The hidden meaning in the gospel of Thomas

Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,479
Likes
5,297
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,479 5,297 280
Sababu haiwezekani. Unajua katika uislamu kuna mambo kumi ukiyafanya unatoka kwenye uislamu automatically. Hili ni somo pana kidogo.

Tukirudi katika uhalisia japokuwa madrasa zetu nyingi huwa hazifundishi uislamu kwa maana ya ile kweli yaani uislamu wa asili,lakini wanafunzi huwa wanafundishwa kuiheshimu Qur'aan na kuithamini na huwezi kukuta mwanafunzi akasema maneno kama ya huyu.

Wewe leo hii toka ingia mtaani nenda katembelee madrasa na uwaulize wanafunzi wa humo ni ipi nafasi ya Qur'aan kwao wao.

Watu wameamua kupambika kwa sifa ya uongo. Huyu nilie mjibu kwa dhana ya hakika hakuwa muislamu kabla wala baada.
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
907
Likes
776
Points
180
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
907 776 180

Toufauti yenu na wenzenu ni kwamba mnafundisha ufia Dini

Kuna bwege mmoja niliwahi kumwambia kuwa Mimi ni muislamu ila yeye mfuasi wa mtume

Akamaindi kweli kisa tu ile title nimemwibia akatamani anirukie

Nikamuuliza kwani uislamu umeanza kipindi gani..? Jibu hana ila ajabu hasira imemjaa

nikaona dhahiri shahir kabisa kuwa kuna aina ya ugonjwa unaojitokeza kuunaotokana na mafundisho haya ya Ajabu

Nacheka sana. Niambiwe wewe uislamu umeanza lini ?

Una muamini mtume ? Huwezi kuwa muislamu bila kuwa mfuasi wa mtume amani ya Allah iwe juu. Nitakuuliza swali wewe umeujuaje uislamu wako ?

Elimi ina maajabu yake jamaa...!
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
907
Likes
776
Points
180
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
907 776 180
Nacheka sana. Niambiwe wewe uislamu umeanza lini ?

Una muamini mtume ? Huwezi kuwa muislamu bila kuwa mfuasi wa mtume amani ya Allah iwe juu. Nitakuuliza swali wewe umeujuaje uislamu wako ?

Elimi ina maajabu yake jamaa...!
Wewe kwako bado kuvaa Mabomu tu ujilipue

Kila kigezo kinachostahili kuwa nacho Al-shabab unacho bado location ya tukioManchoG
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,479
Likes
5,297
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,479 5,297 280
Wewe kwako bado kuvaa Mabomu tu ujilipue

Kila kigezo kinachostahili kuwa nacho Al-shabab unacho bado location ya tukioManchoG
Huwa najua huna uwezo wa kujibu hoja zangu. Kama unabisha jibu maswali yangu.

Suala la al Shabaab,al Qaida,Boko haramu na ISIS hukumu yao katika Uislamu iko wazi na inajulikana sasa wewe kama mpaka leo unawazingatia watu hao nakuona huujui Uislamu.

Hao uliowataja sisi tunawaita kwa ujumla ni "Khawaariji" ukisoma historia ya Uislamu utakuja kuona uzushi wa mwanzo katika uislamu uliletwa na hao. Na mtume wetu amewapa jina baya watu hao kwa kuwaita "Mbwa wa motoni"

Siku ikitokea ukaamua kusoma huu ujinga utakuotaka.

Nipo ....
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,071
Likes
1,748
Points
280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,071 1,748 280
Sababu haiwezekani. Unajua katika uislamu kuna mambo kumi ukiyafanya unatoka kwenye uislamu automatically. Hili ni somo pana kidogo.

Tukirudi katika uhalisia japokuwa madrasa zetu nyingi huwa hazifundishi uislamu kwa maana ya ile kweli yaani uislamu wa asili,lakini wanafunzi huwa wanafundishwa kuiheshimu Qur'aan na kuithamini na huwezi kukuta mwanafunzi akasema maneno kama ya huyu.

Wewe leo hii toka ingia mtaani nenda katembelee madrasa na uwaulize wanafunzi wa humo ni ipi nafasi ya Qur'aan kwao wao.

