The Green Gold from the South

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Kusini ili zao huitwa green gold wengi wametoka.
So far kuna mpaka viwanda vya usindikaji MBozi na NJombe vimeanza kujengwa.
UKipanda hass which mature at the age of 2.5 to 3 years (unaweza endelea kuvuna mpaka umri wa miaka 100 cha msingi matunzo)
Mti mmoja hutoa matunda 300 kwa mwaka mpaka 500.UKiwa na miti 70 kwa eka manake una matunda 21,000 sawa na 7000kg.Assume kilo moja ni 1500tshs(bei ya leo NJombe iyo) kwa eka unapata 10.5mil ukiwa na eka kumi sawa na 105mil kwa mwaka ambayo kwa mwezi ni sawa na mapato ya 8.7mil(mshahara wa mkurugenzi huo tena gross nadhani ikija take home lazima alambe 5mil)
Just assume mwaka mbaya ukapata just nusu ya iyo 105mil maisha yanasonga huna haja ya kuajiliwa ni kutafuta mtaji panda parachichi.
Mambo iko uku wahi mashamba Moshi Mbeya na NJombe kuwa na better future yako na ya wanao
1078427
 
Huu mchanganuo wako umenikumbusha ishu ya kilimo cha tikitiki maji!😂😂😂😂😂
Watu waliingia kichwa kichwa walikula za USO mpaka leo hawana hamu!

Parachichi ni kilimo kizuri ila hili soko la nje linalitangazwa tatizo vigezo!
Ishu za kutumia samadi ndo wengi watakwama
 
Back
Top Bottom