The Guardian ya IPP Media imenunuliwa na China?

Mwanamkiwi

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
2,023
2,399
Nikiangalia leo tovuti ya The Guardian hapa THE GUARDIAN | IPPMEDIA ninakuta vichvya vya habari vifuatavyo kwenye ukurasa mmoja :
  • CPC's-great-practice-offers-inspirations-says-turkish-party-leader"
  • CPC’s 100-year history is a heroic legend: Turkey’s Patriotic Party
  • CPC-enables-China-make-remarkable-development-leaps
  • China-helps-worlds-early-development-MRNA-Covid-19-vaccine"
  • Chinese Miracle proves-success-socialism-Chinese-characteristics
  • Behind the miracle is the CPC’s dedication to people’s needs, said Vojtech Filip, chairman of the Communist Party of Bohemia and Moravia, in a recent interview with Xinhua
Najiuliza: je gazeti hilo limenunuliwa au kukodiwa tu na China (CPC = Communist Party of China)?

Idadi ya habari za China kwenye ukurasa huo wa tovuti ni zaidi kuliko habari za Tanzania.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom