The full list of winners of African Leadership Magazine (ALM) Persons of the Year 2020. Hongera sana Rais Dkt. John Magufuli

Kwa taarifa yako wabongo wengi ndo hawakumpigia kura,..so kama huheshimiki nyumbani, huna maana ...huko pengine hawajui ukweli....

Uzuri hakushinda ...mengine ni kujifariji tu
Kwahiyo alipigiwa na kina nani sasa maana alipata aslimia zaidi ya 45 huku wale wa senegal na sauth wakipata 0
 
Kwa taarifa yako wabongo wengi ndo hawakumpigia kura,..so kama huheshimiki nyumbani, huna maana ...huko pengine hawajui ukweli....

Uzuri hakushinda ...mengine ni kujifariji tu
Usisahau kua wa Ghana wanaotumia mitandao ni wengi sana kupita Watanzania, maana hata kielimu wao ndiyo walitangulia hadi baadhi ya vitabu vya literature tulikua tunasoma kutoka huko West Africa!!
 
Logically tu Ufanisi wa Kiongozi hasa katika Uongozi wake haupimwi kwa Kura za Mitandaoni tu bali kwa Uhalisia wa Maisha ya anayewaongoza.
 
Anayejua uhalisia wa maisha ya Baba ndani ya familia ni wanafamilia wenyewe.Baba anaweza kua chui kwa familia yake na akawa kondoo kwa walio nje ya familia yake.Hivyo yowe za wanafamilia si za kuzipuuza wanakuwa na jambo.
Mtoto mwenyewe awe ndio kama TAL majirani wote wamamjua kwa ujeuri ata akitoka nje kulalamika sidhani kama watamsikiliza.
 
Africa Disruptor of the Year 2020

1. Kamal Yakub, Founder, Uber for Tractors, Ghana – Winner

2. Ken Njoroge, Co-founder & Group CEO, Cellulant Corporation, Kenya – Runner-up
Hapa Tundu Lissu wamemuibia kura zake. Yeye ni africa disrupter (mbomoaji wa Afrika) mkubwa kuliko wote duniani akifuatiwa na rafiki yake Zitto Kabwe. Itabidi wahamasishe maandamano yasiyo na kikomo kudai haki yao hiyo! Bila shaka IGP Sillo hatasita kuyaruhusu maandamano hayo ambayo BAVICHA na UVICCM watakuwa wamoja kushiriki maandamano hayo. Yatapokelewa na Mwamba wa ufipa.
 
Mtoa post ni kanjanja watakaopewa zawadi ni winners and not runner up soma vizuri nimekiatachia
Hii inaonyesha jinsi hata Tanzania hakushinda uchaguzi
Mijitu mingine mnapenda kupotosha sana wehu nyie
 
Attachments

  • Screenshot_20210120-000629.png
    Screenshot_20210120-000629.png
    32.6 KB · Views: 1
Hapa Tundu Lissu wamemuibia kura zake. Yeye ni africa disrupter (mbomoaji wa Afrika) mkubwa kuliko wote duniani akifuatiwa na rafiki yake Zitto Kabwe. Itabidi wahamasishe maandamano yasiyo na kikomo kudai haki yao hiyo! Bila shaka IGP Sillo hatasita kuyaruhusu maandamano hayo ambayo BAVICHA na UVICCM watakuwa wamoja kushiriki maandamano hayo. Yatapokelewa na Mwamba wa ufipa.
Nafikiri hujaelewa maana ya hii category na hujasumbua akili yako kuwa Google hao walioshindanishwa kwenye hii category ujue wamefanya vitu gani kwenye Jamii yao
Halafu eti unajiita Dr Akili
Wewe utakuwa mpuudhi Sana na huna akili
Kwa taarifa yako disruption is not only about negativity
Hiyo karegory inahusu watu waliosubutu na kubadili mifumo iliyokuwa ya kawaida kwa kuiboresha kuwa bora zaidi kwenye Jamii
Embu kajisomee zaidi maana ya msamiati disruption,
 
Hao runner up wote toa

Contestants walikua wawili wawili,sasa aliekua anatakiwa ni mmoja tu

Kama washiriki ni wawili wawili kila category,then lazima kutakua na wa kwanza na wa pili,hakuna mwingine tena

Ingekua contestants ni wengi zaidi ya wawili then kungekua na Winner halafu Runner-Up

Umeweka concept ya Runner Up ili loser Magufuli aonekane

Bro,kuna winner Ambae ni Addo halafu kuna Loser ambae ni Magufuli,usiweke neno Runner-Up!

Hakuna watoto hapa
Umemjibu vizuri Sana.
 
Back
Top Bottom