The guide: Ukishaamua kuwa na 'nyumba ndogo'

Kama yeye hataki nimuache na yuko radhi kunisamehe na kuvumilia uzinifu wangu hiyo ni juu yake na si juu yangu.

Soma maoni ya wadada kwenye hii mada utaona wengi wako radhi na tayari kusamehe na kuvumilia uzinifu wa wenza wao. Kuna mtu huko nyuma kasema ni ndivyo walivyo; akimaanisha wameumbwa na huruma na hulka ya kusamehe na kuvumilia kupita kiasi.
Sio hata uvumilivu kihivo.,
Ni kuchuja tu ndani ya ndoa
Mtu uende wapi...
Ushazaa tumbo hilooo hehehe😅

unapendeza ndio ila sio binti tena
 
Back
Top Bottom