Watu wameamua kupambika kwa sifa ya uongo. Huyu nilie mjibu kwa dhana ya hakika hakuwa muislamu kabla wala baada.
Ila jamaa anasema yeye hana dini yeyote kwa sababu Mungu hakuleta dini bali dini ni mipango tu ya watu.
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,479
Likes
5,297
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,479 5,297 280
Ila jamaa anasema yeye hana dini yeyote kwa sababu Mungu hakuleta dini bali dini ni mipango tu ya watu.
Tatizo ukiwaambia wathibitishe huwa wanashindwa.

Unajua kila jambo lina asili yake,watueleze huo mpango wa kwanza wa dini kuwa ulianzishwa na watu ulianza lini na ilikuwaje ? Utaona nanga ina paa.
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Kwani Mungu ameleta dini gani? Mungu hajawahi leta dini, bali alileta mitume, watujuze tufanye nini ilitukamilisga safari yet duniani tumjue mungu yaani Elimu ya wakovu. Mitume walipokufa na kuondoka duniani sisi ndio tumebaki tunabishana kwa imani zetu ni mtume gani alifundisha njia sahihi ambayo ukiofuata utapata toba au wokovu. Mpaka tumebishana na kuuwana kulazimisha kuamini kuwa imani yako iko sahihi dhidi ya mwezako.
Ila jamaa anasema yeye hana dini yeyote kwa sababu Mungu hakuleta dini bali dini ni mipango tu ya watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,071
Likes
1,748
Points
280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,071 1,748 280
Kwani Mungu ameleta dini gani? Mungu hajawahi leta dini, bali alileta mitume, watujuze tufanye nini ilitukamilisga safari yet duniani tumjue mungu yaani Elimu ya wakovu. Mitume walipokufa na kuondoka duniani sisi ndio tumebaki tunabishana kwa imani zetu ni mtume gani alifundisha njia sahihi ambayo ukiofuata utapata toba au wokovu. Mpaka tumebishana na kuuwana kulazimisha kuamini kuwa imani yako iko sahihi dhidi ya mwezako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu twende taratibu,ujue kwa mtu mwenye kuamini biblia kusema Mungu hakuleta dini ni jambo rahisi ila mwenye kuamini Qur'an anaanzaje kusema Mungu hakuleta dini wakati hadi jina la hiyo imetajwa kwenye hicho kitabu anachokiamini.

Je hapo mkuu una lipi la kusema?
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
4,479
Likes
5,297
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
4,479 5,297 280
Kwani Mungu ameleta dini gani? Mungu hajawahi leta dini, bali alileta mitume, watujuze tufanye nini ilitukamilisga safari yet duniani tumjue mungu yaani Elimu ya wakovu. Mitume walipokufa na kuondoka duniani sisi ndio tumebaki tunabishana kwa imani zetu ni mtume gani alifundisha njia sahihi ambayo ukiofuata utapata toba au wokovu. Mpaka tumebishana na kuuwana kulazimisha kuamini kuwa imani yako iko sahihi dhidi ya mwezako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani DINI maana ake nini ?
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Wewe ukweli wako una basis gani? Umezaliwa umekuta watu wanasali dini yako, kwa sababu wazazi wako pia wazazi wao wasali dini hiyo, ukamua kuifuata. Inamaana ungelizaliwa upande wa pili pia ungekuwa mfuasi na muumini mzuri wa dini pingamizi.

Dini ni kifungo cha imani ambayo umeamua kujifunga nayo kwa hiari yako, lakini huna uhakika kwa asili mia moja kwamba ni njia ya kuifuata kukamilisha masisha yako, sasa usimshuhudie mwenzako kwa imani yake kuwa ni muongo. Hakuna shehe au askofu alikufa akafufuka akasema hii ndio dini ya kweli.

Lakini pia yule anayetafuta kwenda juu ya imani muheshimu pia. Binadamu sio kondoo, kuna maswali twapaswa kujiuliza na sio dhambi. Mtoa maada ametuhabarisha kuhusu kitabu kilichofichwa na kilinyofolewa kwenye Biblia. Mimi na ukristu wangu sijawahi soma kitabu chenye mafundisho ya Yesu kwa mwanadamu yenye kulenga kutoa siri ya ni nini afanye na kuna umuhimu wa kujua siri ya uumbaji na kutafuta utukufu wa mungu kama kitabu hiki.

Zaidi ya hadithi za Alfu lela ulela tuu, juu ya Yesu alitoka hapa akaenda pale akala nini na nani. Nilikuwa najiuliza kama yeye ni mwalimu alikuwa anawafundisha nini wanafunzi wake?.

Nimesoma kitabu hiki, ndio nimejua alikuwa anafundisha elimu ya muumba na maumbile yaani "The knowlge of God and its creation" ila translation kwenye mabano sio sahihi, inaelekea aliye tafsiri naye hakuwa na deep knowlge of God and its creation.

Mimi na sihi wana janvi, Janvi liko kutubzbarisha na kutufundisha, jaribu kujifunza kidogo unachoweza toka kwa mwenzako, regardless imani ya dini au elimu unayoijua, jifunze, badala ya kulumbana na kujifanya au unajua zaidi au dini yako ndio sahihi tujifunze kujifunza, kuna mahali kwenye kitabu panasema "Let the man who is old in days not hesitate to ask to a small child of seven days about a place of life, and he will came alive. For many who are first will became the last, and the last, first, They will became one and the same " Usione umekuwa mkubwa au mjuaji kumbe hata mtoto wa siku saba anaweza kukutafskarisha kujua thamani ya maisha yako na ukajua kwa nini ulizaliwa na utende ya pasayo na kijituka unapata pepo na heri ya milele. Usizani Papa au Imamu au shehe mkuu ndio atakuongoza kujua ya heli hata wewe waweza mtangulia huko, hakumna mjuzi wala mjinga katika hii njia.

Tujifunze.
Ameamua kuwa muongo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Its simple logic, nani amethibitisha huyo mungu ameleta dini? Nani?. Baada tunarudi palepale wanaamini kwa imani kali sana kuwa mungu kaleta dini? Wa prove sasa. In first place nani znamjua mungu?
Mkuu twende taratibu,ujue kwa mtu mwenye kuamini biblia kusema Mungu hakuleta dini ni jambo rahisi ila mwenye kuamini Qur'an anaanzaje kusema Mungu hakuleta dini wakati hadi jina la hiyo imetajwa kwenye hicho kitabu anachokiamini.

Je hapo mkuu una lipi la kusema?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
828
Likes
254
Points
80
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
828 254 80
Kwani DINI maana ake nini ?
Dini ni kifungo cha hiari cha uaminifu kwa uwepo wa mungu na utaratibu wa kumwabudu ilibaada ya maisha ya mwanadamu duniani aweze kumrudia, asipotee kwa dhambi. Its just a thiery but not proven to be true.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,194
Likes
2,763
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,194 2,763 280
Daaaah ...sina cha kusema mkuu ..Hongera sana...Certified a Great Thinker...Umewaza sana...
Wewe ukweli wako una basis gani? Umezaliwa umekuta watu wanasali dini yako, kwa sababu wazazi wako pia wazazi wao wasali dini hiyo, ukamua kuifuata. Inamaana ungelizaliwa upande wa pili pia ungekuwa mfuasi na muumini mzuri wa dini pingamizi.

Dini ni kifungo cha imani ambayo umeamua kujifunga nayo kwa hiari yako, lakini huna uhakika kwa asili mia moja kwamba ni njia ya kuifuata kukamilisha masisha yako, sasa usimshuhudie mwenzako kwa imani yake kuwa ni muongo. Hakuna shehe au askofu alikufa akafufuka akasema hii ndio dini ya kweli.

Lakini pia yule anayetafuta kwenda juu ya imani muheshimu pia. Binadamu sio kondoo, kuna maswali twapaswa kujiuliza na sio dhambi. Mtoa maada ametuhabarisha kuhusu kitabu kilichofichwa na kilinyofolewa kwenye Biblia. Mimi na ukristu wangu sijawahi soma kitabu chenye mafundisho ya Yesu kwa mwanadamu yenye kulenga kutoa siri ya ni nini afanye na kuna umuhimu wa kujua siri ya uumbaji na kutafuta utukufu wa mungu kama kitabu hiki.

Zaidi ya hadithi za Alfu lela ulela tuu, juu ya Yesu alitoka hapa akaenda pale akala nini na nani. Nilikuwa najiuliza kama yeye ni mwalimu alikuwa anawafundisha nini wanafunzi wake?.

Nimesoma kitabu hiki, ndio nimejua alikuwa anafundisha elimu ya muumba na maumbile yaani "The knowlge of God and its creation" ila translation kwenye mabano sio sahihi, inaelekea aliye tafsiri naye hakuwa na deep knowlge of God and its creation.

Mimi na sihi wana janvi, Janvi liko kutubzbarisha na kutufundisha, jaribu kujifunza kidogo unachoweza toka kwa mwenzako, regardless imani ya dini au elimu unayoijua, jifunze, badala ya kulumbana na kujifanya au unajua zaidi au dini yako ndio sahihi tujifunze kujifunza, kuna mahali kwenye kitabu panasema "Let the man who is old in days not hesitate to ask to a small child of seven days about a place of life, and he will came alive. For many who are first will became the last, and the last, first, They will became one and the same " Usione umekuwa mkubwa au mjuaji kumbe hata mtoto wa siku saba anaweza kukutafskarisha kujua thamani ya maisha yako na ukajua kwa nini ulizaliwa na utende ya pasayo na kijituka unapata pepo na heri ya milele. Usizani Papa au Imamu au shehe mkuu ndio atakuongoza kujua ya heli hata wewe waweza mtangulia huko, hakumna mjuzi wala mjinga katika hii njia.

Tujifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Nokia 8 Plus
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,071
Likes
1,748
Points
280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,071 1,748 280
Its simple logic, nani amethibitisha huyo mungu ameleta dini? Nani?. Baada tunarudi palepale wanaamini kwa imani kali sana kuwa mungu kaleta dini? Wa prove sasa. In first place nani znamjua mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikakwambia anayeamini biblia ni rahisi kusema Mungu hajaleta dini,lakini kwa upande wa wenye kuamini Qur'an pametajwa hadi jina la hiyo dini mkuu sasa sijui hapo ni ushahidi gani tena mwengine unaoutaka?
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,071
Likes
1,748
Points
280
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,071 1,748 280
Wewe ukweli wako una basis gani? Umezaliwa umekuta watu wanasali dini yako, kwa sababu wazazi wako pia wazazi wao wasali dini hiyo, ukamua kuifuata. Inamaana ungelizaliwa upande wa pili pia ungekuwa mfuasi na muumini mzuri wa dini pingamizi.

Dini ni kifungo cha imani ambayo umeamua kujifunga nayo kwa hiari yako, lakini huna uhakika kwa asili mia moja kwamba ni njia ya kuifuata kukamilisha masisha yako, sasa usimshuhudie mwenzako kwa imani yake kuwa ni muongo. Hakuna shehe au askofu alikufa akafufuka akasema hii ndio dini ya kweli.

Lakini pia yule anayetafuta kwenda juu ya imani muheshimu pia. Binadamu sio kondoo, kuna maswali twapaswa kujiuliza na sio dhambi. Mtoa maada ametuhabarisha kuhusu kitabu kilichofichwa na kilinyofolewa kwenye Biblia. Mimi na ukristu wangu sijawahi soma kitabu chenye mafundisho ya Yesu kwa mwanadamu yenye kulenga kutoa siri ya ni nini afanye na kuna umuhimu wa kujua siri ya uumbaji na kutafuta utukufu wa mungu kama kitabu hiki.

Zaidi ya hadithi za Alfu lela ulela tuu, juu ya Yesu alitoka hapa akaenda pale akala nini na nani. Nilikuwa najiuliza kama yeye ni mwalimu alikuwa anawafundisha nini wanafunzi wake?.

Nimesoma kitabu hiki, ndio nimejua alikuwa anafundisha elimu ya muumba na maumbile yaani "The knowlge of God and its creation" ila translation kwenye mabano sio sahihi, inaelekea aliye tafsiri naye hakuwa na deep knowlge of God and its creation.

Mimi na sihi wana janvi, Janvi liko kutubzbarisha na kutufundisha, jaribu kujifunza kidogo unachoweza toka kwa mwenzako, regardless imani ya dini au elimu unayoijua, jifunze, badala ya kulumbana na kujifanya au unajua zaidi au dini yako ndio sahihi tujifunze kujifunza, kuna mahali kwenye kitabu panasema "Let the man who is old in days not hesitate to ask to a small child of seven days about a place of life, and he will came alive. For many who are first will became the last, and the last, first, They will became one and the same " Usione umekuwa mkubwa au mjuaji kumbe hata mtoto wa siku saba anaweza kukutafskarisha kujua thamani ya maisha yako na ukajua kwa nini ulizaliwa na utende ya pasayo na kijituka unapata pepo na heri ya milele. Usizani Papa au Imamu au shehe mkuu ndio atakuongoza kujua ya heli hata wewe waweza mtangulia huko, hakumna mjuzi wala mjinga katika hii njia.

Tujifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe mkuu huko kuamini kwako Mungu ni matokeo ya athari ya jamii uliyozaliwa na kukulia pia, kuna jamaa mmoja humu huwa anasema kama kweli Mungu yupo kwanini hadi watu wafundishwe kuhusu uwepo wake?anajenga hoja kwamba tungetakiwa tuzaliwe hali ya kuwa tunamjua Mungu bila wazazi au jamii zetu kuanza kutufundisha habari za uwepo wa Mungu.
 
dumbi

dumbi

Senior Member
Joined
Jan 15, 2018
Messages
150
Likes
144
Points
60
dumbi

dumbi

Senior Member
Joined Jan 15, 2018
150 144 60
Wewe ukweli wako una basis gani? Umezaliwa umekuta watu wanasali dini yako, kwa sababu wazazi wako pia wazazi wao wasali dini hiyo, ukamua kuifuata. Inamaana ungelizaliwa upande wa pili pia ungekuwa mfuasi na muumini mzuri wa dini pingamizi.

Dini ni kifungo cha imani ambayo umeamua kujifunga nayo kwa hiari yako, lakini huna uhakika kwa asili mia moja kwamba ni njia ya kuifuata kukamilisha masisha yako, sasa usimshuhudie mwenzako kwa imani yake kuwa ni muongo. Hakuna shehe au askofu alikufa akafufuka akasema hii ndio dini ya kweli.

Lakini pia yule anayetafuta kwenda juu ya imani muheshimu pia. Binadamu sio kondoo, kuna maswali twapaswa kujiuliza na sio dhambi. Mtoa maada ametuhabarisha kuhusu kitabu kilichofichwa na kilinyofolewa kwenye Biblia. Mimi na ukristu wangu sijawahi soma kitabu chenye mafundisho ya Yesu kwa mwanadamu yenye kulenga kutoa siri ya ni nini afanye na kuna umuhimu wa kujua siri ya uumbaji na kutafuta utukufu wa mungu kama kitabu hiki.

Zaidi ya hadithi za Alfu lela ulela tuu, juu ya Yesu alitoka hapa akaenda pale akala nini na nani. Nilikuwa najiuliza kama yeye ni mwalimu alikuwa anawafundisha nini wanafunzi wake?.

Nimesoma kitabu hiki, ndio nimejua alikuwa anafundisha elimu ya muumba na maumbile yaani "The knowlge of God and its creation" ila translation kwenye mabano sio sahihi, inaelekea aliye tafsiri naye hakuwa na deep knowlge of God and its creation.

Mimi na sihi wana janvi, Janvi liko kutubzbarisha na kutufundisha, jaribu kujifunza kidogo unachoweza toka kwa mwenzako, regardless imani ya dini au elimu unayoijua, jifunze, badala ya kulumbana na kujifanya au unajua zaidi au dini yako ndio sahihi tujifunze kujifunza, kuna mahali kwenye kitabu panasema "Let the man who is old in days not hesitate to ask to a small child of seven days about a place of life, and he will came alive. For many who are first will became the last, and the last, first, They will became one and the same " Usione umekuwa mkubwa au mjuaji kumbe hata mtoto wa siku saba anaweza kukutafskarisha kujua thamani ya maisha yako na ukajua kwa nini ulizaliwa na utende ya pasayo na kijituka unapata pepo na heri ya milele. Usizani Papa au Imamu au shehe mkuu ndio atakuongoza kujua ya heli hata wewe waweza mtangulia huko, hakumna mjuzi wala mjinga katika hii njia.

Tujifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenena ngoja nitafute gospel ya thomas ambayo haijatafsiriwa hii naona kama haijakaa sawa nitawatupia nikiipata.

tatizo lugha
 
Forum statistics

Threads 1,262,481
Members 485,588
Posts 30,123,421