The guide: Ukishaamua kuwa na 'nyumba ndogo'

Hilo nalo neno Wifi King... i like the leading them part... maana tukiwa join moja kwa moja jamii haitachelewa kutugeuzia kibao kua hatufai!.... Sasa King wote wawili hatukak stress lets do the needful; Swali- huyo jirani pontential it is OK.... Sasa mbona sina mzuka wa kuenda huko maana yote napata.... Niende sababu naiga na kukomoa AMA niende sababu kuna mapungufu?? (For there is no mapungufu kwa Sweetie..) naomba ushauri tafadhali....

Kwa mwanamke mmeo is always perfect,hupashwi kuwa na sababu ya kutoka nje,na ole wako utoke kisha ubambwe,hapo utalijua jiji wallah!
 
kawahi kupeleka mapochopocho small haus,si unajua leo public holiday,bila shaka nyumbani kaaga anaenda shamba chanika kumbe yuko kwa bi mdogo.Mwache astarehe bana.

Ubaya wa Boss ni kwamba ana wake watatu... woote walikua wake za watu.... Hivi nyumba ndogo mke wa mtu inaitwa nyumba ndogo pia?? lol
 
Bishanga, tuliza munkari baba! ndo maana nimemuomba the boss atupe na sie rules! manake kama nyumba ndogo inamsaidia mwanaume kuleta amani nyumbani, lazma kuna njia ya mwanamke nae kuwa na amani nyumbani. kwani hii mikono nikiiweka kichwani itakatika? ikichoka nitaishusha,relax poti,lol
we King'asti wee,ndoa zina rules zake,there are rules for men and rules for women,acha kuvuka mipaka usije ukaishia kuweka mikono kichwani.
 
kwa mwanamke mmeo is always perfect,hupashwi kuwa na sababu ya kutoka nje,na ole wako utoke kisha ubambwe,hapo utalijua jiji wallah!

B' hebu msome one of my best Wifi hapa Chini..

Haki sawa aisee! Hakuna mipaka wala mistari hapa!


Asante Wifi... itabidi tukae kikao cha wadada/mama woote wa Ukoo.... ili wasisikie nini tutajadili.... Kiongozi Wifi King!
 
Nyumba ndogo ikiwa mke au mume wa tu haiitwi hivyo, inakua 'house b' manake huingii ukiwa umeinama. wote mna pete,u act married,hehehe! leo ni leo!
Ubaya wa Boss ni kwamba ana wake watatu... woote walikua wake za watu.... Hivi nyumba ndogo mke wa mtu inaitwa nyumba ndogo pia?? lol
 
nyumba ndogo ikiwa mke au mume wa tu haiitwi hivyo, inakua 'house b' manake huingii ukiwa umeinama. wote mna pete,u act married,hehehe! leo ni leo!


Hahahahaha..... You have cracked me up! Basi tuseme the Boss kaenda "house b".... Sasa king naona utoe Mwongozo... maana hapo nyuma nimekuuliza swali ili unikabidhi kwa that pontential jirani but naona unaogopa kumwaga kuku kwenye mchele wengi...lol
 
bishanga,tuliza munkari baba! ndo maana nimemuomba the boss atupe na sie rules! manake kama nyumba ndogo inamsaidia mwanaume kuleta amani nyumbani,lazma kuna njia ya mwanamke nae kuwa na amani nyumbani. kwani hii mikono nikiiweka kichwani itakatika? ikichoka nitaishusha,relax poti,lol

Jaribu basi uone cha moto,na namba ya simu ya mmeo ujue ninayo(si ulinipa siku ile rose garden?)
 
Nk, usiridhike na harufu! unashindwa na wapare wanapenda mchuzi,lol! nyama usile hata mchuzi ukose? uzuri wa simu sio mlio bwana. tunakualika kwenye kikao chetu cha wanawake wa ukoo kama international observer (ashadii akikuuliza muambie mkti katumia veto yake)
Sipendi nyumba ndogo lakini nimependa points za huu uzi. Zina harufu ya heshima kwa nyumba kubwa.
 
nyumba ndogo mke wa mtu ni hawara,and zat is vere dengaras,mwambie Boss aache hizo la sivyo atakuja chunwa ngozi akiwa hai.


Nafikiri and rules, guidelines and techniques ambazo hua anatumia... Jamaa anabost wakeze woote walikua wake za watu.... What do you tell such a guy?? lol
 
B' hebu msome one of my best Wifi hapa Chini..




Asante Wifi... itabidi tukae kikao cha wadada/mama woote wa Ukoo.... ili wasisikie nini tutajadili.... Kiongozi Wifi King!
Lol...kweli mpendwa...kikao itabidi kwakweli...
 
Back
Top Bottom