The great ordeal !

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
3,112
3,536
Salamu wanajamvi!
Naam, ndivyo unavyo weza kusema, ni mtihani mkubwa kwa serikali ya CCM, This is the greatest ordeal in recent years. Mgogoro wa mchanga wa dhahabu mali ya ACACIA Kampuni kubwa inayo jishughulisha na uchimbaji na uuzaji wa dhahabu huenda ukaliingiza Taifa katika mgogoro wa kiuchumi siku si nyingi. Kwa maoni yangu, busara inahitajika kuliko mbwembwe za kisiasa. Tayari waliotuingiza matatizoni wenyewe kwa wenyewe wameanza kutofautiana.

Tatizo lipo, aliyelisababisha yupo, ila wakulitatua kama yupo basi hana mbinu sahihi. Awali mlifurahi kuambiwa Tanzania ni Nchi yenye mazingira bora ya uwekezaji, lakini muda siyo mrefu tutaitwa ni isiyo faa kabisa kwa uwekezaji.

Nani wa kulaumiwa? Kwanza ni Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa kupitisha mikataba ambayo hakika ilikuwa ni ya hovyo.Pili, wakulaumiwa ni serikali na tatu ni wapiga kura wajinga. Kuendelea kuwarudisha madarakani CCM ni sawa na kubariki ujinga wao.

Mgogoro huu utabadili kabisa mtazamo wa watanzania mwaka 2020 kwasababu tutakuwa tumepigika kiasi cha kutosha na kwa hakikia ni mjinga aliyeko ICU ndio ataichagua serikali ya CCM.
 
Hatudanganyiki hata kidogo wametuibia sana. Tupo nyuma ya Magufuli ambaye ni kiboko cha mafusadi ja wanyonyaji.
 
Back
Top Bottom