The Gods Must be Crazy imepigwa picha Tanzania?

Hizo movies ni za South Africa na zilitengenezwa siku zile za ubaguzi wa rangi tuliwawekea South Africa vikwazo vya kiuchumi.

Kwa hiyo picha hazijapigwa Tanzania.

Sent from my Kimulimuli
 
1f13d20e70d005a4ab9257249ce4c6ec.jpg

Katika hii movie ukiitazama kwa umakini inakupa majibu sahihi Juu ya utaifa wako na hali ya uzalendo ulio nao katika moyo wako

Ila usichokifaham katika movie hii ni kwamba ilichezwa nchini Tanzania lakini wengi uamini kuwa ilichezwa Botwasana

Yawezekana wengi katika vijana wa .com hawaijui kitu hii mtanisamehe kwa kumbukizi hii..
Kwani bado tu uko kwenu wanauza viloba

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mfano wakati movie inaanza wanakuonyesha busy city as far as a remember nadhan ni Johanesbergy if not mistaken.
Narator anakwambia as man tries to make life easy by the use of science and technology, he finds himself making it difficult and more complicated.
Yani inshort ni kwamba mfano jinsi teknolojia inavyokua ndivyo maisha yanazidi kuwa magumu.
Hebu fikiri ni vitu vingapi ambavyo kwasasa vinaonekana ni muhimu ambavyo ni vigumu mtu wa mjini kuishi bila kuwa navyo ambavyo miaka ya 80 havikuwepo na watu waliishi tu.
Mfano Tv, simu za mkononi, ving'amuzi, mitandao n.k vyote hivyo ni gharama kununua na ni gharama kuviendesha pia vinakufanya uongeze ratiba yako.
Lakini kwa ma bushmen hawana mambo mengi, hawahitaji hata calender ya kuwambia leo ni monday wala sunday wala sasa hivi ni saa saba.
Anasema kwao any day can be sunday or monday kwakuwa maisha yao ni simple hawapambani against nature ila wana live according to nature.
bila hiyo teknolojia tungekula na kunywa hapa JF?
idiot!
 
Bado sijakubari kama kuna hata kisehemu cha picha kimechezewa TZ. japo mara ya mwisho kuitazama ilikuwa bado hata sijawaienda kwenye tuition za kikristu. Nilikuwa naangalia mapicha picha tu. Japo wahenga wa Kwa malkia wana ka msemo kao "Picture speaks a thousand words"
 
Uache uongo wako huo, weka ushahidi wa picha au maandishi.

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Yule msimuliaji naona alikuwa ni sentimentalist kwenye maisha ya bush tu, ila sio maisha marahisi ukilinganisha na ya sasa, watu kukosa uhakika wa chakula, maji, kufa kwa magonjwa ndi maisha marahisi?
Teknolojia imekuja na complications zake ila imerahisisha maisha mno
Japo maisha ya zamani yana uzuri wake na ninakuwa na miss mno na kutamani nyakati zirudi nyuma, ila siwezi kusema eti ndi marahisi
Only 600 miles to the south, there's a vast city. And here you find civilized man. Civilized man refused to adapt himself to his environment; instead, he adapted his environment to suit him. So he built cities, roads, vehicles, machinery, and he put up power lines to run his labour-saving devices. But somehow he didn't know where to stop. The more he improved his surroundings to make life easier, the more complicated he made it. So now his children are sentenced to 10-15 years of school, just to learn how to survive in this complex and hazardous habitat they were born into. And civilized man, who refused to adapt to his surroundings, now finds he has to adapt and re-adapt every hour of the day to his self-created environment. For instance, if it's Monday and 7:30 comes up, you have to dis-adapt from your domestic surroundings and re-adapt yourself to an entirely different environment. 8:00 means everybody has to look busy. 10:30 means you can stop looking busy for 15 minutes. And then you have to look busy again. And so your day is chopped into pieces, and in each segment of time you adapt to a new set circumstances. No wonder some people go off the rails a bit...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom