The guide: Ukishaamua kuwa na 'nyumba ndogo'

Wakuu, salama?

Suala LA sisi wanaume kuchepuka nila kawaida hata hapo kale.

Kama sikosei, inasadikika mfalme Solomon alikuwa na wake 600+ na michepuko (Masuria) 200+

Hivyo hii ni jinsi gani inaweza kudhihirisha uhalali wa asili ya Tabia ya kuchepuka kwa wanaume.

Angalia hata idadi (ratio) ya wanawake na wanaume. Haipo balanced hivyo kuashiria ki- nature kuchepuka ni inevitable.

Tuangalie wanyama wengine, kuacha wanyama sisi(binadamu)

Tuangalie hata hali za kimaisha, masikini, daraja LA kati na hata mabilionea na watu maarufu, Makundi yote haya wanachepuka, (sio wote) (unaweza kuhusisha kidogo ishu ya JEFF BEZZOS, Cardi B nk) na visa vya uswahilini vya mafumanizi.

Kuchepuka hata uwe na mke mzuri vipi, it's inevitable!!!

Kama u mwanaume rijali, kuchepuka ni moja ya feature kama sio Element muhimu.

(SIHAMASISHI UZINZI HAPA TUNATAKA KUJADILI SUALA HILI AMBALO SI RAHISI KULIEPUKA ILA TULIFANYE PASIPO KUUMIZA WAKE/WAPENZI KIHISIA/KIAFYA PIA)

Je, vipi naweza kuwa na concubine pasipo kumuumiza mke, mpenzi, mchumba.

ase!!! Mke mzuri na wapo Wanawake wazuri chungu nzima na kuwaacha bila kuwasogelea kidogo ni sawa na kuiahi kwa bustani halafu huli matunda ase!

NALAANI KUCHEPUKA NA MKE WA MTU.
NALAANI WANAWAKE KUCHEPUKA.

#JUMAPILI NJEMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani umekua, ukatongoza, ukachumbia, ukaoa, ukaduu bila ya kuomba ushauri wowote lkn kuchepuka ndiyo utushirikishe

Shida yote hiyo ya nini kuleta uzi huu humu jf kuomba msaada wa njia bora ya kuchepuka, si muulize huyohuyo mkeo akuambie njia bora ya wewe kuchepuka bila ya wewe kumuathiri, kwani si unadai kuchepuka ni INEVITABLE, basi umueleweshe kwanza mkeo atakuelewa tu kama alivyokuelewa kipindi unamchumbia.
 
ongeza upendo mara dufuu alafu uyo unaechepuka nae mwambie ukweli kwamba una. mke si lazima amjue

we nenda kwa mchepuko wahi kurudi mletee mke zawadi mfurahishe muonyeshe upendo asipate wasiwasi wowote usionyeshe kuchati na mchepuko ukiwa nyumbani

hata akija kujua itakua kwa ugumu sana labda atonywe na hapa kuepusha ilo usiwe unawaambia wana wanaowasiliana na mkeo watakuchoma

mi nimeshaacha na mbinu iyo siku hauna mcepuko mkeo ndo anajua unamchepuko maana utakua huna upendo kama wa awali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ambavyo tunaelimishwa kila siku madhara ya kuvuta sigara, na bado mpaka madaktari wanavuta, na tunaelimishwa kila siku kuhusu pombe, lakini watu wanajikuta wamefika bar, bila hata ya kujijua, hata kama asubuhi waliapa pombe basi.

Basi na hili la nyumba ndogo, kuna watu ni 'almost impossible' kuwaambia wasiwe na nyumba ndogo.

Sasa iliyobaki kama watu wazima sio vibaya kufundishana 'how to do it the right way.

zifuatazo ni kanuni ukizifuata hutapata matatizo makubwa na pengine uka enjoy life kupita maelezo.

1. Nyumba ndogo lazima iwe na heshima kwa mkeo na wewe mwenyewe, akileta dharau au kujifanya ana mrusha roho wife, unapiga chini fasta, hii ndio kanuni ya kwanza na muhimu na ndio muongozo wa mpango mzima. Kama hutaki mkeo ajue, basi iwe hivyo, na sio vinginevyo, marufuku mashindano kati ya wife na nyumba ndogo, bora zaidi wasijuane wala kukutana kwenye shughuli zao.

