The good, the bad and the worse of President Magufuli

kidole007

JF-Expert Member
Dec 22, 2012
3,094
1,873
Ntaandika kiswahili na kiingereza coz am comfortable..

The Good.
kusimamia ukusanyaji wa kodi
Tutakubaliana, in order to build a strong institution like how they do it in west and europe msingi ni kukusanya kodi na kufight corruption by all means.
Kitu ambacho Magufuli seems to be doing at least for now ( but he may not be doing it at all)

The bad.
Taking it personal
Swala zima la maendeleo ya nchi ni la kila mwananchi. Sio la mtu mmoja
Its our country we have to decide where we going.. not being directed where we shud be going
Namanisha kwamba all the the driving force kma bunge, serikali kuu, mahakama shud be in tune with one another.
kwann naona Magufuli will hit a wall ( i might be wrong anyway)
Hes takin swala zima la maendeleo kma his personal issue yani its he against the world..

The worse
double standards ( not doing what hes preaching)

Hapa wote tunajua
sitaelezea sana
Mifano ni mingi jinsi serikali Ya magufuli iliyo ndumi la kuwili..
 
Iam waiting till things become worse or better

Back
Top Bottom