The great and perhaps the most diturbing question of the year

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,191
144,820
Je,ofisi ya raisi(Ikulu) nayo imeshindwa kweli kupata bank statement ya stanbick bank yenye wafaidika wa fedha za Escorow?

Naomba kama kuna mwenye jibu,basi atupe sababu za msingi za kushindwa huko?
 
Wewe ukienda benki yako ukachukua kwenye akaunti yako cash ya 1,000,000 ukaondoka ukagawia wadogo zako watatu cash laki mbili kila mmoja na wewe ukabaki na laki 4 statement ya benki itawaonyesha hao wadogo zako?
 
Ok,ni kweli hapa nimekosea.
 
Back
Top Bottom