The Forgotten Heroes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Forgotten Heroes

Discussion in 'Matangazo madogo' started by X-PASTER, Apr 27, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Apr 27, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kitabu Kipya Kwa wana siyasa

  k3.jpg
  Hiki ni kitabu kipya kinachoelezea mchango wa wazalendo waliopigania uhuru.

  Kitabu kinaeleza yale yaliyotendeka mwaka 1958 wakati TANU ilipoingia katika uchaguzi wake wa kwanza uliojulikana kama Uchaguzi wa Kura Tatu.

  Waingereza waliweka masharti ya kibaguzi yaliyopelekea TANU itishie kususa kuingia katika uchaguzi.

  Matokeo yake TANU ilikuwa karibu ijigawe katika mapande mawili hasimu - ya wale wanaounga mkono kushiriki uchaguzi wakiongozwa na Mwalimu Julius Nyerere Rais wa TANU na wale wanaopinga wakiongozwa na Sheikh Suleiman Takadir, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU.

  Kitabu kimewafufua wazalendo wengi ambao leo wamesahaulika
  .  Kitabu kinapatikana Ibn Hazim Bookshop bei haizidi TShs. 3000/- (Elfu tatu).

  ****************

  You can get copies of the book from Ibn Hazim Bookshop Manyema Mosque Lumumba/Mafia or from Khartan Bookshop next to Kariakoo Bureau de Change Swahili/Narung'ombe.


  Or get in touch with Elizabeth 0783 420 768 of Abantu Publications the publishers
   
Loading...