The geothermal potential of Tanzania is about 650MW | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The geothermal potential of Tanzania is about 650MW

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njowepo, Mar 29, 2012.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Estimations by analogue method show that the geothermal potential of
  Tanzania is about 650MW of which most of the prospects are located within
  the East African Rift System. Most of the geothermal prospects were
  identified by on-surface manifestation mainly hot springs. There are about
  50 geothermal prospects in Tanzania grouped into three main prospect zone;
  the Northern Zone (Kilimanjaro, Arusha and Mara region), The Southern
  Zone (Rukwa and Mbeya region) and the eastern coastal belt which is
  associated with rifting and magmatic intrusion(Rufiji Bas in).
  More info on :
  http://www.gak.co.ke/nibs/web_resources/GEOTHERMAL%20DEVELOPMENT%20IN%20TANZANIA.pdf

  MY TAKE
  Ama kweli kwenye miti hamna wajenzi
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wanabodi si kila kitu tukitazama kama matatizo tu bali wakati mwingine tuyatazama matatizo yetu kama Fursa. Kwa uhaba huu wa Umeme ambao Taifa linaabiliana nao kila kukicha, ina maanisha Soko ni kubwa kuliko uwezo wa Tanesco kuzalisha na kusambaza.
  Sasa kama tuna Geothermal potential kubwa namna hii, ni kwa nini tusiingie huko kama private sector na kuwekeza. Kinachofurahisha ni kwamba, Mazingira yetu na sheria zetu zinaruhusu, na vilevile tunayo Bank ya Rasilimali
   
 3. Ipyanah

  Ipyanah Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Tanzania is where resources all sorts from mother nature are not only available but also discovered and yet we weep for economic changes. Wonders shall never cease.
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Tatizo la GEOTHERMAL unaitaji mtaji mkubwa kama ilivyokuwa hinted kwenye report ya watafiti so government intervention is a must.
  Tatizo la nchi hii sasa hakuna kiongozi ambaye anasimamia maslai ya Taifa na kama wapo ni wachache na hao wachache wanabanwa mbavu nao hao mafisadi papa!
   
 5. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  This is exactly what I needed to hear. Lakin Mkuu labda nikuulize, ni mpaka lini tutakuwa tunaendekeza hali hii? Mimi nadhan ni mpaka tuseme IMETOSHA, WE HAVE TO WIN. By wining I mean STAND FOR OUR RIGHTS, FIGHT FOR OUR RIGHTS, and Invest in those resources
   
 6. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu hapo kwenye Mtaji nakubaliana na wewe, lakini suala kusema Government Intervention is a must, sidhani kama ni sahihi kwani kadri tunavyozidi kusonga mbele ndivyo serikali inavyozidi kujitoa kwenye Biashara, kwa mantiki hiyo tunavyozidi kukaa kimya, basi tutegemee wawekezaji zaidi wa nje zaidi kwenye sector ambao kutokana na mazingira yetu bado wanafaidi wao.

  Ni kweli kuna intervention fulani inayotakiwa kutoka serikalini hasa kwenye upande wa sera, ili hata kama wakija wawekezaji wa nje, waweze kuingia ubia na wazawa kutokana na UMILIKI wa Ardhi. Lakini kama Mtu amedhamiria na akawa na Business Plan nzuri, anaweza akahodhi eneo kwenye moja ya hizo zones, na kutafuta wawekezaji wa nje wa kushirikiana nao, kwani hatujakatazwa.

  Ukweli ni kwamba uwekezaji kwenye uzalishaji huu wa Nishati ni gharama sana, lakini gharama zitakuwa kubwa zaidi kama mtu amedhamiria kuzalisha megawati nyingi zaidiLabda nitoe mfano kidogo wa Private Enterprise iliyofanikiwa kwa kiwango fulani katika uzalishaji wa nishati, UMEME-KATANI; hawa wameweza kuzalisha Kilowatt 300 (kwa msaada wa UNIDO), na kuendesha kiwanda cha Katani Ltd. Kuna kipindi nilisikia Mwakyembe & Co wameamua kuvunja ukimya na kuingia kwenye uzalishaji wa umeme kwa kutumia UPEPO huko Singida. Sijui nao wameishia wapi!

