The Great Angel

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,567
9,026
Wonders shall never end in our beloved country. I was surprised early this week when the great angel said two angels asked him for forgiveness. I wondered if the great angel is able to differentiate between criticism and insult in his reign.
 
The Boss is always right,
Hata ukiona the paper is as white as snow, Boss akikuuliza hii paper rangi gani?. Wewe ukiwa true to yourself, utajibu ukweli halisi kuwa "This paper is White". The Boss akisema, this is not white, this is Black!, akikuuliza tena hii paper rangi gani?, wewe utajibu "Black!".

Wale malaika wawili, hata kama kiukweli kabisa, hawajamtukana Malaika Mkuu, lakini baada ya leakage ya voice note, then you are condemned unheard, just for that voice, kwa Malaika Mkuu, akakufuta kazi just for that voice note, bila hata kukusikiliza, Then utajua Malaika Mkuu amekasirika. Malaika Mkuu akikukasirika, hata kama hujamkosea chochote, to be on a safe side, wewe omba tuu Msamaha hata kama ndani ya moyo wako you know hujafanya kosa lolote, lakini kwa vile Malaika Mkuu amekasirika, unaomba msamaha kwa the principle of "the Boss is always right ".

Sisi Wakristo Wakatoliki tumefunzwa, ukiisha samehe, forgive and forget, don't talk about it at all!. Wanaondani mention ile ni just a public announcement kuwa kuna watu wameomba, msamaha, wakasamehewa!, it's not!. Ule ni Ujumbe mahususi kwa watu fulani kuwa lazima na wao waombe msamaha ili wasamehewe, Ole wao wasipoomba msamaha!.
P
 
Sawa mkuu nimekukubali kwa busara zako, ila sasa mbona sauti zote zilizovuja zilikuwa zinamcritisize hakuna aliyemtukana hata mmoja, Kwahiyo kwa malaika mkuu kumcritisize ni kumtukana?
 
Back
Top Bottom