The Greater Kanumba movie mpya THIS IS IT!

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
12,895
15,648
Kanumba.jpg

Huyu jamaa hana washauri? Hata marafiki basi wa kumshauri angalau.
 
Kanumba ni type ya Wasanii wa filamu wanafuata upepo...Kisa kaona ile rememberence ya Wacko yaitwa jina hilo naye ka-copy eti naye anatunga igizo lake na kuliita jina hilo hilo... So cheap indeed... Halafu waswahili wataichangamkia hiyo...
 
We Babukijana ndo umekosea kwenye hiyo heading yako...Unasema jamaa hana washauri, wakati wewe ndo hujatulia!

Kiingereza, ukisema ..THE GREATER, hiyo ni 'comperative noun" unatakiwa ulinganishe na kitu kingine!..huh!
Embu rekebisha hii maneno bana...watu tulikuwa walimu zamani, tukaacha!
 
Mkuu ndiyo anavyojiita lakini, halafu najua umeelewa.
 
Fafanua mkuu......au na wewe huna washauri?
tatizo ni hizo senema zao zinavyopandiana mfululizo kila kukicha na kuna mwenzie RAY THE GREATEST,anyway nimeangalia movie yao moja tu lakini niliona mapungufu kibao,nadhani sababu ni kukurupuka na movie mpya daily,anyway umeniuliza mshauri mi sina ila mshauri wangu mkubwa ni hicho nimeshika mkononi.
 
to sttart with... tunajaribu kulinganisha filamu za huyo kanumba na za nani???? maana tusije kuwa tunaziona zinamapungufu kibao tulikilinganisha na za wachezaji wakubwa wa hollywood ! hapo tutakuwa tunajaribu kufananisha kichuguu na mlima everest. tuwatie moyo wasanii wetu, wameanza kwa taabu na wameanzia mbali sana, kila kitu kina mwanzo, pamoja na kuwa mie si mtizamaji mzuri wa filamu zao lakini nadhani wanajaribu kufanya kitu angalau na huwezi amini wana washabiki wengi sana (watanzania wenzao na hata kenya) lakini kwa wewe uliezoea kufuatilia series na movie za kina angelina jolie lazima uone mapungufu kibao hapa, tunaridhika na ule uongo wa wazungu wa kupigana na jeshi zima peke yake na kukwepa mabomu n.k. au kuruka toka kwenye holikopta inayolipuka!!!!!! that why wkati mwingine najione bora kuwaangalia kina MASAKUU
 
sio kila kitu cha kuunga mkono,hatukatai wanajitahidi lakini wanapokosea pia mnatakiwa kutoa hizo kasoro nyie ndio mnafanya waendelee kutoa huu upupu,kwa sababu kila kitu kwenu ni kizuri kisa mnawapa moyo na kuwashangilia ndio maana akikosolewa na wengine anakimbilia kulialia maana mmewajaza ujinga kiasi kwamba chochote wanachotoa mnafagilia,wanaiga kiiila kitu,THIS IS IT! ndio nini sasa??mi kuliko niangalie huu ujinga afadhali nimwangalie king majuto au hata kingwendu.
 
sawa ndugu nimesikia.. naahidi kuanzia leo sitawasupport tena na upupu wao wa kijinga.. bora nijiunge nawe kuangalia kingwendu
 
Ndugu.......... AU ndo yale ya JK kwamba wengine mnaangalia upepo.........??? UMICHENJI GHAFRA...........
 
Wazee wazalendo.

Haina haja ya kufichana hapa kama ni ukweli tualizane tu, WACHEZA CINEMA WETU WANACHEZA TU, hta siku mmoja huwezi toa movie kila kukicha, tena part one na part two kwa pamoja, movie hazina editors just script and one camera.

Mambo mengi ni ya kuinga Nigerian Movies, kazi kuchanganya lugha, jina la Kiingereza movi ya Kiswahili subtitle Kiingereza, what is this.

Movie hazina mpangalio wa matukio, ukiona mwanzo tu, unajua kila kitu kuhusu picha husika. Movie huandaliwa kwa muda mrefu sana ikapikwa ikapikika, lakini hapa kwetu utasikia leo Kanumba katoa hiki, kesho kile n.k

Hatuwezi endelea katika movie industry hivyo, Mtu huyo huyu, ndiye main actor/ actress, Producer, executive produce, editor, etc kila kitu yeye?

Mtu akicheza movie moja ya pili na yeye anataka kutunga na ku-direct movie, kuna actors/actress kibao hawajawahi kunga movie hata mmoja zaidi ya kuact scene ndani ya movie.

W e need to change, ndipo nitapenda movie za Tanzania na hao wanageria wenu.
 
Attachments

  • LadiesGentlemenKansas.mp3
    119.3 KB · Views: 66
Ndugu.......... AU ndo yale ya JK kwamba wengine mnaangalia upepo.........??? UMICHENJI GHAFRA...........
aah wala sijachenji ghafla, tangu mwanzo nilijisemea kuwa mie si mteja wa kina kanumba, napendelea zaidi kina masakuu na mwala, kwa huku kwetu tanzania watu wanaogiza kama hao kina masakuu ndio kama kina kingwendu, majuto, small, bi chau, zembwela n.k. kwa hiyo sifuati upepo infact hata hizo movie za kina kanumba huwa naziona tu imalaseko zimejaa telee sijawahi kushawishika kununua, ila sometimes naziona kwenye africa magic +
 
thats why i dont watch these things bana aaaaaaaaaaaaaah!!!!
 
Bongo movies, most of them are complete shambles!
Anyways ni gud ajira lakini kwao...
 
thats why i like u.

boss sijawahi na wala sijui nani na kwa njia gani atanishawishi kupoteza (achilia mbali kununua au ku-pirate) muda wangu kutazama upuuzi huu wa akina Kanumba and company...
simply there is nothing to watch.....wandesa mpaka title bana agrrrrrrrrrrrrr!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom