donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
Salaam wakuu,
kwanza kabisa nitoe shukrani sana kwa mkuu magnifico ambaye since the day alipo-post hapa kwa mara ya kwanza beat yake aliyoigonga kwenye FL studio, we kept in touch na kufanya kazi nyingine kadhaa ambapo alikua ananitumia beats then mimi naingiza vocals locally kama demo nakuzirusha online. Hatimaye leo nimefanikiwa ku upload mixtape yangu ya kwanza online (gonga hapa kuipata Don.C - Loxodonta Africana Hosted by Dj Magnifico // Free Mixtape @ DatPiff.com) thou amdoing it just for fun and not as a career naomba support yenu wakuu katika kuidownload na kusikiliza and am open for advice and suggestions.
Thanks and regards,
Don Lucchese.

Last edited by a moderator: