The Heart of the Women.....They are Wonderful | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Heart of the Women.....They are Wonderful

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Apr 14, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,439
  Likes Received: 22,355
  Trophy Points: 280
  The Heart of the Women.....They are Wonderful


  They smile when they want to scream.
  They sing when they want to cry.
  They cry when they are happy
  and laugh when they are nervous.

  They fight for what they believe in.
  They stand up against injustice.
  They don't take "no" for an answer
  when they believe there is a better solution.

  They go without new shoes
  so their children can have them.
  They go to the doctor
  with a frightened friend.

  They love unconditionally.
  They cry when their children excel
  and cheer when their friends get awards.
  They are happy when they hear
  about a birth or a new marriage.
  Their hearts break when a friend dies.
  They have sorrow at the loss of a family member,
  yet they are strong when they think
  there is no strength left.

  They know that a hug
  and a kiss
  can heal a broken heart.

  Women come in all sizes,
  in all colors and shapes.
  They'll drive, fly, walk, run or e-mail you
  to show how much they care about you.

  The heart of a woman is what makes the world spin!
  Women do more than just give birth.
  They bring joy and hope.
  They give compassion and ideals.
  They give moral support to their family and friends.

  Women have a Lot to say and a lot to give.
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mkuuu!!!! huwa tunawaambia hivyo ili wafurahi!! na wanajiambia hivyo kujifurahisha.

  that how we Binadamu are!! Ndio, nimesema hivyo.
   
 3. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kumbe yote ni kutuzuga.mnatuambia hivyo huku mnatung'ong'a?
  Nitakuwa siamini mtu yeyote tena.
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Kama ulikuwa unatuamini, acha mara moja.
  kama unataka kuwa milionea.........usikae na wanume, kaa na milionea!! thats how it works
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  eeh!
  kazi yipo
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,439
  Likes Received: 22,355
  Trophy Points: 280
  Kazi kwelikweli.
  Sijui hili bifu kati ya wanaume na wanawake litaisha lini?
   
 7. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  khaaaa! hehehhee! Hasa wewe B nilikuwa nakuamini sana.Nitakaa mbali na nyie na nitakuwa kibiashara zaidi.
  Asante kwa ushauri na zile application letter nitazisitisha kwanza(Xpin yupo wapi leo)
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Sio bifu mkuu!! nataka waelewe tu!!
  sweet words bana!!
  wanapenda kudanganywa, and that is what we do best.
  kama kuna anayekataa animbie hapa!
  kama kuna mtu hajamdanganya mwanamke anambie hapa!!
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  kwanza yule xpin na mavaluu yake..........ndo mauwongo yanakuwa meeeengiii!
  switi poteto, lavi yuu exetra!! nyiiiingii! hamna kitu. wizi mtupu!
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wanawake na Wanaume ni waarabu wa pemba wanajuana kwa viremba.
  Hata bifu liwe kubwa kivipi,Mwanaume hawezi kamwe kuishi bila mwanamke and vise versa.
   
 11. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  na ukiwa wewe ni mwanamke lakini hufanyi mengi ya hayo yaliyoorodheshwa hapo juu ....uwekwe kwenye fungu gani?! holla
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,439
  Likes Received: 22,355
  Trophy Points: 280
  Usipo wadanganya huwapati, na hata ukiwapata ni lazima uwadanganye,
  vinginevyo wataona huwapendi na huo ndio utakuwa mwisho wa penzi lenu.
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Dah jamani ,sitaki kuamini haya kama nadanganywa.Itabidi aje adhibitishe hapa.
  unabreki mai hati ujue!!!1
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mimi hapa nakataa.Hakuna mtu anaweza kunidanganya bila ya kumgundua.Na nikikubali basi nimekubaliana na uongo wake kwa hiari/maslahi yangu mwenyewe.
  btw hakuna watu wanaodanganywa kama wanaume.Wanajifanya wajanja lakn huwa wananaswa na tundu bovu.
   
Loading...