The guide: Ukishaamua kuwa na 'nyumba ndogo'

ngoja nimalize hii millitary training ya the boss. na unajua ukielimisha mwanamke umeelimisha jamii nzima! i learned it from the best, i learn it from YOU...(BAK, plz tuwekee na huu tumuenzi baba wa taifa hili changa lililodumaa kwa kukosa maziwa ya mama!!)
Tukiongea sisi wanawake ndio mwaona twajidanganya eeeh??? Nyie subirieni tu. Me like.... (na King atatuletea ujuzi woote wa chama.. Si uliona kapewa card ya uanachama...lol)
 
he is 'the man', i mean 'THE BOSS MAN',lol!
wifi una maakili sana aisee, unajua the boss hajaongelea terms za promotion. hivi shelf life ya small house ni miaka mingapi? sheria za nchi zinasemaje ukizingatia the boss ameongelea 'rule of no investment' wakati kununulia mtu ki-baby walker karuhusu as long as mke anaendesha fortuner?

KIng'asti dear...niliulizaga hapa,.....do u remember?
https://www.jamiiforums.com/mahusia...naume-tu-tunapoamua-kujenga-nyumba-ndogo.html
 
kaka shkamooo! usisahau ule upendo wetu wa kifamilia washinda yote. afu hujanipa ile katiba ya infii hadi leo the boss ndo kanipatia. ntakuja jioni tujadili amendments,naona haiko ki-gender zaidi.
:smash::smash::hatari::ballchain::embarassed2:
 
he is 'the man', i mean 'THE BOSS MAN',lol!
wifi una maakili sana aisee, unajua the boss hajaongelea terms za promotion. hivi shelf life ya small house ni miaka mingapi? sheria za nchi zinasemaje ukizingatia the boss ameongelea 'rule of no investment' wakati kununulia mtu ki-baby walker karuhusu as long as mke anaendesha fortuner?

Umeona eeeh?? Hapo ni NO Promotion... Never! lol.... Alafu mie naona hio imeniuma bana hata kama ni ki-baby walker.... labda iwe baiskeli...lol
 
Darling... Hiivi katiba kweli iko amended ile?? Mbona kama vile wanachama wanaongezeka badala (au ndo tuseme mabadiliko ni mazuri??)

Ngoja nimtafute ODM alipo popote pale..

Babe, Muda unavoenda ndo watu wanazidi 'kufunguka' na kujua tulimaanisha nini kwa ile katiba yetu. (hivi by the time tunaoana love ilikuwa imeshatoka eeh...maana sivyo tungeamend kipengele cha tatu, ambacho hata ivo kipo under review..."kizuri kula na nduguyo" kuna exceptions LOL)

(Afu King'asti amenikata stimu eti anaita magari ya watu babywalker jamani...)
 
Mkuu,hebu ongeza nguvu,mapambano dhidi ya kina Asha,SL,King'asti et al kwenye hii thread yanaanza kunielemea mpaka nafikiria kuingia mitini.

hahhaa Mkuu Bishanga Bashaija Mulokozi.....wako happy tu naona......The Boss yuko mahali anawatch tu

So far, waliogonga like kwenye post mama ukitoa mimi wote ni 'wanawake'. does that click....? Think Bishanga Think.....hahahah
 
tatizo lenu mkiharibikiwa huwa mnakimbiana!

Bishanga... One thing you should know ni kua...

Team ya AshaDii... King'asti.... Sweet Lady.... na Husninyo tukiamua jambo.... yaani hata nyie wanaume mnaweza msifue dafu... USHAHIDI Huu hapa source: Bishanga...lol

Mkuu,hebu ongeza nguvu,mapambano dhidi ya kina Asha,SL,King'asti et al kwenye hii thread yanaanza kunielemea mpaka nafikiria kuingia mitini.
 
The obvious SL....think....this is a very useful post...(hujambo lakini...mchakato unaendelea wa ODM)
Mi bukheri mpendwa! Kuhusu suala la ODM sina wasiwasi coz najua file lishafika mezani kwako utalishughulikia ipasavyo...uhakikishe haki inatendeka tafadhali....
 
hiyo verse ya kizuri kula na nduguyo sie tulishaiamend na tunaifanyia kazi unaofficially,ndo maana nimemdeku jirani yangu hapa nataka nimpigie pande wifi yangu ashadii. wanawake wa siku hizi tunapendana, cha kutoana roho juu ya watoto wa wanawake wenzetu? haihuuu!
my very dear brother, ukitaka heshima kwa nyumba ndogo shurti ununue a powerful 4-wheeler tena nyeusi ama ya cream. ukinunua ya silver it doesnt count. vitz ndo usiseme kabisaa,ni kama kuweka beacon kwenye kiwanja huwezi kuita nyumba. walaji wa siku hizi ndo wanaamua soko na sio wauzaji. hivi kaka,nikirudishwa kwako na kakake ashadii kwa sababu nimehongwa vitz na small house yangu si utanitandika viboko makalioni?
Babe, Muda unavoenda ndo watu wanazidi 'kufunguka' na kujua tulimaanisha nini kwa ile katiba yetu. (hivi by the time tunaoana love ilikuwa imeshatoka eeh...maana sivyo tungeamend kipengele cha tatu, ambacho hata ivo kipo under review..."kizuri kula na nduguyo" kuna exceptions LOL)

(Afu King'asti amenikata stimu eti anaita magari ya watu babywalker jamani...)
 
ngoja nimalize hii millitary training ya the boss. na unajua ukielimisha mwanamke umeelimisha jamii nzima! i learned it from the best, i learn it from YOU...(BAK, plz tuwekee na huu tumuenzi baba wa taifa hili changa lililodumaa kwa kukosa maziwa ya mama!!)

hahahaha..... me LOVE this post....lol... hapo juu kweli kabisa. (Wifi sidhani kama Bak anaweza ingia topic kama hii thou)
 
nimekumbuka kaka,sasa shida ni kuwa mnamumunya maneno,kha! ingekua multiple choice machale yangesaidia. kwani ww kaka za kwako huwa una-maintain for how longe? itakua siri yetu,wifi sitamuambia

hapo umeshaharibu sasa.....
 
Back
Top Bottom