The guide: Ukishaamua kuwa na 'nyumba ndogo'

Kama ambavyo tunaelimishwa kila siku madhara ya kuvuta sigara, na bado mpaka madaktari wanavuta, na tunaelimishwa kila siku kuhusu pombe, lakini watu wanajikuta wamefika bar, bila hata ya kujijua, hata kama asubuhi waliapa pombe basi.

Basi na hili la nyumba ndogo, kuna watu ni 'almost impossible' kuwaambia wasiwe na nyumba ndogo.

Sasa iliyobaki kama watu wazima sio vibaya kufundishana 'how to do it the right way.

zifuatazo ni kanuni ukizifuata hutapata matatizo makubwa na pengine uka enjoy life kupita maelezo.

1. Nyumba ndogo lazima iwe na heshima kwa mkeo na wewe mwenyewe, akileta dharau au kujifanya ana mrusha roho wife, unapiga chini fasta, hii ndio kanuni ya kwanza na muhimu na ndio muongozo wa mpango mzima. Kama hutaki mkeo ajue, basi iwe hivyo, na sio vinginevyo, marufuku mashindano kati ya wife na nyumba ndogo, bora zaidi wasijuane wala kukutana kwenye shughuli zao.

2. Nyumba ndogo isisababishe kwa njia yeyote ile kupungua kwa huduma nyumbani au kwa wife, ikiwezekana huduma ziongezeke home, ili 'wasihisi' chochote...hii ni ngumu kwa baadhi ya watu ukishindwa kipato basi jitahidi, chakula cha usiku but ukiweza vyote bora zaidi.

3. Usimponde au kuzungumza siri za mkeo kwa nyumba ndogo au kumuonesha yeye ni bora zaidi hata kama 'amekukoleza kupita maelezo' hii itazuia kumpa hisia kuwa unataka kumuacha mkeo na yeye achukue nafasi, hata kama ni hivyo, usioneshe hivyo, iwe siri yako mpaka utakapoamua hivyo.

4. Usimtambulishe waziwazi au kuongozana nae kwenye sherehe za kiofisi au za familia, hasa kwa watu wanaomfahamu vizuri mkeo unless wewe na mkeo mpo kwenye process ya talaka officially...akijitia kimbelembele kujitambulisha muonye au mpige chini fasta.

5. Usianze 'kuinvest' mali kwa nyumba ndogo wakati hata future ya watoto bado ya kubabaisha, ukiona nyumba ndogo
ni gold digger unapiga chini fasta.

6. Nyumba ndogo usiipe majukumu ya mke kwa njia yeyote hile, kazi ya nyumba ndogo ni kuku burudisha na kustarehe na wewe, majukumu kwa mkeo, ukifanya kosa hili, si ajabu ukajikuta na nyumba ndogo ya pili nyingine.

7. Nyumba ndogo lazima iwe kifaa cha uhakika, ikiwezekana imzidi wife ili mkeo akigundua awe mpole, ukichukua mwanamke mbovu, wife atakudharau na asiwe 'kicheche maarufu, utaumbuka.

8. Kwa wanaopenda kuhonga, ukihonga gari nyumba ndogo, hakikisha wife analo tayari ikibidi yawepo zaidi ya moja home, sio wife anahangaika na daladala, nyumba ndogo umeinunulia vitz, utadharaulika kupita kiasi na wote wawili na jamii ikigundua.

9. Usitafute sifa kwa ndugu wa nyumba ndogo, tafuta sifa kwa ndugu wa mkeo ili hata zogo likitokea watakutetea.

10. Nyumba ndo sio wife, usilete wivu kupita kiasi, ukiona uaminifu hakuna, piga chini kimya kimya sio kuanzisha ugomvi mpaka siri zinavuja.

Wengine mtaongezea.
Nyumba ndogo hazina kanuni, kanuni ni kwa mkeo, nyumba ndogo ndio ina uwezo wa kukupa wewe kanuni za kuapply kwa mkeo.
 
Kama ambavyo
tunaelimishwa kila siku madhara ya kuvuta sigara, na bado mpaka
madaktari wanavuta, na tunaelimishwa kila siku kuhusu pombe, lakini watu
wanajikuta wamefika bar, bila hata ya kujijua, hata kama asubuhi
waliapa pombe basi.

Basi na hili la nyumba ndogo, kuna watu ni 'almost impossible' kuwaambia
wasiwe na nyumba ndogo.

Sasa iliyobaki kama watu wazima sio vibaya kufundishana 'how to do it
the right way.

zifuatazo ni kanuni ukizifuata hutapata matatizo makubwa na pengine uka
enjoy life kupita maelezo.

1. Nyumba ndogo lazima iwe na heshima kwa mkeo na wewe mwenyewe, akileta
dharau au kujifanya ana mrusha roho wife, unapiga chini fasta, hii
ndio kanuni ya kwanza na muhimu na ndio muongozo wa mpango mzima. Kama
hutaki mkeo ajue, basi iwe hivyo, na sio vinginevyo, marufuku mashindano
kati ya wife na nyumba ndogo, bora zaidi wasijuane wala kukutana kwenye
shughuli zao.

2. Nyumba ndogo isisababishe kwa njia yeyote ile kupungua kwa huduma
nyumbani au kwa wife, ikiwezekana huduma ziongezeke home, ili 'wasihisi'
chochote...hii ni ngumu kwa baadhi ya watu ukishindwa kipato basi
jitahidi, chakula cha usiku but ukiweza vyote bora zaidi.

3. Usimponde au kuzungumza siri za mkeo kwa nyumba ndogo au kumuonesha
yeye ni bora zaidi hata kama 'amekukoleza kupita maelezo' hii itazuia
kumpa hisia kuwa unataka kumuacha mkeo na yeye achukue nafasi, hata kama
ni hivyo, usioneshe hivyo, iwe siri yako mpaka utakapoamua hivyo.

4. Usimtambulishe waziwazi au kuongozana nae kwenye sherehe za kiofisi
au za familia, hasa kwa watu wanaomfahamu vizuri mkeo unless wewe na
mkeo mpo kwenye process ya talaka officially...akijitia kimbelembele
kujitambulisha muonye au mpige chini fasta.

5. Usianze 'kuinvest' mali kwa nyumba ndogo wakati hata future ya watoto
bado ya kubabaisha, ukiona nyumba ndogo
ni gold digger unapiga chini fasta.

6. Nyumba ndogo usiipe majukumu ya mke kwa njia yeyote hile, kazi ya
nyumba ndogo ni kuku burudisha na kustarehe na wewe, majukumu kwa mkeo,
ukifanya kosa hili, si ajabu ukajikuta na nyumba ndogo ya pili nyingine.

7. Nyumba ndogo lazima iwe kifaa cha uhakika, ikiwezekana imzidi wife
ili mkeo akigundua awe mpole, ukichukua mwanamke mbovu, wife atakudharau
na asiwe 'kicheche maarufu, utaumbuka.

8. Kwa wanaopenda kuhonga, ukihonga gari nyumba ndogo, hakikisha wife
analo tayari ikibidi yawepo zaidi ya moja home, sio wife anahangaika na
daladala, nyumba ndogo umeinunulia vitz, utadharaulika kupita kiasi na
wote wawili na jamii ikigundua.

9. Usitafute sifa kwa ndugu wa nyumba ndogo, tafuta sifa kwa ndugu wa
mkeo ili hata zogo likitokea watakutetea.

10. Nyumba ndo sio wife, usilete wivu kupita kiasi, ukiona uaminifu
hakuna, piga chini kimya kimya sio kuanzisha ugomvi mpaka siri zinavuja.

Wengine mtaongezea.

the boss no 7 iko poa ni muhim sana
 
Mimi ni mwanamke na naikubali namba 7. Nikimkuta hubby na kijitu flani hivi ovyooo kwa kweli ntakuwa very disappointed lol... at least cheat na mtu wa maana basi tujue moja sio kitu kinanuka shombo mxiuuuuu
 
Wakuu, salama?

Suala LA sisi wanaume kuchepuka nila kawaida hata hapo kale.

Kama sikosei, inasadikika mfalme Solomon alikuwa na wake 600+ na michepuko (Masuria) 200+

Hivyo hii ni jinsi gani inaweza kudhihirisha uhalali wa asili ya Tabia ya kuchepuka kwa wanaume.

Angalia hata idadi (ratio) ya wanawake na wanaume. Haipo balanced hivyo kuashiria ki- nature kuchepuka ni inevitable.

Tuangalie wanyama wengine, kuacha wanyama sisi(binadamu)

Tuangalie hata hali za kimaisha, masikini, daraja LA kati na hata mabilionea na watu maarufu, Makundi yote haya wanachepuka, (sio wote) (unaweza kuhusisha kidogo ishu ya JEFF BEZZOS, Cardi B nk) na visa vya uswahilini vya mafumanizi.

Kuchepuka hata uwe na mke mzuri vipi, it's inevitable!!!

Kama u mwanaume rijali, kuchepuka ni moja ya feature kama sio Element muhimu.

(SIHAMASISHI UZINZI HAPA TUNATAKA KUJADILI SUALA HILI AMBALO SI RAHISI KULIEPUKA ILA TULIFANYE PASIPO KUUMIZA WAKE/WAPENZI KIHISIA/KIAFYA PIA)

Je, vipi naweza kuwa na concubine pasipo kumuumiza mke, mpenzi, mchumba.

ase!!! Mke mzuri na wapo Wanawake wazuri chungu nzima na kuwaacha bila kuwasogelea kidogo ni sawa na kuiahi kwa bustani halafu huli matunda ase!

NALAANI KUCHEPUKA NA MKE WA MTU.
NALAANI WANAWAKE KUCHEPUKA.

#JUMAPILI NJEMA.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom