The Five Stages of Grieving | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Five Stages of Grieving

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kiranga, Nov 4, 2010.

 1. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Wasalaam,

  In other uchaguzi news, naona uchaguzi umeeisha na sasa watu wanaenda through the Kubler-Ross stages of grief, Denial, Anger, Bargaining, Depression, Acceptance.

  Denial- "Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando" "Mpendazoe alipata kura 56,962 Segerea, asema" ' ITV wamtangaza Regia Mtema kushinda" Actual threads

  Anger - "SMS ya Maandamano nchi Nzima " " EU, USA should ban CCM leaders and their families"and all this talk of mapanga.

  Bargaining- Mikakati ya 2015 "CCM Beyond 2015"

  Depression - "Uchaguzi 2010: Sauti ya wananchi iheshimiwe!" "Kipi kimeshindikana kutangaza matokeo ya urais "

  Acceptance- "Dr Slaa tunaomba Ukubali Matokeo ili kudumisha Amani" 'JK kumpooza Masha na cheo gani?" "CCM 2015:January,Magufuli,Membe,au Migiro?"

  It would have been funny if it wasnt so serious.

  Naona hata Ngangari Maalim Seif anamsifu Dr. Shein kwa "mahaba" aliyonayo na Zanzibar.
   
 2. Companero

  Companero Platinum Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Acha kukachachua nadharia ya mwanasaikatri/saikolojia wa watu!
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Kukachachua ndiyo mdudu gani huyo? Ona nani anayechapia sasa.

  Jibu hoja kwa hoja na siyo kwa blanket statement, onyesha kosa liko wapi na kwa nini.
   
 4. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
 6. Companero

  Companero Platinum Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Haya ngoja nikachakue kabrasha la Kubler-Ross tuanze kupangua hizo hoja zako!
   
 7. Companero

  Companero Platinum Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bluray kabrasha lipo mbali hivyo ngoja nianze na hoja nyepesi kudhihirisha kuwa 'unachakachua' nadharia yake. Ile nadharia imejikita zaidi katika mtu binafsi na watu wanaomhusu katika hilo suala. Hivyo huwezi kutumia mifano ya mada za watu ambao hawakutaka chadema ishinde kujenga hoja yako. Kwa mfano, huyo aliyesema sauti ya watu iheshimiwe ni mmojawao au unataka kusema kuwa na yeye alitaka Ccm ing'olewe?
   
 8. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kiranga kule kwetu ni LAANA.
  "Just remember you are dealing with the Pontification of JF".
  what a big JOKE?!.
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  labda uwe unasema wengine kwenye jamii wako katika stage ya mwisho ya grief wakati wengine ndo kwanza wako kweny anger.
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Collective body ya upinzani JF ina zeitgeist inayopanda munkari na kushuka, ndiyo hiyo ninayoiongelea. Hata kama theory imeandikwa kwa mtu mmoja, kama kuna parallel katika body of people sioni kwa nini isitumiwe, ndiyo maana waandishi wanatumia parallel za kibaiolojia kuelezea mambo, mtu anakwambia "the heartbeat of the nation is in sync with the state of the economy" huwezi kumwambia nation haina heartbeat na ni mtu mmoja tu ndiye ana heartbeat kwa mujibu wa kanuni za kibaiolojia, utakuwa unachemsha.

  Kuhusu aliyesema Sauti ya watu soma thread.
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Of course, watu wote hawawezi kuwa na metabolism na reflexes sawa. Kuna wengine wako katika denial bado wako ngangari, kuna wengine wanaanza kumuomba Slaa akubali matokeo kwa sababu ya kutohatarisha amani.
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Hata hapa JF Kiranga ni laana kwa wakurupukaji wote wanaohitaji kurudi chekechea. Of course anawanyea kwa sababu haamini kwamba yeye ni laana or any superstition like that, hana msalie mtume wala hasikii la mteka maji msikitini, ni mawe tu. Anajiongelea mwenyewe hata in the third person alivyo na ego size ya mega-multiverse, inayojidivide into equally infinite giga-mega-multiverses over and over again mpaka verses zinafanya a Shakesperean tome on top of tome, mpaka tome linakuwa doorstoper ambalo linafungua mlango into another multiverse only to start the whole shebang again.
   
 13. Companero

  Companero Platinum Member

  #13
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo aliyesema sauti ya watu naye ni sehemu ya 'Collective Body ya Upinzani JF' inayofuata hatua 5 alizozianisha Kubler-Ross au unajaribu tu kulazimisha nadharia yake ya uzee na kifo kuelezea uchakachuaji?
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Subirini Ijumaa ifike...baada ya Swala tu...Kabooom

  [​IMG]
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Aliyesema si mpinzani tu, bali yeye pia ni mpinzani hata wa wapinzani bila ya kuhitaji kuwa katika chama" twawala".

  Watch this space, kuna mtu alikuwa ngangari kama Seif Sharif Hamad, umemuona juzi anamuimbia nyimbo za mahaba Shein kama anamchumbia ? That will be Slaa before long.

  CCM washenzi sana hawa watu.
   
 16. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hizo stages anza kuzisoma kuanzia mwisho kuja mwanzoni....
   
 17. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  crap
   
 18. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160

  safari ni safari kama mna ajenda yenu binafsi siku ya ijumaa semeni, kauli ya chadema tuliyosikia mpaka sasa ni ya kupeleka malalamiko tume ya uchaguzi, halafu kwa wafadhili na mwisho kuwaletea wananchi waliopiga kura ushahidi wa wizi wa kura. Hivyo tunatarajia uongozi wa chadema utaitisha mkutano kama ilivyo kawaida.

  Hayo mambo ya ijumaa kupitia sms za simu yanapangwa na wahalifu wachache wanaoshirikiana na green guard wa ccm kutaka kusababisha fujo na macahafuko yasiyokuwa ya lazima na madhara kwa binadamu halafu kuisingizia chadema
  .

  "kutafuta haki bila kufuata utaratibu hizo ni fujo"
   
Loading...