The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

Ana sifa kuu nne ambazo hamna binadam mwingine anazo
1) Ni mwana wa Mungu
2)Ni masihi
3)Nabii
4) Ni neno la Mungu,
Hakutumia atomic bombs, drones, bunduk, panga n.k, alitumia Neno tuu, pia alikufa na akafufuka, kweli Yesu Ni jina lipitalo kila jina,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia ya Yesu imejieleza vizuri kabsa ktk biblia, Yesu alifanya vitu vingi sana licha ya kwamba ktk hali ya kibinadam alionkn ni fnd sereml. Lkn matendo aliyoyatenda ni yenye ukuu mkubwa na aliyafanya kwa wakati. Hivyo ata sie tunapaswa kuwa km yeye, kutenda Jambo bila kuangalia u ktk hali gn na kwa wkt sahihi. Bila kusahau kujiheshimu pia na kutambua nafasi yako.
 
Yule dogo alikua na Charisma, yaani alikua ana nyota ya kupendwa hafu alikua smart mno kichwani.
Nidhamu ndio imemfikisha hapa alipo...
 
Back
Top Bottom