The full list of winners of African Leadership Magazine (ALM) Persons of the Year 2020. Hongera sana Rais Dkt. John Magufuli

hongera sana mh Rais kwa kuiwakilisha vyema Tanzania.hii ni kuonyesha ukubaliaji wa raia kwa maendeleo ya twnzania na afrika kwa ujumla
 
In short African Leadership Magazine walichokuwa wakifanya ni kilujitangaza tu wajulikane wapo lakini hawana achieve walichotaka yaani kuongeza mauzo ya gazeti

Tanzania akiyaleta akiuza hata copy kumi ajiehesabu ana bahati

Ni shindamo la kitapeli hali na wala award yeyote kwa washindi
Ni shindamo hewa polemic mlioshiriki kupiga kura

Yawezekana kuwa ni kweli lakini ubishi kando, Rais wa Ghana ni the best, Nilipoona title kitu cha kwanza kuja kichwani ni kushindwa kwa Rais wa Ghana na nilivyokuta kashinda nikaona ni Haki kabisaa..
 
Mtu yuko madarakani kwa fake mandate halafu mnamdanganya kuwa eti anakubalika kwa kuwa wa pili kwani mshindi wa pili waga ana kombe gani. Very useless.
Sasa hapa nani ana mdanganya!? Sisi au Walioendesha mchakato wa upigaji Kura wa Viongozi wa Africa!!
 
Yawezekana kuwa ni kweli lakini ubishi kando, Rais wa Ghana ni the best, Nilipoona title kitu cha kwanza kuja kichwani ni kushindwa kwa Rais wa Ghana na nilivyokuta kashinda nikaona ni Haki kabisaa..
Ni best kwa lipi?
 
Ni best kwa lipi?

Kwa mtu kama wewe kuniuliza hili swali ni kutaka kubishana tu ila nitakujibu pia..

Personally sijaona kiongozi ambaye yupo serious na Sera za uchumi ambazo zinahakikisha uchumi wa mtu mmoja mmoja na Overoll economy inakua kama yeye. Kama huzijui hizo sera, Google is your friend
 
GOOGLE ITALETA ZA GENERAL NITAJIE SPECIFFICALLY ZA RAISI WA GHANA
 
GOOGLE ITALETA ZA GENERAL NITAJIE SPECIFFICALLY ZA RAISI WA GHANA
Hiyo Google ya wapi inatoa taarifa za GENERAL, Google ni search engine, unachotafuta ndicho unachopata. Kuwa specific sawa tafuta economical reforms in Ghana under Prezidaaa ____. Kiufupi naelewa unachofanya and i won't fall into that mkuu.. Nice morning
 
NI me google hamna kitu huo u best wa raisi wa GHANA sijauona kwenye mambo ya uchumi
 
Ni Wivu tu unakusumbua,kaa ukijua Tz Sasa hivi tunaheshimika sana na Ulimwengu Kama tulivyokua tunaheshimika kipindi Cha Mwalimu!! No 2 is not a joke,Magu kawapita Ma Raisi kibao ambao Nchi zao ziko very powerful Kiuuchumi!!
Kwa taarifa yako wabongo wengi ndo hawakumpigia kura,..so kama huheshimiki nyumbani, huna maana ...huko pengine hawajui ukweli....

Uzuri hakushinda ...mengine ni kujifariji tu
 
U
NI me google hamna kitu huo u best wa raisi wa GHANA sijauona kwenye mambo ya uchumi
Umeuona kwenye mambo gani?

Mbona Mataga mnakaza misuli sana....hamuamini rais wa Ghana ni bora kuliko yule wa republic of chatlle
 
Wengi waliopiga kura na kumpa kura raisi wa GHana walipiga kura wakiwa mbumbumbu ukiwauliza huyo raisi wa GHana ni best kwa kipi hawajui ila tu mradi waliona kuna Magufuli MIHASIRA YAO ya kushindwa uchaguzi wakampigia raisi wa GHana ku steam out frustration zao
 
NI me google hamna kitu huo u best wa raisi wa GHANA sijauona kwenye mambo ya uchumi
Wewe hata ukiwekewa Mwenyezi Mungu na Magufuli umpigie kura aliyeumba mbingu na nchi ni nani?
Utampa Magufuli kura yako!