2. Nyumba ndogo isisababishe kwa njia yeyote ile kupungua kwa huduma nyumbani au kwa wife, ikiwezekana huduma ziongezeke home, ili 'wasihisi' chochote...hii ni ngumu kwa baadhi ya watu ukishindwa kipato basi jitahidi, chakula cha usiku but ukiweza vyote bora zaidi.

3. Usimponde au kuzungumza siri za mkeo kwa nyumba ndogo au kumuonesha yeye ni bora zaidi hata kama 'amekukoleza kupita maelezo' hii itazuia kumpa hisia kuwa unataka kumuacha mkeo na yeye achukue nafasi, hata kama ni hivyo, usioneshe hivyo, iwe siri yako mpaka utakapoamua hivyo.

4. Usimtambulishe waziwazi au kuongozana nae kwenye sherehe za kiofisi au za familia, hasa kwa watu wanaomfahamu vizuri mkeo unless wewe na mkeo mpo kwenye process ya talaka officially...akijitia kimbelembele kujitambulisha muonye au mpige chini fasta.

5. Usianze 'kuinvest' mali kwa nyumba ndogo wakati hata future ya watoto bado ya kubabaisha, ukiona nyumba ndogo
ni gold digger unapiga chini fasta.

6. Nyumba ndogo usiipe majukumu ya mke kwa njia yeyote hile, kazi ya nyumba ndogo ni kuku burudisha na kustarehe na wewe, majukumu kwa mkeo, ukifanya kosa hili, si ajabu ukajikuta na nyumba ndogo ya pili nyingine.

7. Nyumba ndogo lazima iwe kifaa cha uhakika, ikiwezekana imzidi wife ili mkeo akigundua awe mpole, ukichukua mwanamke mbovu, wife atakudharau na asiwe 'kicheche maarufu, utaumbuka.

8. Kwa wanaopenda kuhonga, ukihonga gari nyumba ndogo, hakikisha wife analo tayari ikibidi yawepo zaidi ya moja home, sio wife anahangaika na daladala, nyumba ndogo umeinunulia vitz, utadharaulika kupita kiasi na wote wawili na jamii ikigundua.

9. Usitafute sifa kwa ndugu wa nyumba ndogo, tafuta sifa kwa ndugu wa mkeo ili hata zogo likitokea watakutetea.

10. Nyumba ndo sio wife, usilete wivu kupita kiasi, ukiona uaminifu hakuna, piga chini kimya kimya sio kuanzisha ugomvi mpaka siri zinavuja.

Wengine mtaongezea.

Wewe umeamua kufundisha watu uzinifu, kwanini usifunge ndoa naye tu awe mke wa pili.
 
Yeye pia sio nyani ,first atapima kama una kibunda ,akihakikisha anapunguza urithi wa wanao wa ndoa ,anazaa fasta ,anajua utapunguza mapenzi akizaa tu anaingia gym na diet +mafuta ya bei anarudi ukijileta anakupiga mapacha ,sasa ni muda wa kujitambulisha kwa wazazi wako na ndugu hongera umeoa by force,
USHAURI WANGU
Kama unaweza acha kabisa ,ukishindwa kuwa hit and run kwa kutumia sana condom na kutoa pesa nzuri wanawake ukihonga vizuri hawasumbui ,ukianza sijui nakupenda Mara ma out we ukimuona ita rafiki yake mwambie nina 100,000-300,000 per night anasemaje unapeleka nje ya mji unapiga goli 4 ,hata namba huchukui .unalipa makubaliano bye bye
 
Ilikuwa kpind niko mdgo sanaaa kama 13 ivi ila n kumbukumbu ya kipumbavu ambavu ambayo haifutiki kwenye ubongo wangu.Nimejifunza kuna vitu ukifanya ufanye kwa siri sanaaa na yabaki sirini.
ha ha ha ha si miaka mingi itakuwa imepita
 
Back
Top Bottom