The Gas Turbine Saga Continues

Mlalahoi

JF-Expert Member
Aug 31, 2006
2,182
883
Bank `covers` govt over gas turbine imports


THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

A local banking giant, CRDB Bank, has moved in to provide a ’safety net’ for the importation and installation of gas turbines on behalf the state-run Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), THISDAY has learnt.

The importers, Messrs Richmond Development Corporation RDC) of Houston, United States, apparently couldn’t get a bank guarantee after failing a ’due diligence’ test back home � and subsequently failed to open a letter of credit to facilitate importation of the turbines � until the CRDB came along.

However, CRDB Managing Director, Dr Charles Kimei is categorical that his bank isn’t covering for the RDC, which he says are not the bank’s clients.

’’An LC is opened to protect the importer, so that if the supplier (RDC) fails to deliver then the money will not be paid to him. This therefore means that TANESCO (and the government by extension) have covered themselves well against any possibility of Richmond failing to deliver goods,’’ Dr. Kimei said in part, clarifying earlier press reports that his bank had covered the US firm.

Further responding to queries about his company’s involvement in the deal, Dr. Kimei retorted: �Who told you Richmond were our customers? Our customers on the contrary are TANESCO.�

To cover the state utility firm against non-delivery of the turbines, the CRDB has a $100m (or 130bn/-) letter of credit on the strict understanding that the goods are delivered.

In that case, he said, the money will not be paid to the suppliers. ’’They will only be paid if they deliver according to the purchase agreement,’’ Dr. Kimei said in a written statement to THISDAY.

Kimei’s explanation comes in the wake of mounting criticism against the bank and Ministry of Energy and Minerals for contracting the US firm to supply TANESCO with power supply even after it had failed to beat the deadline for importing and installing a 20MW gas turbine earlier this month.

Investigations by THISDAY reveal that it’s not the first time that the RDC had failed to deliver on projects contracted by the power utility firm: only last year, it failed to file a feasibility study on the Dar es Salaam-Mwanza oil pipeline � and subsequently lost out on a tender floated then.

It was also reported to have failed to meet tender specifications for the supply of gas fired turbines � again forcing TANESCO to cancel a tender for the supply of the same.

Reliable sources say that the RDC is now one among four firms to supply gas turbines to TANESCO as a matter of urgency because all the other bidders, who included Rousant International of South Africa, Renco Spa of Italy and Gapco Tanzania Ltd, did not meet the tender specifications.

The RDC is jointly owned by a Tanzanian-born businessman, Mohammed Gire and Pakistani economist, Mohammed Huque.

’’In its bid, the RDC couldn’t set a date, or even commit itself, as to when their gas turbine power station would be installed or what the tariffs are likely to be,’’ the sources told THISDAY.

When first contacted for comment a week ago, Dr Msabaha dithered: ’’You better come to my office. I don’t give interviews over the phone.’’

But when THISDAY visited the minister’s office, his aides demanded a written questionnaire. However, the minister has yet to respond to the written questions.
 
Hawa ndiyo viongozi wetu?
akina Dr Msabaha amekaa sana katika hii wizara na kila kukicha kero tupu?


Nimechukua tu hapa kakipande toka hapo juu.

’’In its bid, the RDC couldn’t set a date, or even commit itself, as to when their gas turbine power station would be installed or what the tariffs are likely to be,’’ the sources told THISDAY.

When first contacted for comment a week ago, Dr Msabaha dithered: ’’You better come to my office. I don’t give interviews over the phone.’’
 
Mkira,
Na ukimfuata ofisini utapigwa chenga na yule Secretary wake akisema bosi hayupo au bosi ni bize.
 
Jasusi. Labda katika hii awamu ya tatu ma"secretaries" wamebadilika kwa KASI MPYA NA NGUVU MPYA!

maana walikuwa wanaongoza kwa maudhi na labda siku moja ningepiga mmoja wao makofi nikafungwa!hehehe!!!!!!!!!!!wanaudhi hao!!

ukitaka kujua kaudhi yao pita katika ofisi za serkali ukitafuta kazi!!
au useme unamtafuta boss wao!!
 
Nafikiri tatizo sio wao, ila ni maagizo wanayopewa bila shaka. Tatizo la Bongo sasa hivi Omba omba wengi wanavaa tai na suti, hivyo inawawia vigumu ma"secretaries" kufahamu yupi ni yupi, na hivi tai nyumbani alfu unapata tai tano za nguvu, inakuwa ngumu kwelikweli kuwabaini mamba kwenye msafara wa kenge.
 
Mafuchila said:
Nafikiri tatizo sio wao, ila ni maagizo wanayopewa bila shaka. Tatizo la Bongo sasa hivi Omba omba wengi wanavaa tai na suti, hivyo inawawia vigumu ma"secretaries" kufahamu yupi ni yupi, na hivi tai nyumbani alfu unapata tai tano za nguvu, inakuwa ngumu kwelikweli kuwabaini mamba kwenye msafara wa kenge.

Nadhani "ombaomba hao wenye tai na suti (na joto hilo la Bongo!!!)" nao ni Watanzania na wana haki ya kusikilizwa.Nilidhani kwa mtizamo wetu huko nyumbani "suti na tai" bado ni dalili ya heshma flani (ndio mavazi ya viongozi wetu licha ya kupingana na hali ya hewa).So,watu wanaosikilizwa na masekretari wanavaa vipi siku hizi?
 
Taabu zitaendelea maana kwenye Mkutano wake na watanzania majuzi nyumbani kwa balozi JK alisema swala la umeme ni dogo tu na linashughulikiwa lakini yeye kwa kuogopa giza anakata mitaa Marekani kupunguza masiku na mgao wa umeme unapamba moto .
 
Mzeeshughuli Bwana said:
Taabu zitaendelea maana kwenye Mkutano wake na watanzania majuzi nyumbani kwa balozi JK alisema swala la umeme ni dogo tu na linashughulikiwa lakini yeye kwa kuogopa giza anakata mitaa Marekani kupunguza masiku na mgao wa umeme unapamba moto .

Na huyu jamaa anavypenda totoz sijui kama atamaliza ziara yake huko States bila kuibua kimwana.
 
Back
Top Bottom