Alishawahi kukufanya nini Dada yangu YEHODAYA ? Maana sio kwa huba hizi unazoonyesha! Unamshinda mama Jesca!
 
Halafu kuna watu wanakwambia ICC imchukulie hatua za kisheria Magufuli ambae anaonekana ni symbol ya African hero.

Siku ICC wakijaribu kusema wanafikiria tu kumshitaki Magufuli watakutana na backlash ya ajabu sio kutoka Tanzania bali the entire African continent.

Kuna mijitu huko Ulaya (ina shutuma za ku-support vikundi vinavyo sumbua serikali nchi mbali mbali duniani), America (kuna generals wanashutuma za kufanya mambo reckless na kuua civilians), China (kinachoendelea huko Xinjiang ni hatari), Russia (wana mziki wao na Crimea) M.E (kuna evidence silaha zinazotumika na waasi wa Syria hela zake zimetoks S.A) to name a few world atrocities; halafu wahusika wanapeta tu kitaa na nchi zao zishasema awapeleki mtu yoyote ICC.

Halafu we utoke hapo utake ICC wamshitaki hero wa kiafrica kwa nyakati za leo, in other words unataka ICC inunue ugomvi na waafrika. Lissu ni mwanaharakati siasa sio fani yake soon as CDM realise ndio wataanza kukinusuru chama kutoka kilipo.
Anayejua uhalisia wa maisha ya Baba ndani ya familia ni wanafamilia wenyewe.Baba anaweza kua chui kwa familia yake na akawa kondoo kwa walio nje ya familia yake.Hivyo yowe za wanafamilia si za kuzipuuza wanakuwa na jambo.
 
Mimi nilifikiri chadema wana wingi kiasi kwamba wangesababisha Jpm awe wa mwisho tena kwa kupata 0%

Kumbe pamoja na kuhamasishana kote bado kawa wapili tena kwa mpishano wa 10%?

Bavicha mmekwama wapi?
Ana tofauti gani na Simba S.C walioshika nafasi ya pili kwenye kombe la Muungano?
 
Wewe hata ukiwekewa Mwenyezi Mungu na Magufuli umpigie kura aliyeumba mbingu na nchi ni nani?
Utampa Magufuli kura yako!

Alishawahi kukufanya nini Dada yangu YEHODAYA ? Maana sio kwa huba hizi unazoonyesha! Unamshinda mama Jesca!
wewe mwenyewe ulimpigia kura raisi wa Ghana ku steam out tu mi frustation yenu ya kupigwa chini uchaguzi Uliopita

CHADEMA walihamishia frustration zao kwa Raisi wa Ghana

Vipi baada ya kumpigia raisi wa Ghana frustration zenu zimepungua?
 
"Multiple ID" za nini!?
Ukiitwa sukule au mpum..vu utasema umetukanwa!!?
Wewe ndiye mmojawapo ya wale matahira yanayojisaidia sehemu iliyo na kibao cha "ONYO/AMRI: USIK..JOE HAPA".
Sasa unamtolea nani huli povu hapa? Wewe ndio juha na lipumbavu
 
Kikubwa kapigwa chini,mbaya zaidi wabongo wengi ndio wamemuangusha!
Kapigwa chini wapi?
Nchi zilikuwa nne.
Ghana
Tz
Senegal
SA

Magaufuli amekuwa mshindi wa pili kwa kupishana na mshindi wa kwanza kwa asilimia 10, sasa hapo ndio kupigwa chini?

Na south na senegal wasemeje sasa?
 
Back
Top Bottom