  Lakin kama serikali ingekuwa sikivu na kuwekeza, basi tungepiga hatua kwa kasi sana. Hebu Fikiria namna haya makampuni binafsi yanavyotufilisi! Wenzetu Kenya walishaliona hili na wana state owned Company, Geothermal Development Company, ambayo ndio inayoingia ubia na wawekezaji wa nje na kwa sasa wapo kwenye mchakato wa kuzalisha MW 100 huko Bogoria-Silali
   
 7. sam2000

  sam2000 JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45

  Unachosema ni kweli kabisa mkuu, i happened to working with KenGen in olkaria, yani ukiona the way this government wanawekeza kwenye geothermal utashangaa. Right now wanajenga 2 plants za 140MW each to add to the existing plants of more than 155Mw from geothermal in olkaria. Again when you look at it careful, you will realize even KenGen is partially privately owned so the government plays a major role in all these. The way these guys wamejipanga likija suala la umeme huwezi amini. Yani wao wanasupply company(KPLC), transimission company(Ketraco),and generation(KenGen). Yani walijua toka mwanzo mistake ya kuachia kampuni moja ifanye kila kitu(Tanesco)! We have a long way to go
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Tuko pamoja mjasiria mari tatizo serikali yako inabidi iwekeze vya kutosha sio kuzalisha bali kwenye tafiti ili tuweze liuza ilo wazo kwa investors.Kitaalamu twasema you need to build up a CASE to solicit donors/investors on the existing potential.
  Nilimaanisha ilo Enterpreneur.
   
 9. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,511
  Likes Received: 6,016
  Trophy Points: 280
  hili suala la umeme mi linanipain sana lakini tatizo tu mitaji(tutaishia kula kwa macho hizo opportunity), unajua nchi nyingi zinaenda vyanzo vingine baada ya kuishiwa hydro power lakini sisi hydro power potential ipo ya kutosha, kampuni ya norway ilionesha bonde la mto songwe kati ya malawi na tz linaweza kuzalisha hadi 400MW, fao waligundua kwenye bonde la ruaha/rufiji kuna maeneo 21 yanafaa kwa hydro power, bado mito mingine kama ruhuhu. tatizo letu sie mtaji ila sidhani kama serikali nayo inakosa mtaji, jamaa wa chuo cha ufundi arusha walitengeneza turbine za maji kilowati 25 kwa vifaa vyao kwanini wasiendelezwe hao tuka anzisha ata vibwawa vya MW 5 si tutasevu?, hizo teknolojia zingine ni nzuri ila expensive kama kudrill geothermal well ni expensive na risky. hizo wind turbines nazo ni ghali mno zinaanzia MW1 kwanini tusiwaendeleze wale wa mabibo hostelau wa veta tukaanza hata na za kilowati hamsini kwani mpaka kila kitu tuanzie alipo mzungu cant we start from our own level? nimelalamika sana ila one day ntafanya kitu
   
 10. maziwa ya mgando

  maziwa ya mgando Senior Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Serikali yetu inastigma/woga wa kuwekeza kwenye miradi ya aina hii
  hasa kipindi cha utafiti sababu hakuna guarantee, unaweza ukatumia 1b, afu unakuta hakuna mali ya kutosha hapo ulipofanyia utafiti na inabidi uachana na hiyo project.

  Kwa hiyo hakuna pesa wanayokubali ku-risk kiwango hicho. Ila bado kuna aina mikataba kama Option agreements ambazo hutumika katika sekta ya madini kati ya mtu mwenye pesa ila hana eneo na mwingine ana eneo ila hana pesa.

  Kumbuka sakata la kahama miaka ya 80's under Stamico, serikali ilishindwa kuwekeza kama 1m usd.

  Mining is gambling kwenye hatua ya utafiti(strategic gambling)
   
 11. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Tusiitegemee tena sirikali kwa mambo haya ya umeme. Akina Njowepo mnatakiwa kuwaeleimsha wafanya biashara wazawa (especially wale toka maeneo husika) juu ya opportunities kama hizi. Wazawa bado wanafanya biashara za kizamani kwa sababu ya kutokujua mambo kama haya. Mi naamini kabisa pesa ipo mbona juzi tu jamaa wa ushirika wamepewa mkopo na benk za ndani (madafu 25 Billioni) kujenga ghorofa pale mnazi mmoja...

  Pesa hizo zinatosha kujenga mtambo wa kuzalisha umeme si chini ya 50 MW.
   
 12. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  http://[B]www.gak.co.ke[/B]/nibs/web_resources/GEOTHERMAL%20DEVELOPMENT%20IN%20TANZANIA.pdf

  JIRANI KATUFANYIA KAZI SIO........
   
Loading...