The future of JamiiForums | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The future of JamiiForums

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Dec 24, 2007.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,572
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Tunamaliza mwaka on a high note lakini tusiwe complacent kwani ma competitors watakuwa wengi sasa Napendekeza yafuatayo:


  NEWS & POLITICS:
  -Ondoa hoja nzito,vibweka,hoja mchanganyiko,habari mchanganyiko,polls au kupiga kura,
  -Bakisha hii kama sehemu ya kuPost na kudiscuss news, editorials, commentary, headlines and politics from the day's/weeks current events

  UCHUMI&BUSINESS FORUM
  mambo ya kupeana ma dili na info zote ni hapa

  WANAWAKE:
  wekeni forum ya akina mama wakadiscuss mambo yao

  ICT FORUM
  Tutorials/Books + ICT Related issues + Online Technical Help hizi zote unganisheni sehemu moja hakuna haja ya kuwa na sections 3 tofauto

  ELIMU&LUGHA
  Hapa ndipo pawe nyumbani kwake

  SPORTS FORUM:
  mashabiki huu ndio uwanja wenu

  ENTERTAINMENT FORUM:
  habari zote za entertainment ziwe hapa

  MATANGAZO FORUM
  misiba na mikutano na ya watu wa Ughaibuni pamoja na nyumbani iwe hapa...in short hapa ni matangazo tuu

  DINI
  hii ndio iwe chini kabisa

  COMMENTS & SUGGESTIONS FORUM
  Mapendekezo na malalamiko yote yawe hapa

  Ile forum ya jamaaa IACHE tuu sehemu yake wenyewe wataipata wakiitafuta

  jamani haya ni mapendekezo yangu tuuu so mnaweza kuongeza kitu gani tuongeze ili mwaka ujao mambo yawe safi zaidi

  Still I am not sure na wakenya kupewa platform humu lakini its should be open for discussion after all mijadala yao inaweza ikawekwa kwenye EAST AFRICAN FORUMS


   
 2. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, hapo sijaona ile habari ya sebule yetu inayo andaliwa mara nyingi na ndugu yetu brazamen ama nayo itakuwa hapa ENTERTAINMENT FORUM??
  Kazi na panado mkuu!

  Pili hayo mambo ya kina mama ndo yapi? nadhani itakuwa haitendi haki, kwa dada/mama zetu ( why them?)labda iendane na mambo ya kina baba, vinginevyo nahisi kunyanyapaana katika hili!
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,572
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Soma vizuri nimmeelezea wakiitaka wataipata tuu

  Nadhani kama ndio hivyo basi itabidi tuwe na forums mbili tofauti za WANAUME na nyingine ya WANAWAKE (kama wapo)
   
 4. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2007
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,096
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  umenichekesha sana

  umenikumbusha ile nyimbo ya mdundiko

  " mama nipe panado naona homa mie
  nimeinama nimeinuka nimeokota kidude"


  kuweka sehemu ya wanawake si kuwanyanyapaa bali ni kuwafanya wachangie zaidi hasa ukizingatia wakina mama ni wachache, kama wanavyofanya kunyanyua ushiriki wao bungeni, na sehemu nyengine.


  pia kuna mambo amb ayo mara nyingi yanawahusu kin a mama kwa hiyo ni vizuri kuwapa uwanja wa kujinafasi na ss akina baba tukiwa na mawazo tutachangia.

  wazo zuri,

  na nnategemea mzee brazameni yeye jamvi lake liachwe lisichnganywe.


  ningeshauri ianzishwe forums ya ijue sheria

  forum hii iwe na lengo la kuelimishana sana masuala ya uraia na katiba kwa kuanzia katiba ya nchi yetu, haki za raia na mpaka katiba za mashirikisho mbali mbali.

  sehemu hii pia itumike kuulizana masuala mbali mbali ya kisheria na kupeana ushauri.


  kwa sasa nna mawazo hayo nikipata jengine sitosita kuliweka ili kuliim arisha jamvi letu
   
 5. A part from all that, JF ianzishe service ya email kwa baadhi ya wanachama wake
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Dec 24, 2007
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  LoL,

  CMB, am working on this. Mwanachama yeyote anayetaka kuwa na barua pepe via JF anakaribishwa. Mfano: mtanzania@jamboforums.com ama mswahili@jamboforums.com.

