Mkanya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 599
- 14
Wazalendo mimi binafsi naamini huu ni wakati
Katika chuo kikuu cha Dar es saaam,Baada ya uchaguzi wa wanachuo kuaanza ilionekana kuna mgombea alie chaguliwa tayari na viongozi sijui ni wakinanani na hata ukiwa Chuo utakuta chuo kizima kimejaa picha kutoka kwa kodi za wamaskini waishio Tanzania wanao lala njaa nimesikia fununu.
Sasa kituambacho hawakujua ni kuwa wanafunzi wote wa mlimani ni wapinzani wa CCM yaani hawaitaki ndio maana wote wanachuo wakona bora waongozwe na Mganda ODONG kuliko kuongozwa na mafisadi.
Chuo cha ccm viongozi wake wakaona wamfukuze huyo mganda ili ccm agombee mwenyewe,na wanafunzi hawakuwa tayari kwa hilo.
Sasa basi wanafunzi wakawa wanataka wanafunzi wenzao warudishwe ndio maana wakakamatwa kwakuwa hwafati itikadi za kifisadi,
sasa na wamefungwa wengine wemefukuzwa chuo.
SASA NINI CHAKUFANYA KWA HAWA WANAFUNZI WETU? NADHANI TUWAUNGE MKONO WOOTE KWA PAMOJA ILI WAPATIWE HAKI YAO YA KIKATIBA NA TULETE MABADILIKO,MIMI NIPO TAYARI KUANDAMANA PAMOJA NAO,NA VIONGOZI WA SIASA MUUNGE MKONO MUANZISHE MAANDAMANO NCHI NZIMA KUPINGA UNYANYASAJI NA UFISADI.
WITO KWA WAN JF WOOOTE TUUNGE MKONO KWA CHOCHOTE KITAKACHO FANYIKA NA HAWA WANAFUNZI MAY BE YAKAWA MABADILIKO YALE AMBAYO WENGI TUMEKUWA TUKIPIGA KELELE HUMU NDANI,NIFURAHA YANGU KAMA TUKIITUMIA HII CHANCE VIZURI KULETA MABADILIKO YA KWELI TANZANIA.