AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
Zipo shem....... Ile ya Kizuri kula na nduguyo kuna baadhi ya fafanuzi ya nini maana ya "kizuri".
Kaizer hajakuambia?
Shem.... Kama ni hivo basi kweli Kisha niambia.... (Mwanaume ananichangamya moyo huyu... Khaaa! bora upo shem maana angeniua)