The Guardian Uingereza: Tanzania pardons two child rapists and calls for arrest of pregnant school girls

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,449
2,000
Hivi Rais wetu huwa anashauriwa sawa sawa kabla hajafanya maamuzi anayofanya? Au hana haja na ushauri wa mtu yeyote???Au washauri wake ni wapumbavu(kwa maneno yake mwenyewe)

SO kuna mkanganyiko mkubwa sana katika hatua zinazochukuliwa na serikali ya John Magufuli dhidi ya wasichana wa shule wanaopata mimba shuleni, lakini wakati huo huo anatoa msamaha kwa watu waliohukumiwa kifungo kwa kubaka na kulawiti wasichana wadogo...

Yan wazungu wana akili sana, wameona kitu ambacho sidhani kama kuna Mswahili au hata kiongozi wetu alikiona...wacha tu mzungu awe mweupe...na wacha tu aitawale dunia..

Soma habari zaidi hapa chini:
Tanzania pardons two child rapists and calls for arrest of pregnant schoolgirls
 
pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,333
2,000
Je, ni kweli hao child rapists wali-rape au walipewa kesi ya ku-rape ili wasicheze na "moto"?
Je,mahakama zetu zili-prove beyond "reasonable doubt" wanayoisema kuwa rapists wali-rape?
Kama wapewa "zigo" na Magu anajua walipewa "zigo" makusudi na mahakama hazikufanya "right thing" makusudi au kwa shinikizo, si ni uungwana kwa Magu kutenda haki kwa mlango wa mamlaka aliyopata?
Kuhusu kuzuia ku-arrest pregnant school children na kuwanyima fursa nyingine hapo Magu yupo wrong na yeye mwenyewe anajua hilo. Anaongoza raia na sio waamini wa dhehebu fulani ambao kwao wana "dogma"
Kwangu mimi, kakosea kwa wanafunzi ila INAWEZEKANA ametenda Haki nje ya sheria kwa Seya na mwanaye.
 
Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,829
2,000
Umaskini una vinasaba vingi sana vya kufanya watu waendelee kuwa maskini! Hizi nchi zetu za kiafrika za kimaskini ndizo zenye sheria za ajabu kandamizi ili watu wasitoke kimaisha, mfano ni kumfunga mtoto kwa kupata mimba akiwa shule hilo ni wazo la kifikra za kimaskini.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,275
2,000
Tatizo sio Magufuli Tatizo ni Unafiki wa Watanzania!

Siku wanasamehewa kina Babu Seya baadhi yetu tulipinga tukatukanwa matusi yote lakin Leo wameandika Guardian la Kwa kina Eliza ndo tunajifanya kustuka!
Kwahiyo kama wangekufuatilizia wewe kwenye kupinga ndo ingesaidia nini?
 
iphoneX

Senior Member
Dec 12, 2017
194
250
Mbona wao wanalawitiana mchana kweupe huko Soho,mbona raisi wetu hawaingilii.
kosa moja halifanyi la pili kuwa sahihi mkuu eti kwa kuwa wao wanavunja sheria kwa kukawitiana mchana bs ba sisi tuwaachie wabakaji! hapana mkuu hyo haiwezkaniki lazma tufate sheria na taratibu na tukubali kulinda mikataba ya kimataifa juu ya haki za watoto kwa kuwa Tz ni mwanachama
Mbona wao wanalawitiana mchana kweupe huko Soho,mbona raisi wetu hawaingilii.
 
Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,577
2,000
Je, ni kweli hao child rapists wali-rape au walipewa kesi ya ku-rape ili wasicheze na "moto"?
Je,mahakama zetu zili-prove beyond "reasonable doubt" wanayoisema kuwa rapists wali-rape?
Kama wapewa "zigo" na Magu anajua walipewa "zigo" makusudi na mahakama hazikufanya "right thing" makusudi au kwa shinikizo, si ni uungwana kwa Magu kutenda haki kwa mlango wa mamlaka aliyopata?
Kuhusu kuzuia ku-arrest pregnant school children na kuwanyima fursa nyingine hapo Magu yupo wrong na yeye mwenyewe anajua hilo. Anaongoza raia na sio waamini wa dhehebu fulani ambao kwao wana "dogma"
Kwangu mimi, kakosea kwa wanafunzi ila INAWEZEKANA ametenda Haki nje ya sheria kwa Seya na mwanaye.
Off course mahakama ziliwafunga kutokana na ushahidi uliotolewa. Na mahakama ya rufaa ikapigilia msumari. Kama kuna utata basi angeirudisha kesi mahakamani itolewe uamuzi upya.

Kama kuna watu walibebeshwa zigo basi ilikuwa ni nafasi kwake kutuonyesha kuwa yeye anachukia rushwa kwa kuwashughulikia wahusika.
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,652
2,000
kosa moja halifanyi la pili kuwa sahihi mkuu eti kwa kuwa wao wanavunja sheria kwa kukawitiana mchana bs ba sisi tuwaachie wabakaji! hapana mkuu hyo haiwezkaniki lazma tufate sheria na taratibu na tukubali kulinda mikataba ya kimataifa juu ya haki za watoto kwa kuwa Tz ni mwanachama
Mbona huko kwao kosa kama hilo lina kifungo cha miaka minne tu,mtu anaachiwa mbona hawa jamaa waliosamehewa wametumikia nongwa iko wapi?
 
dapangi

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
547
250
Ni maoni yao. Wao wanaegemea hukumu ya kesi. Mheshimiwa Raisi amefanya jambo ambalo Watanzania wanaamini kuwa ni haki. Kwa maana hiyo kuna ukweli uliofichwa /uliopindishwa kwenye suala hilo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom