The guide: Ukishaamua kuwa na 'nyumba ndogo'

Nyumba ndogo inatikiwa isizae,ikiwezekana unakula deal na doctor amchome sindano ya kuzuia mimba ili awe available muda wowote

Mhhhhhh! Wazoefu wa ngono holela/zembe hujulikana kwa mitazamo yao ktk tendo la ngono.
 
nina uhakika hata ww huna mapungufu,ila nadhani ni fashion wifi. usipitwe,ujana maji ya moto. ndo maana na ww sio kama sweetie wako hakupendi ama una mapungufu, sifa ya moyo tamaa (bak, hebu amka utuwekee 20% jamani!)
Hilo nalo neno Wifi King... i like the leading them part... maana tukiwa join moja kwa moja jamii haitachelewa kutugeuzia kibao kua hatufai!.... Sasa King wote wawili hatukak stress lets do the needful; Swali- huyo jirani pontential it is OK.... Sasa mbona sina mzuka wa kuenda huko maana yote napata.... Niende sababu naiga na kukomoa AMA niende sababu kuna mapungufu?? (For there is no mapungufu kwa Sweetie..) naomba ushauri tafadhali....
 
nakutumia na picha yake umuwinde kwenye mataa. vimeo vimemzidi akiona namba asiyoijua hapokei,utakesha!

nitam sms hivi:
Mkuu umeshinda zawadi ya blackberry ya promo ya vodacom,njoo tawi letu la mlimani city uchukue simu yako.Akija atakuta namsubiri na data zako.
 
nina uhakika hata ww huna mapungufu,ila nadhani ni fashion wifi. usipitwe,ujana maji ya moto. ndo maana na ww sio kama sweetie wako hakupendi ama una mapungufu, sifa ya moyo tamaa (bak, hebu amka utuwekee 20% jamani!)

hahahaha.... yaani Wifi kila siku logic yako kali hunikumbusha why me love you.... Kwa hiyo nifanye kama fashion... (si nitahisi ananichafua?? Dah!)
 
nina uhakika hata ww huna mapungufu,ila nadhani ni fashion wifi. usipitwe,ujana maji ya moto. ndo maana na ww sio kama sweetie wako hakupendi ama una mapungufu, sifa ya moyo tamaa (bak, hebu amka utuwekee 20% jamani!)
Hahahaha!...kweli mke mwenzangu umepinda sio kidogo, 'fashion'?????....usikubali kupitwa na hii fashion mpya...lol...ukizeeka utakosa cha kuwasimlia wajukuu ati..
 
he is 'the man', i mean 'THE BOSS MAN',lol!
wifi una maakili sana aisee, unajua the boss hajaongelea terms za promotion. hivi shelf life ya small house ni miaka mingapi? sheria za nchi zinasemaje ukizingatia the boss ameongelea 'rule of no investment' wakati kununulia mtu ki-baby walker karuhusu as long as mke anaendesha fortuner?

(QUOTE=AshaDii;2644216]Nafikiri and rules, guidelines and techniques ambazo hua anatumia... Jamaa anabost wakeze woote walikua wake za watu.... What do you tell such a guy?? lol[/QUOTE]
 
nina uhakika hata ww huna mapungufu,ila nadhani ni fashion wifi. usipitwe,ujana maji ya moto. ndo maana na ww sio kama sweetie wako hakupendi ama una mapungufu, sifa ya moyo tamaa (bak, hebu amka utuwekee 20% jamani!)

:smash::smash::hatari::ballchain::embarassed2:
 
Uzuri wa hii sredi, sijaianzisha mimi

Thanks the Boss (hivi kale kakitufe ka thanks kale...daaaamn)

Darling... Hiivi katiba kweli iko amended ile?? Mbona kama vile wanachama wanaongezeka badala (au ndo tuseme mabadiliko ni mazuri??)

Ngoja nimtafute ODM alipo popote pale..
 
Back
Top Bottom