imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,678
- 71,032
Kuna watu humu wakiambiwa na mzungu bon'goa sio tu watabon'goa bali watachekelea.
Kuna watu humu wakiambiwa na mzungu bon'goa sio tu watabon'goa bali watachekelea.
Na ndo maana wenye akili tumempuuza tunatafuta tu namna ya kuhakikisha kuwa mi5 inamtosha!Sasa mshauri si bashite aiseee
Well SaidTatizo serikali haitakiwi kufanya habari za haki nje ya sheria.
Kama walifungwa kimakosa ilitakiwa serikali ikubali makosa na kuwafidia, si kuwatoa kwa msamaha wa rais.
Ukiwatoa kwa msamaha wa rais maana yake umekubali wana makosa, ndiyo maana unawasamehe.
Asiye na makosa, akafungwa visivyo, hasamehewi, anafunguliwa na kuombwa radhi na kufidiwa.
Duh! Mkuu punguza ukaliHawa wamesamehewa na rais kwa mujibu wa sheria sasa kama imekuuma sana na wewe gombania urais ili uje kufuta msamaha wao.
Kweli kabisa, hivyo nadhani ingekaa vizuri zaidiKama haya ni kweli, basi Magu ange agiza mchakato wa kusikiliza tena shauri la hawa "Wabakaji" na lingetolewa uamuzi kwa prosija za Ki Mahakama, HAKI ingeonekana imetendeka KULIKO KUSAMEHE...Ni maoni yangu..
Amefuata ushauri wa LowassaHivi Rais wetu huwa anashauriwa sawa sawa kabla hajafanya maamuzi anayofanya? Au hana haja na ushauri wa mtu yeyote???Au washauri wake ni wapumbavu(kwa maneno yake mwenyewe)
SO kuna mkanganyiko mkubwa sana katika hatua zinazochukuliwa na serikali ya John Magufuli dhidi ya wasichana wa shule wanaopata mimba shuleni, lakini wakati huo huo anatoa msamaha kwa watu waliohukumiwa kifungo kwa kubaka na kulawiti wasichana wadogo...
Yan wazungu wana akili sana, wameona kitu ambacho sidhani kama kuna Mswahili au hata kiongozi wetu alikiona...wacha tu mzungu awe mweupe...na wacha tu aitawale dunia..
Soma habari zaidi hapa chini:
Tanzania pardons two child rapists and calls for arrest of pregnant schoolgirls