Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,384
Hivi Rais wetu huwa anashauriwa sawa sawa kabla hajafanya maamuzi anayofanya? Au hana haja na ushauri wa mtu yeyote???Au washauri wake ni wapumbavu(kwa maneno yake mwenyewe)
SO kuna mkanganyiko mkubwa sana katika hatua zinazochukuliwa na serikali ya John Magufuli dhidi ya wasichana wa shule wanaopata mimba shuleni, lakini wakati huo huo anatoa msamaha kwa watu waliohukumiwa kifungo kwa kubaka na kulawiti wasichana wadogo...
Yan wazungu wana akili sana, wameona kitu ambacho sidhani kama kuna Mswahili au hata kiongozi wetu alikiona...wacha tu mzungu awe mweupe...na wacha tu aitawale dunia..
Soma habari zaidi hapa chini:
Tanzania pardons two child rapists and calls for arrest of pregnant schoolgirls