  Tafadhali tuma ombi kwenda kwa invisible@jamboforums.com na itatengenezwa haraka iwezekanavyo huku ukifuata masharti ya kuwa na barua pepe hiyo.

  Itakuwa na ukubwa wa 6GB na inaweza kuwa downloaded via Outlook na kwenye mobiles mnaweza kusoma mails zenu.

  Karibu
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,417
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Ahsante sana Invisible na JF Management kwa ujumla.

  Nawasihi wanaJF wa apply na kujipatia anuani ya barua pepe hii...


  SteveD.
   
 8. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sasa hiyo barua pepe ya jina la rwabugiri?? ama ni ruksa kuiomba kwa kutumia jina la Mussa na Eva?
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,417
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Rwabugiri, Swali zuri hilo na kwa uelewa wangu ni kuwa hilo linawezekana, ila nadhani inabidi umuulize Admin/Invisible kama hilo ni pendeleo lako na siyo membership name yako.

  SteveD.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,510
  Likes Received: 35,121
  Trophy Points: 280
  Ombi lakuwa na barua pepe za JF si baya, lakini je utaitumia kuwasiliana na akina nani? Maana ukiwasiliana na washikaji si watakujua...:)aha! kumbe Brazameni ni fulani bin fulani....:) of course kuna wengine hapa tunajuana kwa vilemba....kama waarabu wa pemba....:)
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,572
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Vile vile naona bora JF tukaachana na haya mambo ya ku dumb down mwishowe tunaonekana tunapenda sana kudiscuss non issues au issues ambazo hazina kichwa wala miguuu.

  Sikatai i have been a culprit kwenye hili lakini yote ni kutokana na kufuata huo mkumbo wa wengi humu ambao strangely wengine inasemekana wana ma PHD and whatnot lakini awaishi kuspend time kujadili non issues

  Trend iliopo JF in my opinion inaokeana ni ya ANTI-INTELLECTUALISM at its best, no wonder watu kama akina akina profesor Marjorie Mbilinyi na wengineo ambao walijiunga na JF hapo awali wameamua kunyuti kwani badala ya kuwa tofauti na forums zingine tumekuwa tuko mstari wa mbele kupeana THANKS na kujidai eti tunamkoma NYANI GILADI kwa kuwadiscuss watu badala ya issues(haiondoi ukweli kuwa PUBLIC FIGURES HAWANA IMMUNITY)

  Sababau kubwa ya kujiunga na JF niliambiwa eti kuna vichwa na ukiingia ovyo ovyo utakimbia, ni kweli ni kuwa the standards nilizozitegemea hazipo

  Pili japo tuna impact bongo lakini hatuna much impact kwa hao watu wasiojua kiswahili kwani wana JF wengi eidha English inawapiga chenga au ndio katika ku dumb down

  Hivi mnategemea jamaa wa FOX news wanaweza kupata maoni ya waTanzania kuhusu ANDREW YOUNG kwa kusoma kiswahili humu?


  Naomba tubadilike jamani hiyo 2008 ndio maana nikaanzisha hii thread kwani maoni yenu yanahitajika ili tujue improvements zipi ziletwe. Invisible bado tunasubiri maini yako kuhusu hoja zangu za hapo awali

  BTW haya matangazo ya GOOGLE TUNAYAONDOA VIPI?
   
 12. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2007
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Bwana Game Kuna Software Za Kuweza Kutafsiri Maneno Kwa Njia Nyepesi Zaidi Kwahiyo Haa Fox Wakija Watakuwa Na Software Hizo Na Ile Ni Kampuni Kubwa Lazima Watakuwa Na Wataalamu Wao Wa Lugha .

  Pia Hayo Matangazo Ya Google Ni Watu Wanatangaza Kama Wengine Wote Ni Moja Ya Mapato Ya Wanaoendesha Jf Kama Ulikuwa Huna Taarifa Hizo Ila Mengi Inaonyesha Ni Janja Fulani Inaendelea Bila Wenye Jf Kufaidika Kikamilifu .

  Mwisho Napenda Pia Kukukumbusha Tanzania Kuna Wananchi Zaidi Ya Mil 36 , Wanaoingia Jf Unajua Ni Wangapi Kwa Siku ? Kwahiyo Jf Haiwezi Kuwakilisha Mawazo Ya Watanzania
   
 13. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #13
  Jan 6, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,095
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Nashauri kuwa kuwe na folder ya sayanzi na tekmnolojia ktua nafasi ya wanachama kubadilishana mawazo katika field hiyo. Kwa sasa hivi kuna nafasi hiyo kwa IT tu, lakini kuna maeneo mengine ambapo wanachama wanaweza kupashana au kubadilishana mwazo katika natrural sciences kama Physics, Chemistry, Biology, Biotech, Engineering, Medicine, Agriculture na mengine mengi.


  Sijui Wazee na vijana mnaonaje hilo.


  Sina makosa............
   
 14. M

  Mtu JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2008
  Joined: Feb 10, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sawa kabisa mkuu,ngoja tuone maoni ya wanaJF wengine.....hasa tofauti ya kule ICT na hili pendekezo lako mkubwa
   
 15. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,291
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Nafikiri hili la kichuguu lina maana sana!! Hili folder la Sayansi na teknolojia itasaidia sana kusolve masuali na kushikiana katika ideas ndani ya sayansi ya asili mbali na teknolojia ya habari (IT)... ni wazo zuri na nasapoti kwa upeo wangu....
   
 16. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,864
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Ni wazo zuri!

  Sema JF wanapenda zaidi thread za siasa
   
 17. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #17
  Jan 7, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Working on it...

  Sasa nakuombeni nyote tupendekeze nini kiongezeke, nini kitoke ili tuwe na forums zote muhimu na zisizo muhimu ziondolewe. Frankly speaking si rahisi kwetu kujua mahitaji yote ya jamii bila jamii husika kudai haki yake.

  Hii ni muhimu na naithamini sana. Let's make use of it.

  Invisible
   
 18. m

  mwenekapufi Member

  #18
  Jan 7, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima zote Invisible. Ni kweli kuwa hapa wengi wanapenda threads za siasa. Lakini itakua poa zaidi kama tunaweza kujadili kisayansi towards solving some real problems.Isije ikawa threads za kutambiana usomi kama tafiti nyingi zilivyo kwenye shelves tuu.
   
 19. Tanzania 1

  Tanzania 1 Senior Member

  #19
  Jan 7, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 197
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi binafsi nayaunga mkono mawazo haya, na niko tayari kutoa msaada kwa upande wa sheria za kimsingi khs Patent na Inventions.

  Who knows! Huenda ugunduzi wa kwanza mkubwa ukatokea ktk forum hii.

  After all, in what century are we to ignore or be indifferent to science and technology?
   
 20. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2008
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 9,553
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Sayansi na teknolojia vikipewa forum itakuwa imetulia. Najua kuna mambo mengi sana ambayo tunapaswa kupashana kuhusu sayansi, kama walivyojaribu kuelezea wana JF wengine hapo juu.

  Ushauri Wangu
  1. Forum za "NAULIZA HIVI" ama "HOJA MCHANGANYIKO", mojawapo iondolewe, kwa sababu hoja za forum kati ya hizi mbili zinaweza kubebwa na forum ya "MAONI, MAPENDEKEZO, USHAURI"

  2. Napendekeza forum za NYEPESI na JOKES/UDAKU ziunganishwe.

  Naomba kuwasilisha.
   
Loading...