa matango pori.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawezaje kuthibitisha haya maelezo yako? Ni dalili gani yenye kuonesha kwamba mtoto ana utambuzi wa kumjua Mungu toka akizaliwa?
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,194
Likes
2,763
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,194 2,763 280
Sure....
Hata wewe mkuu huko kuamini kwako Mungu ni matokeo ya athari ya jamii uliyozaliwa na kukulia pia, kuna jamaa mmoja humu huwa anasema kama kweli Mungu yupo kwanini hadi watu wafundishwe kuhusu uwepo wake?anajenga hoja kwamba tungetakiwa tuzaliwe hali ya kuwa tunamjua Mungu bila wazazi au jamii zetu kuanza kutufundisha habari za uwepo wa Mungu.
Sent using Nokia 8 Plus
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Sasa mkuu hata Mungu tunamjua kupitia hayo maandishi sidhani kama wewe huyo Mungu uliwahi kumuona,sasa ikiwa hata Mungu atujawahi kumuona hiyo hoja ya Mungu kukabizi dini hauoni kuwa haina mashiko?
Binadamu Hawezi mjua Mungu na wala kumuona, bali anaweza kujijua yeye tuu, then atatafuta uhusisno wake na muumba(Mungu) wake na viumbe wengine na maumbo yamzungukayo. Lakini sema umemsika kupitia maandishi sio kumjua. Kukabizi ndio ilikuwa hoja yetu, kuwa mungu hajawahi shusha au kabizi dini, bali dini ni vifungo vya imani zetu huhusu mungu. Haina mshiko inakujaje try to be consistance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Nani alitambua Rangi ni wewe au mtu mwingine ulikuwa na ulikuwa na umri gani?, nani alikufundusha kunyonya au kula, kusogea mpaka ukatambaa, na kukimbia. Au kuna Instruction manual anapewa mtoto kuweza fanya vyote hivyo. Hayo na mengi yanathibitisha mtoro anazaliwa akiwa knowledge of creation and law of nature. Jaribu kumstadi mtu aliyezaliyezaliwa kiziwi ambaye anapelekea kuwa Bubu pia, ndio utajua anajuwa kila kitu unachokijuwa wewe, kasoro kutamka tuu. Whatever we see and translate from outside is tranformation of knowledge we carry within ourselves. Wachukue watoto wawili wa namna ya bubu na kiziwi, watunzwe kwenye mazingira ya kutengwa, matokea yake wakikua utakuta wamezaa mtoto wanajua kila tosha kuendesha maisha yao.
Unawezaje kuthibitisha haya maelezo yako? Ni dalili gani yenye kuonesha kwamba mtoto ana utambuzi wa kumjua Mungu toka akizaliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Kama hayo maelezo hajaweza amsha hamasa ya kujiuliza na kutafakari basi hujafikia level ya uelewa kujadili mambo mengi kwenye Jamvi hili. Samahani lakini kama nimeongea kituambacho kitaonekana sio kizuri kwako. Nimetoa mfano wa Bubu kiziwi ni prove nini tena?
Nani alitambua Rangi ni wewe au mtu mwingine ulikuwa na ulikuwa na umri gani?, nani alikufundusha kunyonya au kula, kusogea mpaka ukatambaa, na kukimbia. Au kuna Instruction manual anapewa mtoto kuweza fanya vyote hivyo. Hayo na mengi yanathibitisha mtoro anazaliwa akiwa knowledge of creation and law of nature. Jaribu kumstadi mtu aliyezaliyezaliwa kiziwi ambaye anapelekea kuwa Bubu pia, ndio utajua anajuwa kila kitu unachokijuwa wewe, kasoro kutamka tuu. Whatever we see and translate from outside is tranformation of knowledge we carry within ourselves. Wachukue watoto wawili wa namna ya bubu na kiziwi, watunzwe kwenye mazingira ya kutengwa, matokea yake wakikua utakuta wamezaa mtoto wanajua kila tosha kuendesha maisha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,071
Likes
1,748
Points
280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,071 1,748 280
Binadamu Hawezi mjua Mungu na wala kumuona, bali anaweza kujijua yeye tuu, then atatafuta uhusisno wake na muumba(Mungu) wake na viumbe wengine na maumbo yamzungukayo. Lakini sema umemsika kupitia maandishi sio kumjua. Kukabizi ndio ilikuwa hoja yetu, kuwa mungu hajawahi shusha au kabizi dini, bali dini ni vifungo vya imani zetu huhusu mungu. Haina mshiko inakujaje try to be consistance.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utawezaje kujua uhusiano wako na usiyemjua? Hebu fafanua hatuwezi kumjua Mungu ki vp? Maana umetoka kusema kuwa huwa tunazaliwa na ufahamu wa kumjua Mungu halafu hapa tena unasema hatuwezi kumjua Mungu!
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,071
Likes
1,748
Points
280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,071 1,748 280
Nani alitambua Rangi ni wewe au mtu mwingine ulikuwa na ulikuwa na umri gani?, nani alikufundusha kunyonya au kula, kusogea mpaka ukatambaa, na kukimbia. Au kuna Instruction manual anapewa mtoto kuweza fanya vyote hivyo. Hayo na mengi yanathibitisha mtoro anazaliwa akiwa knowledge of creation and law of nature. Jaribu kumstadi mtu aliyezaliyezaliwa kiziwi ambaye anapelekea kuwa Bubu pia, ndio utajua anajuwa kila kitu unachokijuwa wewe, kasoro kutamka tuu. Whatever we see and translate from outside is tranformation of knowledge we carry within ourselves. Wachukue watoto wawili wa namna ya bubu na kiziwi, watunzwe kwenye mazingira ya kutengwa, matokea yake wakikua utakuta wamezaa mtoto wanajua kila tosha kuendesha maisha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Sasa mbona unatumia maneno mengi kuelezea mambo mengine ambayo unasema mtoto anayajua bila kufundishwa ila nimekuomba unitajie dalili za utambuzi wa Mungu kwa mtoto mdogo ila hufanyi hivyo matokeo yake unataka kulilazimisha kwa hayo mambo mengine unayoelezea.
Sasa kwa hali hiyo basi hata hatuwezi kujua ni mambo kiasi gani ambayo mtoto huyajua akiwa katika hali ya utoto tena bila kufundishwa.
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Duh! Sasa mbona unatumia maneno mengi kuelezea mambo mengine ambayo unasema mtoto anayajua bila kufundishwa ila nimekuomba unitajie dalili za utambuzi wa Mungu kwa mtoto mdogo ila hufanyi hivyo matokeo yake unataka kulilazimisha kwa hayo mambo mengine unayoelezea.
Sasa kwa hali hiyo basi hata hatuwezi kujua ni mambo kiasi gani ambayo mtoto huyajua akiwa katika hali ya utoto tena bila kufundishwa.
Huna utashi wa kutaka kujua, tutachoshana tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Kufafanu ni kutumia nguvu. Sasa ikitokea unaona kabisa kuna mtu kama wewe asiye na utashibwa kujua, ni kutumia nguvu bila sababu.
Utawezaje kujua uhusiano wako na usiyemjua? Hebu fafanua hatuwezi kumjua Mungu ki vp? Maana umetoka kusema kuwa huwa tunazaliwa na ufahamu wa kumjua Mungu halafu hapa tena unasema hatuwezi kumjua Mungu!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,071
Likes
1,748
Points
280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,071 1,748 280
Huna utashi wa kutaka kujua, tutachoshana tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama nyie mpo wengi tu humu mnaojiona mnajua sana kiasi kutotaka kubishiwa mnaoyaeleza,humu watu wana mitazamo tofauti sasa kama unaona tabu watu wenye mitazamo tofauti kuhoji unayoyaamini basi sidhani humu JF kutakufaa.
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,071
Likes
1,748
Points
280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,071 1,748 280
Kufafanu ni kutumia nguvu. Sasa ikitokea unaona kabisa kuna mtu kama wewe asiye na utashibwa kujua, ni kutumia nguvu bila sababu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyong'ang'ania sina utashi kwani lazima mie nikubaliane na unayoyaeleza wewe?tunaweza kujadiliana na mwishoni kila mtu akabaki na msimamo wake,kuna mtu humu anaitwa Kiranga ni mbishi miaka na miaka humu anabisha jambo moja tu unaweza kusema hana utashi wa kujifunza ila hiyo haifanyi watu wasijadiliane nae.
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Watu kama nyie mpo wengi tu humu mnaojiona mnajua sana kiasi kutotaka kubishiwa mnaoyaeleza,humu watu wana mitazamo tofauti sasa kama unaona tabu watu wenye mitazamo tofauti kuhoji unayoyaamini basi sidhani humu JF kutakufaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Unavyong'ang'ania sina utashi kwani lazima mie nikubaliane na unayoyaeleza wewe?tunaweza kujadiliana na mwishoni kila mtu akabaki na msimamo wake,kuna mtu humu anaitwa Kiranga ni mbishi miaka na miaka humu anabisha jambo moja tu unaweza kusema hana utashi wa kujifunza ila hiyo haifanyi watu wasijadiliane nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,262,469
Members 485,588
Posts 30,123,156